The Kumeyaay, also known as Tipai-Ipai or by their historical Spanish name Diegueño, are a tribe of Indigenous peoples of the Americas who live at the northern border of Baja California in Mexico and the southern border of California in the United States. Their Kumeyaay language belongs to the Yuman–Cochimí language family.
The Kumeyaay consist of three related groups, the Ipai, Tipai and Kamia. The San Diego River loosely divided the Ipai and the Tipai historical homelands, while the Kamia lived in the eastern desert areas. The Ipai lived to the north, from Escondido to Lake Henshaw, while the Tipai lived to the south, in lands including the Laguna Mountains, Ensenada, and Tecate. The Kamia lived to the east in an area that included Mexicali and bordered the Salton Sea.
Mara nyingi tunasikia majina haya matatu—LNG, LPG na CNG—lakini kwa Mtanzania wa kawaida ni vigumu kuelewa tofauti zake na matumizi yake.
Ningependa wataalamu wa nishati watuelimishe kwa lugha rahisi:
LNG ni nini, na hutumika zaidi wapi?
LPG ni nini, na kwa nini ndiyo gesi inayotumika...
Wako pamoja wameapisha wateule. Kwa hotuba ya Nchimbi inavyotafsiliwa na wengi kuwa hawaivi, si kweli. Hapa kuna mchezo mchafu wanacheza Samia na Nchimbi na CCM in general. Hii ni jana tarehe 27
Chadema kuweni macho na udanganyifu wa CCM
Mpaka Sasa naona Kila Imani na mbingu yake, wakristo wanaamini katika paradiso,
Yesu alimwambia yule mwizi msalabani:
“Leo hii utakuwa pamoja nami katika Paradiso.”
(Luka 23:43) Lakini pia waislam wapo na Firdaus
Hao ndio warithi, ambao watairithi Firdaus, watadumu humo milele." (Surah...
Nina shaka na maono ya viongozi wa sasa kuhusiana na dhima ya ujenzi mkubwa wa Miundombinu nchini kama kwamba inarudisha kwenye zama za Utumwa na kutawaliwa.
Nakumbuka maono (Vision) ya rais Marehemu Magufuli aliweka juhudi kubwa katika Ujenzi wa Miundombinu hii sambamba na ujenzi wa Viwanda...
Mimi maoni yangu
Amani ni mlango wa haki. Huwezi kudai haki kwa bunduki mkononi. Hebu kwanza tuweke amani, ndipo tuketi mezani tuzungumze haki.
MADA: Amani vs Haki - Ipi ije Kwanza?
Wadau,
Tumekuwa tukisikia watu wakisema "tunataka amani" na wengine wakisema "tunataka haki".
Swali langu...
Habari wana jukwaa naomba kuuliza ni kampuni gan (brand gani) ya A.C inadumu muda mrefu zaidi bila changamoto, gharama yake sio kubwa na ufanyaji kazi wake ni wa ufanisi zaidi?,
Je ni kweli A.C zenye inverter zinakula umeme kiasi kidogo kuliko ambazo hazina inverter? Naomba wazoefu wa hizi...
Kwa nini watu wengi wanaamini vyakula vilivyo tiwa viungo vingi na nakshi mbalimbali ndio vyakula vitamu hadi kufikia kumsifu mpishi kuwa anajua kupika??Je viungo ni vya lazima sana kwenye mapishi?mbona Mimi naona viungo vinapoteza ladha halisi ya chakula husika??na hapa ndipo ninapoona anaepika...
Katika Kombe la Dunia 2026, maelfu ya picha zimeonyesha matukio makubwa, furaha, huzuni na kumbukumbu ambazo zimebeba hadithi za mashindano haya na kila picha ina simulizi yake.
Nafahamu kuwa watanzania wanapenda sana Nyama Choma.
Na kiukweli kabisa katika nchi hii sehemu mbili tu katika mikoa miwili ya Arusha na Dodoma ni maarufu zaidi kwa uchomaji wa Nyama na ndio yanayotembelewa na maelfu ya watu kutoka maeneo mbalimbali Tanzani afrika na Duniani.
Maeneo hayo...
Hivi ni baadhi ya vitu ambavyo hatukuwahi kutarajia Watanzania tutaingiamo ila kwa bahati mbaya tayari tumo.
Wanawake wanatumia hadi buttplugs zenye vibrator (ice breaker), vibrator device vya kutekenya (uke) na midoli ya mfano wa uume mkubwa.
Sasa najiuliza ni kwamba watu hawaridhiki kingono...
Hello wapendwa
Nataka nihamie Kahama sasa nataka kujua kama Biashara gani iko poa kwa Kahama
Mimi nina uzoefu wa nguo za kike na watoto ndio nayoifanya kwa sasa hapa Dar es Salaam ila sasa malengo yangu sio kuuza nguo ni kuuza home decor na vitu vidogovidogo vya matumizi ya nyumbani sijajua...
Chama Cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) kimetoa shukrani zake za dhati kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwapatia magari mawili (Toyota Land Cruiser Hardtop) yatakayorahisisha utekelezaji wa majukumu ya Chama hicho.
Makabidhiano hayo yamefanyika leo...
Wakuu nataka ninunue pikipiki kwa ajili ya matumizi binafsi, yaani usafiri binafsi nk.
Nataka ninunue pikipiki ambayo itakuwa nzuri hasa katika mazingira ninayoishi ambapo kuna barabara nyingi za vumbi na vilima/miinuko kwa wingi.
Naomba ushauri kwa wataalamu na wenye uzoefu wa pikipiki ili...
Habari Wana jamii!! Mpo salama? Mpo poa?
.
Niende Moja kwa moja kwenye habari, nimewaza hili nikikumbuka matukio mawili ambayo Siwezi kuyasahau, yanafundisha sana, na kuonyesha vile vile.
.
TUKIO LA KWANZA.
nikikua na mpenzi mwanamke mzuri alieajiriwa jeshini ni daktari, alipata mafunzo yote ya...
Mzuka wana jamvi ?
Kuna wapuuzi humu JF walikuwa wanafananisha jina langu na la ID ya Chizi Maarifa wakati ni majina mawili tofauti yasiyo fanana sasa baada ya kelele zao nimeona nibadilishe jina na nataka nichague jina Moja kati ya yafuatayo
1. Ghayo de Nyangwisi
2. Ghayo de Nyambumbu
3...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.