Je, Avatar yako hapa JamiiForums ina maana gani?

Je, Avatar yako hapa JamiiForums ina maana gani?

Freetown

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2008
Posts
882
Reaction score
82
Baada ya thread nzuri juu ya maana ya majina tunayotumia humu ndani ya JF, nimeona ni vizuri pia tukaongelea kuhusu avatar tunazotumia
 
Huyo ni Michael Jordan ambaye alipata umaarufu mkubwa kwa uchezaji wa Basketball na pia leadership ability yake as a player during those old good days of DA BULLS which led to 6 championship starting in 1991. Ni mtu ambaye namuadmire sana pamoja na kuwa ana mapungufu yake kama binadamu wengine.
 
Inajieleza kabisaaaa,enzi zangu nilivyokuwa katoto.
 
Avatar yangu ni sehemu mojawapo nzuri za utalii hapa Tanzania, hapo ni Selous. Mungu ameijalia sana hii nchi.
 
Chunguza avator yangu kwa makini utagundua kuna kinyonga/chura yuko kwenye process ya kumezwa na ndege wa ziwani lakini kichwa tu ndo kimeingia kinywani. Lakini kinyonga/chura huyo amekimbilia kumkaba koo huyo ndege kwa mikono yake miwili hali inayopelekea ndege kupatashida kummeza.

Hii inakwambia kwamba no matter what stage ya maanguko au ya mapambano umefikia NEVER EVER GIVE UP.

Ultimately huyo ndege itabidi amteme huyo kinyonga/chira kwa kuwa ndege hataweza kupumua kwani amebanwa shingo....
 
Hapo kwangu nadhani iko wazi huyo ni Kiefer Sutherland (Jack Bauer) star wa ile tv series 24 (FOX,itv kila J5).
Mambo yake mnayajua lakini nia hasa sio kuonyesha makeke ya huyo bwana ila UZALENDO alio nao kwa INCHI yake na huruma aliyo nayo kama binadamu wa kawaida ukiondoa yale ayafanyayo akiwa kazini.
 
Albert,
Mwanasayansi maarufu wa karne
Anaonekana kuwa ni mtu wa kufikiri na kufikia hatua ya kuchukua maamuzi mazito,
Ndivyo nilivyo
 
Huyu Ni "Mchungaji Mwema" anapeleka kondoo kwenye malisho.
Mchungaji huyu ametangulia kondoo akiwaonyesha njia ya kuendea malisho.

Vivyo hivyo kiongozi anatakiwa awe kama huyu mchungaji mwema awaonyeshe njia njema wananchi wake ili siku ya siku nchi yetu iwe ni ya asali na maziwa. Wananchi wawe wananeemeka na kuendelea kuijenga nchi yao na siku moja iwe kama Nchi ya Uholanzi.
 
Yangu inaonyesha ndege mmoja aliye tulia, to me it means peace and calmness always.
 
Leo hata hiyo avatar yangu siioni,sijui ndio wameifisadi,kwahiyo si coment kitu!!
 
Nimejifunza mengi kutokana na avator za watu hapa...
Kuna wachungaji wema..
wanamazoezi...
watu wapole and composed...
watu wa maamuzi mazito.... nadhani bila kuangalia sura
wazalendo wa nchi zao..
wapenda familia....
watalli wa utalii wa ndani..
wanaofuatilia role models...

It is good very good indeed.
 
yangu hata sijui, ila nimeamua kumridhisha wifi yenu tu.
 
Avatar yangu ni sehemu mojawapo nzuri za utalii hapa Tanzania, hapo ni Selous. Mungu ameijalia sana hii nchi.

wewe ni mzalendo ndugu yangu, unastahili pongezi sana.
 
Huyo ni Michael Jordan ambaye alipata umaarufu mkubwa kwa uchezaji wa Basketball na pia leadership ability yake as a player during those old good days of DA BULLS which led to 6 championship starting in 1991. Ni mtu ambaye namuadmire sana pamoja na kuwa ana mapungufu yake kama binadamu wengine.

Unajua mkuu wakati wote sikujua kama avator yako ni ya Jordani, kabla sijajua kuhusu jina unalotumia nilidhani avator yako ni ya BUBU kweli kwani hiyo picha inaonekana kama huyo mtu ni bubu...anyways ndivyo nilivyoona.

yangu hata sijui, ila nimeamua kumridhisha wifi yenu tu.

Unajua Burn nadhani ulikuwa na avator moja huko awali kama sikosei ilikua dangerous sana... sina hakika kama ni wewe au nachanganya mapaka watu wakacomplain!
 
Nasubiri avator ya Next Level! Ina maana gani??
 
Unajua Burn nadhani ulikuwa na avator moja huko awali kama sikosei ilikua dangerous sana... sina hakika kama ni wewe au nachanganya mapaka watu wakacomplain!

Mkuu ile avatar naipenda sana, kifupi inaeleza kile ninachotaka kusema, jamaa kafungua kinywa hadi mwisho wa taya lake kupaza sauti.
 
Nimejifunza mengi kutokana na avator za watu hapa...
Kuna wachungaji wema..
wanamazoezi...
watu wapole and composed...
watu wa maamuzi mazito.... nadhani bila kuangalia sura .....!
wazalendo wa nchi zao..
wapenda familia....
watalli wa utalii wa ndani..
wanaofuatilia role models...

It is good very good indeed.

Ha!ha!ha!ha!ha!....kijana Avatar yangu (cartoon ya BO & HC) na ID yangu vinaangukia hapo juu......in addition, to that!

ID yangu ni for people who believe that....our time is now, my future is made now, if I play now,my future life will be full of cry and excuses.....I don't want excuses in my life kabisa! Sitaki kumsingizia mtu yeyote kwa failures zangu! I am the Next Level man!....highly inspired na ule mchakato wa kina Obama na H. Clinton kny kinyang'anyiro cha White House!
 
Nasubiri avator ya Next Level! Ina maana gani??

Ha!ha!ha!ha!ha!ha!.......mbele mbele.....mipambano daima.....no fear, no makandokando, no boss in my path....I am always the Next.....in whatever I want mkuu.....U know it all!
 
Ha!ha!ha!ha!ha!....kijana Avatar yangu (cartoon ya BO & HC) na ID yangu vinaangukia hapo juu......in addition, to that!

ID yangu ni for people who believe that....our time is now, my future is made now, if I play now I gonna my future life will be full of cry and excuses.....I don't want excuses in my life kabisa! Sitaki kumsingizia mtu yeyote kwa failures zangu! I am the Next Level man!....highly inspired na ule mchakato wa kina Obama na H. Clinton kny kinyang'anyiro cha White House!

Nashukuru maana nilikuwa naitafsiri vibaya....
Eti ulikuwa "kill time" enzi zile then uko bwiii... umeweka ndovu za kutosha mida hiyo uko na 100% confidence. Ukakutana na kimwana unamwambia lets go to the next level... unamwambia awahi pale king palace au pale royal njombe......

Haaaa.... just thinking beyong what i see thiking to the next level!
 
Back
Top Bottom