ipi

The Kumeyaay, also known as Tipai-Ipai or by their historical Spanish name Diegueño, are a tribe of Indigenous peoples of the Americas who live at the northern border of Baja California in Mexico and the southern border of California in the United States. Their Kumeyaay language belongs to the Yuman–Cochimí language family.
The Kumeyaay consist of three related groups, the Ipai, Tipai and Kamia. The San Diego River loosely divided the Ipai and the Tipai historical homelands, while the Kamia lived in the eastern desert areas. The Ipai lived to the north, from Escondido to Lake Henshaw, while the Tipai lived to the south, in lands including the Laguna Mountains, Ensenada, and Tecate. The Kamia lived to the east in an area that included Mexicali and bordered the Salton Sea.

View More On Wikipedia.org
  1. Kelela

    JamiiForums Tanzania Ipi ruti rahisi zaidi ya kufika Butiama kutokea Dar es Salaam

    Habari zenu. Ni ipi ruti rahisi zaidi ya kufika Butiama kwa mwaka huu 2026 kwa kutokea Dar es Salaam. Naomba kujua, Basi za Kupanda. Nauli kiasi gani? Shughuli kuu za kiuchumi za Butiama ni zipi?
  2. Solo Traveller

    JamiiForums Tanzania Biashara hizi tatu zina mtaji wa Tsh Milioni 1; je, unanishauri nianze na ipi ambayo inaweza kunipa mafanikio?

    1. Biashara ya stationary karibu na chuo ambapo gharama zote za awali ni 1m 02. Library ya kurusha movie kwa kutumia kompyuta, hapa nyimbo series nk 03. Ni saloon ya kiume ambapo itanibodi nifanye kwanza mafunzo ya kunyoa kwa mwezi mmoja. Kwa mtazamo wako niinvest wapi kwa ajili ya business...
  3. jblus

    JamiiForums Tanzania Simu ipi yenye camera nzuri?

    Mambo vipi wadau! Naomba mchango wenu kimawazo kuhusu simu yenye camera nzuri kwa ajili ya matumizi ya kupigia picha na video za kupost kwenye page yangu ya biashara ya instagram, tiktok na mitandao mingine ya kijamii. Ni Biashara ya salon ya kike, na kama mnavojua biashsra hii picha zina...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ist new model, Raum, Spacio, Rumion, Run X, unachukua ipi kwa mizunguko ya town na nje ya mji kidogo ?

    IST RAUM SPACIO RUMION RUN X
  5. R

    JamiiForums Tanzania Ni njia ipi bora ya kufanya malipo ya kununua bidhaa online? debit au prepaid card?

    Habari zenu wakuu na heri ya mwaka mpya 2026.. ninaomba kupata elimu kidogo kuhusu suala la kulipia vitu mitandaoni, nataman kujua ni njia ipi salama zaidi nitumie kati ya debit card ya benki, prepaid card au card hizi wanatoa mitandao ya simu.. na pia kuhusu prepaid za usd nimeona ni benki...
  6. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Ni ipi sera ya CHADEMA kwa sasa baada ya No Reforms, No Election (NRNE)?

    Uchaguzi ushaisha na mambo yanaendelea je chadema kwa sasa wana sera gani ambayo hata leo mwenyekiti wao akitoka watatamba nayo kwenye mikutano ya hadhara? Siasa siasani karibuni wanachadema mtujuze sisi ambao hatuna vyama
  7. TZ-1

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bidhaa ipi ni bora katika ku skimu ndani na eneo la copro(dirishani)

    Hbr wajenzi. Baada ya kumaliza kuchapia/plasta ndani na copro naomba kujua bidhaa gani ni bora kwakuw skimu lakin pia nakarbisha fundi aje inbox tuelewani kazi _ location saiti ilipo ni KIBAHA -kongowe Coral decor Wallputy Gypsum power Na unazo zijua nyingne, napenda kujua na bei elekezi pia...
  8. Vien

    JamiiForums Tanzania Kati ya Samsung S25 Fe na Xiaomi 15T ipi bora

    Merry Christmas and happy coming new year 2026 Wakuu tukielekea kumaliza mwaka, bado naendelea kufanya research ya simu ya kuichukua, nimekutana na Samsung S25 Fe naona inashawishi kidogo kutokana na features zake sasa nimekuja kwa wataalam, kati ya Samsug S25 Fe vs Xiaomi 15T ipi kali
  9. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Amani inaongelewa sana na viongozi wa serikali lakini utekaji unaendelea nashindwa kuelewa amani ipi wanahubiri

    Viongozi wa serikali kila kona ya nchi hususani waziri mkuu anahimiza amani najiuliza hiyo amani inapatikanaje huku watu wanachukuliwa na kupotea kusopojulikana? Kiongozi unaongelea rasilimali huku ukijuwa kuna watu wanapotea kwanini usikemee tabia hizo zikakomeshwa? watu wakikumbuka ya tarehe...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwa bajeti ya milioni 20 gari ipi itafaa kwa bajeti ya mafuta ya laki 2 kwa mwezi kwa mizunguko ya mjini na isiwe ya kwenda sana gereji

    Bajeti milioni 20 Bajeti ya mafuta laki 2 maximum Mazingira inatumika mkoani hakuna foleni kama Dar, Sifa za gari Isiwe gari ya kwenda sana gereji, Iwe inatengenezwa kirahisi hata mikoani Spea kibao
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tathmini yako ni ipi kuhusu mgawanyo wa miradi ya serikali mikoani, serikali inajali usawa kulingana na uhitaji katika kutekeleza miradi l?

    Ni muhimu kuangalia kama rasilimali zinagawanywa kwa haki, zikihakikisha mikoa yote inapata fursa sawa ya maendeleo, bila upendeleo wowote. Tathmini yako ni ipi kuhusu mgawanyo wa miradi ya serikali atika kila mkoa ? Je, serikali inazingatia usawa kulingana na uhitaji halisi wa wananchi katika...
  12. mahirtwahir

    JamiiForums Tanzania Ni Biashara ipi iko na faida mzuri

    Waungwana naomba munisaidie mwenzenu nimejichanga na kupata TZS 40,000,000/ ila kwa kweli nimeshidwa kuona ni Biashara gani ya kufanya Naomba msaada kwenye tuta wasichana wasije kuchungulia mifuko yangu
  13. covid 19

    JamiiForums Tanzania Ipi nafasi ya Tanzania katika mgogoro wa Mashariki mwa Congo (DRC)?

    Kinachoendelea Mashariki mwa Congo DRC si mgogoro wa mbali kama wengi tunavyodhani. Huu ni mgogoro ambao hakuna nchi ya Afrika Mashariki itakayobaki salama. Kuna chaguo mbili tu: ama uwe sehemu ya mchezo na uchague upande, au ubaki mpweke kisha upokonywe hata kile kidogo ulichonacho. Tukirudi...
  14. Foffana

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti ipi kati ya Deni la Taifa na Deni la serikali wasomi tupeni elimu

    Tupeni tofauti yake na sisi tuwape elimu tulio nao mitaani huku Manyanza zitto junior MALCOM LUMUMBA Kiranga
  15. Billion Dolar

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri ninunue gari ipi

    Wananzengo habari zenu. Mimi ni mtu wa safsri kila ijumaa ja jumapili, na huwa napenda nitumie gari binafsi ili nijipangie mda wa kuondoka na kufika. So nlikuwa na gari ndogo nahisi kuichoka. Kati ya gari ninayohitaji ni honda crosroad ama rumion nikishindwa hizi basi outlander but hizi 2 za...
  16. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Mapikipiki: Kati ya Yamaha R1, Honda CBR1000RR na BMW S100RR ipi kali kwa muonekano na performance?

    Tukiacha specifications za kwenye makaratasi, kati ya hizi chuma tatu ipi kali? Yamaha YZF R1 Honda CBR1000RR Firebrade BMW S1000RR Zote cc998, zote speed na acc kali sana.
  17. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Abiria wafurika Mbezi - Magufuri, sababu ni ipi

    Adha ya usafiri kutoka jiji la Dar Es Salaam kwenda Mikoa mingine nchini bado imekuwa kitendawili ambacho kila Mwisho wa mwaka hasa mwezi wa 12 kinakosa kutenguliwa. Inaelezwa kuwa kwa mwezi wa 12 kwa mwaka huu 2025 Ongezeko la abiria limekuwa mara dufu na mapema sana(kuanzia Disemba 01, 2025)...
  18. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Maandamano na kuhamasisha maandamano ni kosa kisheria?

    Nimeona polisi wakikamata watu kwa kosa la kuhamasisha maandamano. Nimeona Waziri wa Mapolisi wakikemea maandamano. Watu hawa waieleze dunia maandamano ni kosa kwa sheria ipi? Halafu acheni kupotosha watu kwamba ni vurugu, hapana kinachopangwa kufanyika ni maandamano. Hizo vurugu mnazitoa wapi...
  19. M

    JamiiForums Tanzania The Battle of AI : Kwa uzoefu na matumizi yako, ni AI ipi umetokea kuikubali zaidi ?

    Katika matumizi yako ya teknolojia ya Artificial Interlligence (AI) ni ipi umetokea kuikubali zaidi CHAT GPT (Open AI) GROK DEEP SEEK CO PILOT GERMINI (GOOGLE) n.k.
  20. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Kazi yenye laana ni ipi?

    Tanzania kuna shughuli nyingi sana za kufanya, niambie ni kazi gani ambayo bila ya kupepesa macho unaamini ina Laana, na unaiogopa kuifanya au kuwa muajiriwa wake? Fungukaaaaaa!
Back
Top Bottom