Stunnaman008
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 384
- 413
Mimi maoni yangu
Amani ni mlango wa haki. Huwezi kudai haki kwa bunduki mkononi. Hebu kwanza tuweke amani, ndipo tuketi mezani tuzungumze haki.
MADA: Amani vs Haki - Ipi ije Kwanza?
Wadau,
Tumekuwa tukisikia watu wakisema "tunataka amani" na wengine wakisema "tunataka haki".
Swali langu ni moja tu:
Kama ni kulazimika kuchagua kimoja, ni ipi inapaswa kuja kwanza? AMANI au HAKI?
Wewe unaonaje? Toa hoja yako kwa heshima.