Tafuta humu kuna uzi una hii mada mkuu watu wamechambua vizuri kila kitu..Habari ndugu. Kama kichwa kinavojieleza hapo juu ipi ni kozi nzuri kati ya Computer science na software engineering
Nimeutafuta kiongozi huo Uzi ila kiukweli nimeona hakuna unaoelezea kati ya Computer science na software engineeringTafuta humu kuna uzi una hii mada mkuu watu wamechambua vizuri kila kitu..
Naomba unisaidie Link ya huo uzi kiongoziTafuta humu kuna uzi una hii mada mkuu watu wamechambua vizuri kila kitu..