Katiba yetu inasema Spika sio lazima awe Mbunge hivyo basi kuna mshahara wa cheo cha Spika ambao kwa kawaida ni mkubwa kuliko mshahara wa ubunge.
Kwa mahesabu haya:
1.Ubunge 11 millions
2. Spika 11 + X millions
Jumla inaweza kucheza kwenye 28-30 millions.
Ukizingatia kwa sasa CEO wengi wa...
Tumechoka kusikia katiba iliyopo aifai hata vingunge wa CCM Polepole na Bashiru kwa nyakati tofauti walilitetea hili kama kuku aliebanwa na yai na anakaribia kutaga.
Vyama pinzani navyo mida hii huwaga kimya mpaka kesho uchaguzi utavisikia vinakurupuka kama vinatoka kwenye usingizi mzito...
Nishaandika week hii, nimeugulia Sana Maumivu, natamani kuwa na mwenza lakini kila nikiwaza jinsi ya kumpata mwenye vigezo navyotaka nahisi ugumu.
Imefika hatua nawaogopa wanawake kuanzisha nao mahusiano yaliyopita serious kwa ajili ndoa, kwakuwa kila nikianza fikiria maumivu ntakayopata pindi...
Habari zenu wakuu.
Najua JF kunama-expert kutoka katika kona tofauti tofauti za utaalamu.
Leo nimekukwenu hapa nataka kujua kuwa Kibongo bongo inawezekana ku-license TV station Idea ya kipindi.
Yani kwamba ukawapatia ruhusa kisheria, Ukawapa ruhusa ya kuzalisha pamoja na kurusha kipindi Hicho...
Je, inawezekana kwa mwanafunzi anayeinga mwaka wa pili kozi ya diploma ktk afya kupostpone(due to fee issues) na kusoma kozi nyingine ktk chuo kingine?
Wakati tukiwa tunashangazwa na kuumizwa na usaliti unaofanywa na baadhi ya wanasiasa wetu, binafsi naanza kupata mashaka kuwa huenda kuna rushwa kubwa inatumika kuwarubuni wanasiasa hawa mpaka kufikia hatua ya kusaliti wananchi wao na kusaliti msimamo yao.
Inawezekana wanapokea mlungula mrefu...
Nasukumwa kuuliza swali hili baada ya kuona hii video ya huyu jamaa anayesema ubongo wake uko tumboni na unafanya kazi kama kawaida.
Tumsikilize Kisha wataalam watupe elimu.
Hivi ni collage gani nzuri inaetoa online shortcourse za ukocha wa football kwa ulaya lakini ziwe certified? Na je gharama zake zipoje?
Naomba mnisaidie aisee niwe kocha nichukue kibarua cha mtu hapa VPL.
Unataka Tanzania yetu iwe na uzalishaji mkubwa wa ajira? Je, kuna watu wanakukatisha tamaa kisa hauna pesa? Usibabaike, njia pekee iliyowatoa wengi dunaini ni hii hapa;
1. Fanya utafiti mdogo kwenye jamii kugundua ni kipi kinapungua na watu wanakitaka.
2. Anzisha kitu chako kutokana na...
Nimepitia masharti niliyosaini katika mkataba wa kuomba mpoto wa kufadhiri masomo yangu ya elimu ya juu,kati yangu na Bodi ya mikopo (HESLB) nimegundua sikuelewa na hata kama ningeelewa ningesaini tu, kwa sababu ya uhitaji niliokuwa nao.
Lakini kuna masharti magumu sana hasa ukizingatia hatujui...
Nimekua nafatilia wanasiasa wengi wakati wanaomba Kura wanasema uongo mwingi Sana na Kwa bahati mbaya wanaaminiwa na kupewa Kura na kutumikia nafasi walizozipata Kwa kulaghai bila wasiwasi wowote na mwisho wa kipindi walichoomba wanazawadiwa kiinua mgongo kama ahsante.
Kwangu Mimi naona hiyo si...
Jinsi kampeni zinavyoendelea mpaka sasa ninaamini kuwa asilimia 50 ya Wabunge wote wanaotoka Mkoa wa Mara watatoka upinzani. Nianze na Tarime Mjini, Rorya, Bunda Mjini na Tarime vijijini hali siyo shwari kwa CCM. Tujiulize hapa ni nani wa kulaumiwa?. Mimi ninatoa lawama kwa uongozi wa Wilaya na...
Akiwa mkoani Mara Mgombea wa CCM Dkt John Magufuli kwenye uzinduzi wa kampeni katika mkoa huo Mgombea amesema kuwa "naskia kuna mtu anasema sijaongeza mshahara watumishi wa umma ,Watumishi wa umma nimewaongezea mshahara kimya kimya "
Aliendelea na kusema kuwa ukipandisha madaraja huongezi...
Tangia tumeanza process ya kuingia kwenye uchaguzi wa mwaka 2020, kumekuwepo maneno mengi yanayoashiria uvunjifu wa Amani, vitisho kutoka nje ya nchi hasa pale mgombea fulani anapomshutumu mwenzake kuwa serikali yako ndiyo ilinipiga risasi, serikali yako imeteka na kuua Watu nk.
Tumeona barua...
Waingereza wanaita ‘peer-pressure’, yaani makundi-rika kwa lugha ya ‘madafu’. Watoto katika umri tofauti wa ukuaji wao wanakutana na vishawishi ama chanya au hasi kutoka kwa marafiki zao. Makala haya yanahoji iwapo wazazi/walezi tunaweza kupunguza uwezekano wa mtoto ‘kuharibikiwa’ kutokana na...
Salaam Wakuu,
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tanzania Bara Tundu Lissu anatarajiwa kuwasili nchini leo saa saba na dakika ishirini saa za afrika Mashariki.
Lissu amekaa nje ya nchi miaka mitatu sasa baada ya kuondoka kwa shambulio la risasi lililotokea mjini...
chadema
corona
halima mdee
hotuba
inawezekana
jeshi
jeshi la polisi
lissu
magufuli
mimi
mpango
mungu
ofisi
picha
polisi
risasi
soma
taifa
tanzania
tundu lissu
urais
video
vyombo vya habari
watanzania
waziri
Maneno huumba.
David Silinde kwa kutamka hadharani kwamba yeye ni "Chawa" kwa miaka 5 aliyokuwa Bungeni alikuwa akiitumikia CCM kwa siri amefungua mlango kwa maadui wa CCM kuweza kumtumia kwa sababu anaweza "kutumika"
Binafsi sikutegemea kauli kama hii itoke kwa mwanasiasa kijana, hata hivyo...
Habari za usiku.
Kwa masikitiko makubwa na huzuni isiyoyakawaida imeutawala moyo wangu.
Wanaume,inawezekana kweli tunawakwaza,iwe ni kwa kujua au kutokujua lakini haifanyi ukamwanika mke wako wa ndoa kwa mchepuko kwa kiwango cha lami kabisa
Leo nikiwa niko saloon nasafisha kucha, akaja mdada...
Vanessa alisema sababu ya yeye kuacha mziki ni kuwa haukuwa unampa hela, halafu alikuwa akilazimika kuishi maisha ya juu ili kuwafurahisha mashabiki, wakati kiuhalisia hana uwezo huo
Inawezekana zile V8 zilizopo kwenye parking ya Diamond Platnumz, sio zake, na ile nyumba yake ya ghorofa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.