inawezekana

  1. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kuwekeza kisasa kwenye upikaji wa Gongo?

    Naona ndugu zetu wanahangaika sana kutumia kuni, Je tutumie mbinu gani kupika Gongo tupunguze matumizi ya kuni?
  2. U

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Polepole alikuwa sahihi kuwa "Serikali ni mwanasesere"

    Kuna kauli moja alitoa pole pole kuhusu kuwa na parallel state, yaani nchi kuendeshwa na kikundi flani kimejificha nyuma huku serikali tunayoiona kubali kama pambo au MWANASESERE, hii inaweza kuwa kweli kwa upande mmoja kutokana na mifano hii. 1. Kesi ya Mbowe inaonekana kuna nguvu zaidi...
  3. The Boss

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Ole Sabaya "anaonewa" kweli

    Kama Taifa kuna vitu tunadharau sana na mara nyingi vime Tu cost Sana na kwa sababu hatutaki kabisa kuvitazama na kuvifanyia kazi, pengine vitaendelea kutu cost sana. Magonjwa ya akili ni jambo moja Taifa hili hatutaki kabisa kukaa chini na kuweka mipango ya kusaidia 'wagonjwa' wetu Na kuzuia...
  4. Teleskopu

    JamiiForums Tanzania Watoto wenye mikia ...

    Watoto wanazaliwa na mikia. Watoto wanazaliwa na manyoya. Watoto wanazaliwa na jicho moja. Watoto wanazaliwa na miguu minne na mikono mitatu. 😭😭 HAPA. Naamini itakuwa ni huko tu, sio huku kwetu. Sisi tumeshachunguza ni salama🤔
  5. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mimba za utotoni kikwazo kwa mabinti wengi vijijini

    Mimba za utotoni kikwazo kwa mabinti wengi vijijini Habari wanajamvi, Naomba kuwasilisha kwenu andiko hili kuhusiana na changamoto ya mimba za utotoni. UTANGULIZI Tunapozungumzia mimba za utotoni tunamaanisha ni ile hali ya kuwa na ujauzito kwa binti yeyote ambae hajatimiza umri wa miaka 18...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Tiba ya tezi dume bila upasuaji inawezekana?

    Wakuu naomba kuelewa kwa yeyote anayejua au kushudia matibabu ya Tezi dume bila upasuaji na mgongwa kupona kabisa na hayo matibabu yanapatikana wapi? Nitafurahi zaidi kupata taarifa za matibabu ya kisayansi kwa maana ya yanaweza kuwa wanatumia aidha dawa za asili...
  7. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kuanzisha kampuni binafsi ya upelelezi, je hii inawezekana kwa hapa Tanzania?

    Habari wadau, Nimekuwa nikawaza mda mrefu kufungua kampuni binafsi ya kufanya upelelezi na kutoa ulinzi wa VIP's yaani wale watu maarufu na familia zao kama Mo-Dewji, Diamond n.k Kampuni yangu pia itahusika katika kufanya upelelezi kwa watu binafsi na serikali na kukabidhi repoti kwa wateja...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Huenda Rais Samia anawaamini wasaidizi wake walioshiba wanapowasemea wenye njaa

    Nachukua fulsa hii kumpongeza mama kwa kazi kubwa anazo zifanya kwa taifa hili tena ukizingatia amepokea kijiti kama mpira wa krosi ya kubabatizwa, lakini anajaribu kuutuliza mpira utulie hili aweze kuucheza. Nikirudi katika mada Hili lilionekana zaidi ile siku alipokuwa akihojiwa na Idhaa ya...
  9. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Hongera DED wa Mkuranga, Usipopatwa na hali hii inawezekana usimke

    DED nakushauri usisubiri kubanwa na haja ndogo ndo uamke. Amka hata bila kubanwa na haja ndogo. Ili Wilaya yako iweze fanya vyema. Huu ni ushauri tu. Unaweza chukua au kataa. Sitokulaumu.
  10. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kucheki movie kwenye tv kwa kutumia Card Reader yenye memory card badala ya kutumia flask disk?

    Ninahitaji kujua iwapo ninaweza kuweka memory card kwenye card reader kisha nikaichomeka kwenye tv kama tunavyofanya na flash kwa ajili ya kuangalia movie. Nimebaini flash nyingi ni za ovyo tunauziwa flash mbovu. Unanunua flash dukani unaweka movie unakuta ina scratch na kustak stak.
  11. Faana

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana kulipa kodi ya ardhi ya Serikali kwa awamu?

    Ninaomba msaada kujua, kuna ndugu yangu yupo masomoni ughaibuni, yapata mwaka wa sita hajalipa land rent ya Serikali kwa viwanja vyake vitatu, angependa kulipa ila kwa awamu, Je, serikali ina utaratibu huo? Kama upo, procedures ni zipi? Nawasilisha
  12. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA bila Mbowe inawezekana?

    Taarifa tulizozipata kutoka kwa Mdaku kutoka Ufipa ni kuwa shughuli zote za uratibu wa chama zimesimama kutokana na kesi inayo, kabili Mwenyekiti huyu wa maisha na mwenye hisia za umiliki wa chama kushitakiwa na Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kesi na makosa ya ugaidi hapa nchini. Kesi...
  13. Shark

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais Inawezekana Kabisa Unahujumiwa bila kujijua

    Habari Mheshimiwa Rais, Nikiri wazi Mimi sikua mshabiki wako, sababu pia sikua mshabiki wala mfuasi wa Chama ulichopo. Na hata ulipoanza kua Rais sikua na matumaini yoyote kwako, sababu kubwa hasa ni kua wewe ulikuwepo kwenye madaraka enzi zile za jamaa yule. Hivyo nilijua uongozi wako...
  14. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Napendekeza matumizi ya taxify na Uber kwenye kutuma na kupokea pesa; Je, inawezekana?

    Unaweka pesa kwenye bahasha, kisha unatumia application ya Taxify / Uber na kuita chombo cha usafiri kilichokaribu, kisha unamkabidhi mzigo ila humwambii kuna nini ndani na kumpa maelekezo ya wapi apeleke. Je, hii inawezakana?
  15. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Rais wa Haiti aliuawa na walinzi wake mwenyewe

    Maswali mengi yameibuka juu ya madai ya serikali ya Haiti kuhusu waliotekelezwa mauaji ya raisi Moise, ambaye aliuawa kwa kupigwa risasi katika hekalu lake liliko Port-au-Prince, Halhamis iliyopita. Jeshi la polisi na wanasiasa wa Haiti ambao wameingilia ombweila uongozi wa kiasiasa kutokana na...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Madai ya Katiba Mpya: inawezekana CHADEMA wana baraka za Rais ila kwa siri kubwa

    Jicho la tatu linaniambia kuwa huenda Mama ana agenda ya Katiba Mpya ila anajua wenzake hawaitaki, hivyo kaamua kuwatumia CHADEMA kwa siri kubwa kuamsha madai ya Katiba Mpya. CHADEMA wanaweza kuendelea na hii agenda bila vikwazo huku MATAGA wakiwa hawelewi halafu mwisho wa siku Mama anawaunga...
  17. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Inawezekana mwanafunzi wa Diploma kuhitimu mwaka huu nakujiunga na Degree mwaka huu?

    Habarini wataalam, Hivi inawezekana mwanafunzi wa diploma kuhitimu diploma mwaka huu nakujiunga na degree mwaka huuhuu.
  18. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Hii inawezekana Tanzania tu, si mahali pengine popote duniani

    Picha hii inaonyesha ukomavu, mshikamano na umoja na amani katika nchi inayoitwa Tanzania, nchi Mungu ametutengea waja wake. Hakuna mahali Rais Mwanamke, Muislamu, amezungukwa na maaskofu, kama Malaika wa amani, na hata hakuna kabisa wale jamaa zetu wenye mitutu mkubwa, hawapo. Picha hii...
  19. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Huenda Tanzania ndiyo nchi yenye aina nyingi ya watu katika Afrika

    Tanzania kuna wabantu ambao ndiyo wengi. Kuna wa Nilotics, wamasai na wajaluo. Kuna wa San kama wabushmen, hawa wasandawe na wahadzabe. Hawa ndiyo wenye nchi yao. Kuna wakush kama wa Iraq (wambulu) nasikia na wanyaturu na wasambaa nao ni wakush. Nchi zingine kama Malawi, DRC, au Zambia ni...
  20. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Swali je Inawezekana Mwigulu katupiwa jini ''Sakizi'' ? linakufanya ufanye vitu vya ajabu

    Wadau nahisi huyu Waziri katupiwa hilo Jini angewahi au awahishwe kwa mafundi.. Jini Sakizi ukitupiwa linafanya maajabu ajabu tu yaani mtu akikuudhi unaweza hata muua hapo hapo Watu waliwahi tupiwa mifano yake kama Ditopile alichukizwa tu na Dereva wa Daladala kusimamisha bus barabarani...
Back
Top Bottom