Na wewe ukimkosea huyo mwanafunzi, akupe adhabu ya viboko?Kama mwalimu kwanini namchapa mtoto?
Kosa alilolifanya adhabu yake kisheria ni kufukuzwa shule.
Kosa lake ni kufanya adhabu za nje.
Kosa lake ni kulipeleka ofis ya nidhamu.
Obvious tunamchapa mtoto kwa faida yake.ni adhabu inayo save mda.
Mfn nimekuta amefail chini ya 40 monthly test...adhabu ya fasta ni viboko. Tunaendelea kusoma.
Na wewe ukimkosea huyo mwanafunzi, akupe adhabu ya viboko?
Inawabomoa kabisa kisaikolojia. Walimu na wanafunzi wengi hawaipendi.Inawezekana kumuelimisha mtoto bila kumchapa viboko ingawa kwa Afrika tumejenga utamaduni wa kutumia fimbo ili kumfanya mtoto aelewe masomo. Ninafikiri viboko hujenga nidhamu ya woga kwa watoto.
Mtoto anakuwa mkubwa anakuwa anaogopa authority. Mtu mwenye mamlaka anaweza mfanya chochote.Inawabomoa kabisa kisaikolojia. Walimu na wanafunzi wengi hawaipendi.
Hakuna adhabu mbadala, Shule ambazo hawachapi viboko wanatoa adhabu gani? Unafikiri viboko vinaathari gani kwa watoto?Kama mwalimu kwanini namchapa mtoto?

ntarudi