Ni vipi au kwa njia gani - Inawezekana kupatikana KATIBA MPYA

Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
748
1,000
Tumechoka kusikia katiba iliyopo aifai hata vingunge wa CCM Polepole na Bashiru kwa nyakati tofauti walilitetea hili kama kuku aliebanwa na yai na anakaribia kutaga.

Vyama pinzani navyo mida hii huwaga kimya mpaka kesho uchaguzi utavisikia vinakurupuka kama vinatoka kwenye usingizi mzito sana,kiasi inatufanya tuamini kuwa viongozi wake ni wanachama wa CCM waliovaa ngozi za kondoo.

Nini kifanywe je Katiba ilipo inakidhi viwango anavyokwenda nanyo Mheshimiwa JPM na timu yake ya Taifa ?
Tanzania mpya ya Magufuli inahitaji katiba mpya ili tupige hatua mbele na kuondoka hapa tulipo.
 

100 Likes

JF-Expert Member
Nov 5, 2018
2,414
2,000
Hiyo Mpya ndo itaheshimiwa?

Heshimu iliyopo kwanza ndo uwaze kuwa na mpya.
 

Kishimbe wa Kishimbe

JF-Expert Member
Jul 18, 2013
3,428
2,000
Kwakuwa kitu ya Madagascar iliishia 'high table', wadau wamependekeza na hivi vipimo vipya kutoka China navyo viishie hukohuko!!!!!!!!!!!!!
👊 😅 ✌️💥
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom