inawezekana

  1. Bata batani

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana mwanamke asikamate ujauzito akiwa katika siku za hatari?

    Ningependa kufahamu hivi inawezekana vipi mwanamke akiwa katika siku za hatari mimba isiwe kukamata au asipate mimba
  2. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kuanzisha shule ya msingi binafsi inayofundisha kwa Kiswahili?

    Hivi shule za private lazima zifundishe kwa Kiingereza?
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Baba Askofu Bandekile Mwamakula asema inawezekana Job Ndugai alisoma Kitabu cha Animal Farm

    Je mliokisoma kitabu hicho mliona nini kwenye maandishi yake ? hebu tusimulieni na sisi wengine tuelewe . ==== Inaonekana Spika Ndugai alisoma kitabu cha Animal Farm! Bunge chini ya uongozi wake halikumpa Tundu Lissu nafasi ya kusikilizwa na kujitetea, lakini alihoji akiwa katika Bunge hilo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hii inatokea na inawezekana tu Tanzania, hivyo acheni wenye Akili watucheke na watudharau kwani tumejitakia na tunastahili

    Rais Mama Samia Suluhu Hassan ameendelea 'Kuchemka' kwa Kujiita ni Rais wa Awamu ya Sita ila amesahau kuwa Leo amehutubia Wabunge waliochaguliwa katika Awamu ya Tano. Nao Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Leo muda mwingi walikuwa wakimfurahia, wakimpigia Makofi, wengine hadi kupiga...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Jicho la tatu: Inawezekana walichota kuokoa za Mzee Baba kwa hofu ya kutojua mrithi wake angekuwa na msimamo gani

    Hawa watu walikuwa washirika wakubwa na wa karibu wa Mzee Baba na huenda waliunda ushirika wao kwa lengo la kufanikusha mipango yao kwani si rahisi kwa tunayoyasikia kutokea kirahisirahisi tu kisa eti fulani alikuwa mgonjwa(mnaanzaje kwa mfano?) Hivyo basi, kwa mtazamo wangu, inawezekana...
  6. Mchokozi wa mambo

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Vodacom wamegoma kuhusu mabando

    Nimefuatilia sana na mimi mmojawapo wa wateja wa Vodacom nimekuwa natumia line ya chuo ambapo kwa Tsh 1,000/= nilikuwa nanunua dk 110, GB1 na sms 100 kwa siku 3, lakini sasa napata mb 500, DK 40 na sm 50 kwa siku 3. Si hivyo kuna rafiki yangu alikuwa ananunua bando la Tsh 2,000/= dk100, GB 1 na...
  7. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana sakata la TPIL na ARV feki lilikuwa ni hujuma?

    TPIL(Tanzania pharmaceutical industries limited ) ni kiwanda cha dawa kilichopo jijini Arusha. Zamani kilikuwa cha serikali lakini kilibinafsihwa mwaka 1997. Miaka kadhaa iliyopita kiliingia kwenye kadhfa kubwa ya kutengeneza ARV fake. Kuna ingredients hawakuweka wu walichanganya. Hilo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Suala la Madini: Serikali ya Magufuli haikutueleza ukweli wote

    Jana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan katueleza wazi kuwa licha ya Ukuta wa Mererani, bado madini yanatoroshwa. Pia Rais Saia akatueleza kuhusu Mkataba wetu na Kampuni ya Madini ya Barrick kuwa kuna mambo mle kwenye mkataba hayajakaa vizuri. Sasa najiuliza, kama...
  9. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana ukahama na mita yako ya umeme?

    Swali langu ni je inawezekana ukahama na mita yako ya umeme? Mfano ulipanga chumba cha biashara sehemu na hiyo sehemu hakukuwa na umeme ukafanya michakato TANESCO ukavuta umeme. Baada ya muda ukajenga chumba chako cha biashara na unataka kuhama hapo ulipopangisha. Je, inawezekana ukawaomba...
  10. Boban boy

    JamiiForums Tanzania Tupeane maaarifa je inawezekana kutumia program za computer kwenye smartphones?

    Nmechek youtube nkaona kuna kitu kinaitwa exagear kwamba unaweza run program za computer kama virtual dj au fl studio ukaweza tumia kweny smartphone ila kwang inagoma je kun mjuzi humu anisaidie.
  11. May Day

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana Mtu ukapendwa au ukakubalika na watu wote?

    Baada ya huu msiba nimejikuta najiuliza maswali mengi na hili ni moja wapo na bado sipati jibu sahihi. Kwamba pale unapozungukwa na kundi la Watu na upo mbele yao ukilazimika kuwapendeza miongoni mwao na huku ukijua kabisa wapo utakawaudhi nini ufanye kwa mtihani kama huu?
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kama inawezekana double kick ipunguze asilimia ya kilevi chake

    Najua tumekuwa na siku ndefu ya huzuni katika shughuli ya kumpumzisha kipenzi chetu Hayati Dr JPM namshukuru Mungu tumemaliza shughuli salama jemedari apumzike kwa amani aluta continue. Bila kuwapotezea muda nimekuwa mitaani na kushuhudia Jinsi kinywaji hiki kinavyopendwa na kununuliwa na...
  13. Deejay nasmile

    JamiiForums Tanzania Nokia lumia: inawezekana kutoa windows os na kuinstall android os?

    Msaada wakuu..nina kisimu cha zaman hapa nokia lumia 720 nataka nibadilishe os yake kutoka windows kwenda android, Je inawezekana?? Msaada wenu na ushauri ni muhimu wakuu.. Ninachochukia windows hawana apps nyingi nizipendazo
  14. GeoMex

    JamiiForums Tanzania Aeleza walivyokubaliana na mume wake kutafuta watoto nje ya ndoa

    Dar es Salaam. Mkazi wa Tabata Liwiti, Magreth Silaeli (37) ameieleza Mahakama ya Mwanzo Buguruni kuwa walikubaliana na mume wake, Raymond Kulaya (44), waachane kwa muda ili kila mtu akatafute watoto “anapopajua” baada ya kuishi miaka mitano bila kupata mtoto. Magreth sasa anaiomba mahakama...
  15. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inawezekana hili la mahindi lilikuwa namna ya kutafuta pakupotezea wadadisi wa mambo

    Kuna mshkaji mtaani tulikua tunajadili changamoto iliyopo kwenye zogo la mahindi baina ya Kenya na Tanzania, akanipa uwezekano wa wazo fulani, naifahamu sana Serikali yangu ya Kenya ikitaka kuficha kitu kwanza huwa na mazoea ya kuibua jambo lingine litakalosababisha migongano ya baina yetu...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Laini moja ya simu inawezekana kumilikiwa na zaidi ya mtu mmoja na kuwa hewani?

    Mara kadhaa kaka akinipigia ananiambia mbona namba yako kuna mtu huwa anapokea.Basi nikawa napuuzia kuwa labda huwa anakosea. Ni line ambayo ina zaidi ya miaka 8 na nimesajili kwa kutumia kitambulisho cha NIDA. Basi juzi juzi jamaa mwingine ananiambia mbona namba yako kuna mtu mwingine anapokea...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Nimemuelewa DC Sabaya, inawezekana kabisa Godbless Lema alisaidiwa na CCM Arusha kwenda uhamishoni!

    DC Ole Sabaya amesema mambo mawili makubwa: Mosi, CCM Arusha kuna kandarasi ya majungu ambayo mradi wake mkubwa ni kuwapiga vita wazalendo wa kweli kama yeye. Pili, Kuvuka mpaka na kwenda kupata ukimbizi nchi nyingine siyo jambo rahisi na mtu mwepesi mwepesi kamwe hawezi kupata fursa kama...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Rais Mwinyi na Magufuli hawawasiliani katika uongozi?

    Wanaojua masuala ya uongozi wa nchi zetu Zanzibar na Tanganyika wanisaidie juu ya haya Mawasiliano baina ya Marais wetu Dk. Hussein Mwinyi na Dk. Magufuli (Tanzania). Nijuavyo ni kwamba Muungano wetu ni wa nchi moja ndani ya Serikali mbili. Uamuzi wa Rais Magufuli unaathiri maeneo yote ya nchi...
  19. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Inawezekana mfumuko wa bei Tanzania ni wa kutisha, idara ya Takwimu wametupiga chenga ya mwili kwa takwimu za Januari, ila nimewagundua

    Kuna mabadiliko makubwa sana ya kitakwimu nimeyagundua kwenye report ya mfumuko wa bei ya mwezi January, ambayo inasema kwamba mfumuko wa bei kwa miezi 12 iliyopita mpaka mwisho wa mwezi January 2021 ni asilimia 3.5 tu!. Niliangalia hii report ilivotoka wiki iliyopita, lakini sikuelewa...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya Viwanda Inawezekana. Tukaze Kamba

    Katika Kuunga mkono Kauli ya Raisi Wetu Mpendwa, Watanzania TukazeKamba Tuanzishe Viwanda vyetu. Kwa Juhudi ndogo niliyofanya nimeona kuwa kumbe TANZANIA YA VIWANDA INAWEZEKANA.
Back
Top Bottom