inawezekana

  1. Reptilia

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano mechi ya leo Kagera Sugar alizunguka mbuyu

    Rejea headline hapo juu, Kulingana na mechi iliyochezwa leo pale uhuru Simba vs Kagera Sugar kuna namna imefanyika hata ukiangalia wachezaji wa Kagera wanavocheza kama vile wamepewa vyanzo vya kuzidi ili wacheze tu ilimradi kuwa vutia mashabiki wa Simba kwenye mech ijayo dhid ya Wydad wawepo...
  2. Maleven

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kweli laana ya mwanake uliemuacha kwa makusudi ikanipata?

    Nilikua na mahusiano na binti, tulikua wadogo yeye O level mimi advance, alinipenda kwa dhati ila mimi nikiri sikua najua maana ya upendo na maumivu yake, nilipomaliza advance nilimuacha tu bila kosa. Alilia wiki nzima lakini nilichukulia kawaida sana kwanza niliamini ni kama maigizo...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Sitaki kuamini kuwa aliyetuumba alituumba ili tumuabudu, bali alikuwa na malengo mengine na inawezekana viumbe hai wote kwake ni mifugo

    Mtanisamehe kwa mada hii inayoweza kuleta ukakasi ila hili ni Jukwaa huru. Tumekuwa tukiambiwa kuwa alietuweka hapa duniani alifanya hivyo ili tumuabudu. Binafsi hili swala kwangu linanifanya nikjiule maswali mengi sana; 1. Yaani alijichosa kisa tu kuabudiwa? Na kama ni kweli ili tumuabudui...
  4. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Ushamba na Ujinga zikawa moja ya vyanzo vikuu vya Umaskini wetu

    Nipo Saudi Arabia. Nchi ya kiislamu ambayo ndipo ndugu zetu waislam wanakuja kutimiza moja ya nguzo kuu za uislamu. Habari ya mji hapa ni mji wa kisasa wa kiteknolojia na starehe unaojengwa kutokana na mawazo ya Prince Mohammed Bin Salman ambaye hapa Saudi yeye ndo Crown Prince yaani Mkuu wa...
  5. Ejolisi

    JamiiForums Tanzania KWELI Inawezekana kuwa kwenye siku za hatari ukiwa kwenye siku za hedhi

    Nina swali ndugu zangu hivi inawezekana siku za hatari zikaangukia katika mzunguko kuingiliana na siku za hedhi? Mfano, siku za hedhi ni tano ile siku ya 4 au 5 ikiwa siku ya hatari?🤔
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Neymar aumia goti, inawezekana akawa nje hadi mwisho wa msimu huu

    Neymar amepata majeraha ya goti wakati akiitumikia timu ya Taifa ya Brazil ilipopoteza magoli 2-0 dhidi ya Uruguay, ambapo anatarajiwa kufanyiwa upasuaji. Amepata changamoto hiyo ikiwa ni miezi miwili tangu aliposajiliwa na Al-Hilal ya Saudi Arabia na kupewa Mkataba unaomwezesha kulipwa Pauni...
  7. Webabu

    JamiiForums Tanzania Nimeona kitu pale JKNI. Je, inawezekana hilo?

    Pale kwenye njia ya reli kuelekea Gongo la mboto na kuendelea wamejenga tuta kuelekea upande wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa JKNI. Ujenzi unaendelea sijajua wataishia wapi au ndio wanaelekea uwanjani moja kwa moja? Nimeuliza hivyo kwani natamani nione uwanja wa ndege wetu unaunganishwa na...
  8. mshamba_hachekwi

    JamiiForums Tanzania Unahitaji shingapi ili usifanye kazi tena?

    Nimewaza jinsi watu tunavyotumia muda mwingi kwenye maisha yetu katika kutafuta hela. Iwe ni muajiriwa wa kawaida, au hata tajiri, wote wanahangaika na pirika za kiuchumi, na kwa ujumla lengo kuu ni kupata pesa zaidi. Sasa nimejiuliza hivi haiwezekani kuwa na hela za kutosha kiasi kwamba...
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Nauliza kwa wanaofahamu: Je inawezekana Juice dispenser ya mitungi mitatu kuendeshwa kwa solar?

    Wakuu habari za kazi. Nina juice dispenser ya mitungi mitatu, lakini ilitengenezwa maalumu kwa kutumia umeme. Nataka kwenda kuitumia mahali ambapo hakuna umeme, ndipo nikawa najiuliza je inawezekana nikanunua mfumo wa solar na ikawezekana kuiendesha hiyo juice dispenser? Specification zake ni...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Mke mwenye mimba ya miezi minne hatarini kuachwa, inawezekana?

    Ni jeuri kuliko ujeuri wenyewe! Ujeuri wake hauangalii kamwe usingle mother wake, wala msaada unaofanywa na mumewe wa kuishi na mtoto wake aliyemkuta. Ye ni kumjeuria tu mumewe muda wote tangu mwaka wa kwanza wa kuoana kwao....kasababu kadogo tu maneno ya nyodo mengiiiiii; 'una nini wewe?'...
  11. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Inawezekana huyu binti ni mtoto wa Ronaldinho

    Huyu binti anaitwa Miche Minnies ana miaka 13 na ni mchezaji wa timu ya wanawake ya Mamelodi Sundowns ya Africa Kusini. Miche Minnies anavuma mtandaoni kwa ufanano wake na gwiji wa Brazil Ronaldinho. Ronaldinho wa Brazil alitembelea Afrika Kusini hapo awali, na hivyo imezua mzaha kuwa aliacha...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Inawezekana upinzani unakuwa kwasababu ya kukuwa kwa demokrasia na sio kudhoofika kwa CCM

    Uelewa mdogo wa watu unachangia kwa hili kupotoshwa. Upinzani Tanzania unakuwa sana lakini sio kitu kibaya kwa nchi wala chama tawala. Kukuwa kwa vyama vya upinzani ni kukuwa kwa demokrasia na sio kweli kila kukuwa kwa upinzani kunatokana na CCM kufanya ubaya. Bila watu wa CCM kuelewa hili...
  13. Nemesis

    JamiiForums Tanzania Lini Viwanja vinavyomilikiwa na CCM vitakuwa chini ya umiliki wa Serikali Kuu au Halmashauri husika?

    Uwanja wa CCM Kirumba ambao unamilikiwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) Enzi za chama kimoja, majengo na maeneo yote ya umma yalikuwa chini ya Serikali. Ujenzi na uendelezaji wa maeneo hayo ulifanya na Serikali kupitia kodi za wananchi, michango, fedha za wafadhili na wahisani mbalimbali. Kwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania MSAADA JAMANI: Inawezekana kupata marksheet ya A level?

    Kuna mdogo wangu mmoja hapa alikuwa ameomba chuo India ila wamemwambia atume A level marksheet. Sasa naomba kuuliza unaweza pata hio marksheet, wizara ya elimu kule???
  15. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Mary Chatanda: Freeman Mbowe amekosa shukrani kwa Rais Samia pamoja na kumtoa gerezani. Huenda ameathirika kisaikolojia

    Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Taifa Mary Chatanda amemshukia vikali Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Freeman Mbowe kwa kile alichokieleza kuwa amekosa shukrani kwa Rais Samia Suluhu Hassan ambaye alimtoa gerezani alikokaa kwa muda...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mbinu hii itawezekana vipi kwenye kilimo changu?

    Wakuu, nimenunua shamba milimani huko, shida yake hili shamba ni maji, ukitaka kulima mazao lazima usubirie msimu wamvua. Sasa nataka nilipande mazao ya muda mrefu ambayo yanahitaji kumwagilia kwamiezi kadhaa, bondeni ya hili shamba kuna maji mengi tu. Je, itawezekana kutumia mbinu gani niweze...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Wakili Madeleka: Kauli aliyotoa Masauni inathibitisha hafahamu wajibu anaoutumikia, inawezekana alipewa kwa bahati mbaya

    Wakili Madeleka amesema mamlaka aliyonayo Masauni kama Waziri wa Mambo ya Ndani ni mamlaka ya kisera kuhusu vyombo ambavyo vipo chini ya wizara ile lakini hana mamlaka ya kiutendaji ya kila siku ya vyombo vile. Kama ni polisi kuna IGP mwenye majukumu yake na yuko trained kuyatekeleza majukumu...
  18. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Inawezekana hoja ya Profesa Assad ilikuwa na mashiko

    Mwezi April 2021, tarehe 10, CAG Mstaafu, Profesa Assad, aliitoa kauli ambayo ilizua gumzo kwa watu wengi. Wapo walioiunga mkono, huku wengine wakiipinga vikali. Nafikiri wafuatiliaji wa Habari wangali wakikumbuka. Profesa alisema kuwa asilimia sitini ya viongozi wa Serikali hawana uwezo mzuri...
  19. Half american

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kurudisha namba ya simu ambayo ameshasajiliwa mtu mwingine?

    Nilipoteza namba yangu ya voda kabla haujaingia mfumo huu wa sasa wa kusajili kwa NIDA na kuthibitisha. Baada ya huu utaratibu kuanza ikawa imepewa mteja mwingine. Natamani niirejeshe iwe yangu kwa sababu nilijiunga nayo vitu vingi vya muhimu ikiwamo email na kwa sasa siwezi kutumia email...
  20. ukara

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana kwamba Waarabu wanarudi kwenye himaya yao ya kibiashara?

    Naona kama Waarabu wanarudi kwenye himaya yao ya kibiashara waliyokuwa wameishikilia enzi na enzi kabla ya ujio wa utawala wa kizungu Ninawaza sana maana naona mkakati wa kuirudisha pwani na bara katika mahusiano yao ya kibiashara kama hapo awali unaanza kujipenyeza taratibu japo wakati huu...
Back
Top Bottom