Inawezekana Ushamba na Ujinga zikawa moja ya vyanzo vikuu vya Umaskini wetu

Lord denning

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
13,226
26,048
Nipo Saudi Arabia. Nchi ya kiislamu ambayo ndipo ndugu zetu waislam wanakuja kutimiza moja ya nguzo kuu za uislamu.

Habari ya mji hapa ni mji wa kisasa wa kiteknolojia na starehe unaojengwa kutokana na mawazo ya Prince Mohammed Bin Salman ambaye hapa Saudi yeye ndo Crown Prince yaani Mkuu wa Serikali (Waziri Mkuu). Mji huu unaitwa Neom.

Mji huu unajengwa kuwa mji wa kipekee wa starehe na teknolojia na ndani yake kutakuwa na mahoteli makubwa, Casinos, Parks na Artificial Beach kwa ajili tu ya kuvutia watu kwenda kufanya starehe. Ndani ya mji huu mtu utakuwa huru kustarehe unavyotaka yeye na hakuna cha hijabu wala mavazi ya staha.

Dhumuni la Saudia kujenga mji huu ni kukuza utalii. Na wanategemea kuingiza trillions of money kupitia watu watakaoenda kutembelea mji huu kwa ajili ya kufanya starehe tu.

Hapa Tanzania tuna jiji linaitwa Dar es Salaam. Kwa takwimu za viwanja vya ndege sasaivi utalii umeshuka sana na kiwanja cha ndege cha Dar ndo cha mwisho kwa kupokea watalii saivi kikiwa nyuma na Uwanja wa Zanzibar na KIA. jiji hili pamoja na kuwa na fukwe nzuri za kutosha na maeneo mengi ambayo yangetumika vizuri ila bado hatujaona jitihada zozote za Serikali katika kulifanya kuwa kama Jiji la kipekee.

Kituko zaidi ni unapogundua sisi ujinga ndo unatufanya kuwa maskini kupitia matamko yanayotolewa na Viongozi wa Serikali.

Juzi Mkuu wa Mkoa wa Dar Chalamila ametoa maelekezo ya kufungiwa sehemu za massage. Huu ni uthibitisho kuwa ngozi nyeusi tuna shida katika kufikiri kwetu.

Pamoja na mkoa wake sasa kuzidiwa na Zanzibar badala apambane kutumia ubunifu kulifanya jiji lake kuw na sifa ya kuvutia wageni wengi zaidi ili kuongeza mapato yeye anapambana kufungia sehemu za massage. Hawajui inawezekana wakaja watu hapa Tanzania na Dar kwa sababu tu ya hizo sehemu za massage na kuongeza idadi kubwa sana ya Watalii.

Ushamba na Ujinga wetu uko kwenye sisi kujiona na tuna maadili na dini kuliko jamii nyingine. Na tunajiona pia kama sisi ndo tunamjua Mungu kuliko watu wengine. Na kwa ushamba huu tumejikuta tunaifanya nchi yetu kutokufanya mambo ambayo yanaweza kuihakikishia nchi kupata mapato mazuri na kufanya maendeleo kwa wananchi.

Napenda kumaliza kwa Kusema tuna safari ndefu sana.

Lord Denning
Saudi Arabia
 
Saudi ArArabiaDom
Domo zege unatetea madanguro tu hapo. Maelezo mengi kumbe unateseka na nyege
 
Kwa hiyo wewe jomba point yako kubwa ni massage kufungiwa? Unataka TZ iingize kipato kupitia madanguro (massage centre karibu zote ni vituo vya ngono)? Una mawazo ya KIPUMBAVU.
 
Nipo Saudi Arabia. Nchi ya kiislamu ambayo ndipo ndugu zetu waislam wanakuja kutimiza moja ya nguzo kuu za uislamu.

Hapa Tanzania tuna jiji linaitwa Dar es Salaam. Kwa takwimu za viwanja vya ndege sasaivi utalii umeshuka sana na kiwanja cha ndege cha Dar ndo cha mwisho kwa kupokea watalii saivi kikiwa nyuma na Uwanja wa Zanzibar na KIA. jiji hili pamoja na kuwa na fukwe nzuri za kutosha na maeneo mengi ambayo yangetumika vizuri ila bado hatujaona jitihada zozote za Serikali katika kulifanya kuwa kama Jiji la kipekee.

Kituko zaidi ni unapogundua sisi ujinga ndo unatufanya kuwa maskini kupitia matamko yanayotolewa na Viongozi wa Serikali.

Ushamba na Ujinga wetu uko kwenye sisi kujiona na tuna maadili na dini kuliko jamii nyingine. Na tunajiona pia kama sisi ndo tunamjua Mungu kuliko watu wengine. Na kwa ushamba huu tumejikuta tunaifanya nchi yetu kutokufanya mambo ambayo yanaweza kuihakikishia nchi kupata mapato mazuri na kufanya maendeleo kwa wananchi.

Napenda kumaliza kwa Kusema tuna safari ndefu sana.

Lord Denning
Saudi Arabia
Naunga mkono hoja.
P
 
Ujinga na ushamba havijawahi zuia watu kuendelea. Viongozi wa nchi ndiyo sababu hasa ya watu kuendelea au kutoendelea.

Hao viongozi wanatokea kwenye jamii ipi?
Hawatoki mbinguni, wanatoka kwenye jamii zenye matatizo hayo
Kuendelea kuna types neg na pos dev
Ujinga na ushamba unaweza fanya tukapata neg dev halaf tukajiaminisha ni pos dev

Is why nyerere alipiga vita sana hii kitu.
 
Kwa hiyo wewe jomba point yako kubwa ni massage kufungiwa? Unataka TZ iingize kipato kupitia madanguro (massage centre karibu zote ni vituo vya ngono)? Una mawazo ya KIPUMBAVU.
Tatizo mpo huko kantalamba mnakesha makanisani na misikitini hamjui hata dunia ipoje na inaendaje na mnasema mnataka maendeleo.

We unadhani hizo nchi zilizoendelea zinakusanya fedha nyingi kwenye mambo gani hadi mnakuja kujengewa vyoo huku kwenu?
 
Hivi Dar es salaam kuna kivutio chochote cha kitalii kinachoweza kushawishi watalii kushuka JNIA na kukaa angalau kwa siku tatu? 🤔
 
Ujinga na ushamba upo sehemu zote na ngazi zote
Uko sahihi. Mawaziri wengi ni washamba. Mtu anateuliwa leo anaanza ziara za kushangaa miundobinu iliyojengwa na wenzake. Akishamaliza kushangaa,anaanza kuuliza wasaidizi, then ajitie mjuaji zaidi. Kitakachofuata anakua kimya au kuanzisha vyake vya kishambashamba, kutafuta ndugu zake yaani washamba wenzake kuwapatia nafasi. Angalia Wizara za Mifugo,Kilimo nk. Wizara zina Phds kibao, hakuna wanachofanya
 
Umewahi kufika beach za kigamboni? Zina tofauti gani na za Zanzibar?

Kwa nini watalii sasaivi wanaenda kwa wingi Zanzibar hawaji Dar hapo Kigamboni?
Ndio!....Kimbiji kule kuna fukwe zenye mchanga mweupe. Vivutio hivi havitaweza kuonekana kama havitatangazwa kama walivyofanya Zanzibar.
 
Unafikiri matangazo pekee ndo yanaleta utalii?

Hujiulizi kwa nini pamoja na Zanzibar kuendeshwa kiislamu ila sehemu za kitalii zinauza pombe?
 
Tatizo mpo huko kantalamba mnakesha makanisani na misikitini hamjui hata dunia ipoje na inaendaje na mnasema mnataka maendeleo.

We unadhani hizo nchi zilizoendelea zinakusanya fedha nyingi kwenye mambo gani hadi mnakuja kujengewa vyoo huku kwenu?
Wewe danguro lako linapatikana maeneo gani?
 
Kama ishu ya utalii huoni wanawekeza Arusha ,Dodoma na Dar es salaa ...Je unaonaje kama wangewekeza utalii katika miji hii yenye fukwe nzuri kama Zanzibar badala yake wanawekeza maporini tu kwey wanyama...

Huoni kama sekta ya utalii imebinywa sana kiasi tunakosa kutanua kila kona ....Bado endelea kuzunguka utaona mambo mengi zaidi mpaka utachek ni nadra sana kukuta nchi nyingi kukosa utalii sehemu za fukwe kila kona mji mikuu ipo pembeni mwa bahari na maziwa ili kule madhari nzuri ya utaliii.

Leo ndugu zako wapo bussy kujenga Dodoma ambayo inawagharimu oesa kibao 😂😂😂..
 
Uwekezaji gani wa kitalii unafanywa Dodoma? Unajua kweli maana ya uwekezaji wa kitalii?

Pale Dodoma kinachofanyika ni furahisha genge kwa mandezi tu hakuna chochote cha maana kinachofanyika pale
 
Back
Top Bottom