Nachokijua kuna baadhi ya social media sites na platforms zilizo na kitufe cha 'delete account' pale mtumiaji anapohitaji. Mfano social media za facebook, twitter na instagram
Kuna social media nyingine ambazo hazina kitufe cha 'delete account' kama vile Jamiiforums
Vipi kwa upande wa account...
Ukisikiliza wanasiasa unaweza kubaki Midomo wazi
Shule yenye wanafunzi 700 kuwa na Walimu watatu hii maana yake walimu wanachokifanya ni kugeuka maaskari. Tu kuhakikisha wanafunzi wanalindwa ili wasiumizane na warejee majumbani kwao salama
Nimeshuhudia haya maeneo mengi ya vijijini Hakuna...
Habari wadau, kuna simu ya iphone nataka niinunue kwa mtu kwa hela ndogo ipo network locked ila anaitumia kwa gevey sim, hivi gevey sim haina shida? Na je kama sitaki kutumia gevey inawezekana kui unlock? Asanteni sana.
Huwa najiuliza sana hili swali. Yaani huwa nashangaa kusikia au kuona mwanamke au mwanaume mwennye miaka 35+ kulia na kuhangaika kwa sababu ya mapenzi! Ni kwamba wameruka hatua za ukuaji au ni hisia?
Unajua above 35, tuna assume mtu ana watoto wakubwa ambao wameshaanza kujitambua. Na hata kama...
Naombeni muongozo wakuu ni pitr njia zipi, Na ndoto kuwa siku moja nije kuwa rais wa chama Cha walimu Tanzania.
Bado nipo chuo mwaka wa pili nasoma bachelor of science with education.
Vipaumbele takapo kuwa rahisi wa CWT apo mwaka 2040
01. Pambana nyongeza za mishahara kwa walimu.
02. Huduma za...
Habari wana JF,
Karibuni nataraji kujiunga na diploma ya computer science,nimelazimika kusoma diploma kutokana na majukumu yangu kwa sasa japokuwa form four nilifaulu vizuri tu namshukuru mola.
Swali langu ni kuwa, je naweza kufanya mtihani wa ACSEE kwa baadae kama private candidate sawa...
Kama kichwa kinavyojieleza,
Nina mpwa wangu naishi naye alifanya usaili utumishi kwa kada ya sheria.
Katika mtihani wake alibahatika kupata 90/100 akaibuka wa kwanza kwenye mtihani wa kuandika.
Lakini cha ajabu mpaka sasa hajaitwa kazini.
Tumekua nawasiwasi labda alitudanganya.
Hivi...
Habari wakuu,
Naomba niende kwenye mada, kwa wenye uelewa na hili naomba kufahamu zaidi.
Ni sahihi au kuna upigaji kwenye hili?
Miaka 39 kazini Serikalini.
Mafao hayazidi 10Million
Mshahara aliostaafia Laki 6 (miaka 7)
Kabla alikuwa akilipwa 250K-450K
Asante
Nchi nilipo sasa hivi kweli Ni kubwa lakini watu waishio huku wanapata tabu maji shida, barabara taabu, Afya shida, umeme ndo kabisa ukiwauliza habari ya matumizi ya gesi ya kupikia hawaelewi kabisaa.
Jamani kuna maeneo bado loh! Picha nimekatazwa kupiga.
Wasalaam,
Hivi makamanda mnaojifanya sio watu wa shoo au kulove au kuopoa mademu mnaishije?
Je nyie mnatumia meditation za ulokole au inakuwaje?, fikiria daily mnaona misambwanda, chuchu, figure kama zote, lips kali, nyonyozi kama zote.
Tusaidieni na sisi tufanye meditation za hisia za kuvuta...
Huduma ya afya ni haki ya msingi kwa kila mtanzania. Ni wajibu wa serikali kuweka utaratibu wa kuwezesha kila mtanzania anapata haki hii ya msingi. The Healthcare must be easily accessible and affordable to every tanzanian.
Huko nyuma hadi mwaka 1998 huduma hii ilikuwa inatolewa bure na...
Salamu wakuu.
Mambo yasiwe mengi, nipo sehemu napata kilaji huku nikicheki mechi ya Yanga na Azam live.
Ee bwana meza zimechafuka beer kila pande watu wanamwagilia moyo ndipo wazo likaja inawezekana hawa jamaa msimu huu ndio huwa wana sales kubwa kuliko miezi yote.
Uzi tayari.
NIMEONA na kusikia kelele nyingi mitandaoni kuhusu Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez. Inasemekana amekuwa shida pale Simba. Inasemekana.
Nimeona baadhi ya watu wakisema kuwa Barbara amekuwa akikwamisha baadhi ya vitu pale Simba. Tena wanaosema, wanaongea kwa kujiamini kweli.
Ni ngumu...
Tuna silaha za moto kuua watu kwenye Mbuga za wanyama kisa walienda tu kuwinda swala.
Tuna Magari ya TRA (land cruiser) mipakani kuwakamata vijana wanabeba sukari kg 20 kutoka nchi moja kwenda nchi nyingine na kuwapa kesi za uhujumu uchumi.
Tuna boti za patrol ziwani 24/7 kukamata wavuvi na...
Kwenu wataalamu, rejea kichwa cha thread hii. Maisha ni magumu Sana, je, loan board wanaweza kukata 15% ya deni kutoka kwa mwajiriwa kwa kurusha baadhi ya miezi? Mfano: 1-3-5-7 au namna nyingine?
Nawasilisha
Kuna magonjwa mengi yanayosababisha upungufu wa Kinga mwilini ikiwemo maambukizi ya VVU.
Kumekuwa na mijadala mingi pamoja na tetesi zinazohitaji majibu ya kina kuhusu uwezekano wa kupata VVU/UKIMWI kutoka kwa mtu aliye athirika hasa ikihusisha ushiriki wa tendo la ndoa pasipo kutumia kinga...
Makala hii imeandikwa katika gazeti la Raia Mwema (25/10/2022).
HESABU za kisiasa za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA ) mara zote ni kama zinakosa uhalisia, hali ambayo inasababisha wao kukwama katika kutimiza malengo yao ya kisiasa!
CHADEMA ni kama hawana malengo ya muda mrefu na...
GENTAMYCINE nitakuwa wa mwisho Kiamini Mtoto wa Jirani yangu Kumfanyia Umafia Mwanangu ama bila ya Baba yake kujua au hata nae Kuchangia na Kuchochea Uhuni na Upumbavu huo.
'Owner Chair' Taifa Vunja UVCCM.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.