Neymar aumia goti, inawezekana akawa nje hadi mwisho wa msimu huu

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,206
5,242
Neymar amepata majeraha ya goti wakati akiitumikia timu ya Taifa ya Brazil ilipopoteza magoli 2-0 dhidi ya Uruguay, ambapo anatarajiwa kufanyiwa upasuaji.

Amepata changamoto hiyo ikiwa ni miezi miwili tangu aliposajiliwa na Al-Hilal ya Saudi Arabia na kupewa Mkataba unaomwezesha kulipwa Pauni Milioni 130 kwa Mwaka.

Licha ya Klabu ya Al-Hilal kutobainisha muda ambao atakuwa nje ya uwanja lakini kuna hofu pia ya kukosa michuano ya Copa America 2024 inayotarajiwa kufanyika Marekani.

Aliumia wakati akiwania mpira na Nicolas de la Cruz katika dakika ya 44.

#####

Neymar suffers a torn ACL on Brazil duty and could MISS the rest of the season - just two months after signing a £130m-a-year contract at Saudi side Al-Hilal... with forward a huge doubt for next summer's Copa America


Neymar could be out for the remainder of the season with the Brazilian star set to have surgery after rupturing his ACL and suffering a meniscus tear in his left knee, Al-Hilal have confirmed.

The former PSG and Barcelona forward suffered the agonising injury while playing in his nation's 2-0 defeat to Uruguay in World Cup qualifying on Tuesday evening.


He now faces a race against time to recover ahead of the Copa America in the United States next summer.


Al-Hilal posted on X, formerly called Twitter: 'The medical tests Neymar underwent confirmed the Anterior Cruciate Ligament and Meniscus tear injury in his knee. He will be going through surgery and then a treatment program that will be determined later.'

Neymar only signed his £130million-per-season contract with the Saudi Arabian club a couple of months ago.

He collapsed after competing for the ball with Nicolas de la Cruz in the 44th minute, holding his left leg in pain and calling for medical attention as his team-mates looked on anxiously.

The 31-year-old was taken off via a stretcher on wheels at half-time in clear agony and was pictured with a leg brace after the game.
Now his worst fears have been confirmed.

This year has already been a difficult one for Neymar with regards to injuries.

Source: DailyMail
 
Lauti neymar asingekuwa anasumbiliwa na majeraha basi baada ya messi na ronaldo angeimbwa yeye.
Nauona mwisho wa neymar ni kama wa Eden Hazard
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom