Inawezekana upinzani unakuwa kwasababu ya kukuwa kwa demokrasia na sio kudhoofika kwa CCM

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,609
8,753
Uelewa mdogo wa watu unachangia kwa hili kupotoshwa.

Upinzani Tanzania unakuwa sana lakini sio kitu kibaya kwa nchi wala chama tawala. Kukuwa kwa vyama vya upinzani ni kukuwa kwa demokrasia na sio kweli kila kukuwa kwa upinzani kunatokana na CCM kufanya ubaya. Bila watu wa CCM kuelewa hili mtakuwa kila siku mnakimbizana na upepo bila kushinda na badala yake mtaishia kuumiza watu bure. Kwa nchi za demokrasia kuna hatua kama tatu muhimu

1. Mwanzoni kutakuwa na vyama vingi sana na chama cha zamani kama CCM kitakuwa kinashinda
2. Hatua ya pili ni vyama kupungua na kubakia vichache. Wakati huu chama tawala kinakuwa na 60%~65% na upinzani kwa ujumla 40%~35%
3. Hatua ya tatu ni upinzani kubaki na chama kimoja au viwili. Yaani kwa ujumla nchi inakuwa na vyama vikuwa kama 3 tu na viwili vikubwa
4. Hatua ya nne ni kwamba vinabaki vyama vikuu viwili 50%~50% yaani chochote kinaweza kushinda.
Hizi hatua zote nchi za demokrasia zinapitia. Kenya kwa mfano wamepitia hatua zote na tunaona washindi wanashinda kwa 1%~3%. US hivyo hivyo sio zaidi ya 5%.

Nchi ikiendelea watu wanaanza kujua ukweli na sio kudanganywa kama kuita wapinzani mabeberu, wafanya fujo, wahaini, wakabila, wadini. Haya chama tawala kitajarubu kuyaweka na kuyasema lakini baada ya wananchi kupata elimu hayatakuwa na mvuto tena.

Tanzania imefika sehemu watu wanaanza kuelewa demokrasia ni nini. Wanataahamaki kujifunza na kusikiliza na sio kushabikia. Kwa hatua iliyofika kuna mawili kwa chama tawala
1. Kubishia ukweli na kuendelea kuiba. Hii kwa njakati hizi italeta matatizo mengi sana. Matatizo sio tu kwasababu watu wanapenda upinzani lakini ni kwasababu watu wanapenda haki.
2. Kukubali kushindana kwa hoja na kujua ukweli kwamba njakati za kushinda kwa 60%~80% hazipo tena. Nchi za demokrasia iliyokomaa ni kushinda kwa kura chache na viti vichache. Kwa ujumla wake Lakini maendeleo ndiyo yanakuwa zaidi kama ushindani ni mkali.

Mahakama hii ya kisiasa ijiandae kupigiwa kampeni mbaya za siasa kwasababu imekaa kisiasa. Mahakama haitapewa hii heshima tena huko mbele mpaka ianze kutenda haki

Lakini nashauri serikali ifanye katiba sasa badala ya kusubiria wananchi wadai kwa nguvu au kwa kutumia jeshi. Huko mbele CCM watalazimika na watakuwa wanajadili katiba wakiwa dhaifu zaidi.

Kwa mawazo yangu upinzani unakuwa kwasababu nchi inakuwa kimaenddleo na kidemokrasia. Wananchi wanaanza kuelewa zaidi kutokana na mitandao. Umeme vijijini nao utakuwa baraka kwa demokrasia kuanzia Tv, reli na mitandao. Hivyo kukuwa kwa demokrasia sio jitihada za upinzani pekee au watu kupenda upinzani na kuchukia chama tawala hapana kwenye demokrasia watu hupendaga mabadiliko tu
 
Upinzani Tanzania unakuwa sana lakini sio kitu kibaya kwa nchi wala chama tawala. Kukuwa kwa vyama vya upinzani ni kukuwa kwa demokrasia na sio kweli kila kukuwa kwa upinzani kunatokana na CCM kufanya ubaya. Bila watu wa CCM
Naunga mkono hoja, mabadiliko hayaepukiki hasa zama hizi za kuenea kwa utandawazi.
 
Uelewa mdogo wa watu unachangia kwa hili kupotoshwa.

Upinzani Tanzania unakuwa sana lakini sio kitu kibaya kwa nchi wala chama tawala. Kukuwa kwa vyama vya upinzani ni kukuwa kwa demokrasia na sio kweli kila kukuwa kwa upinzani kunatokana na CCM kufanya ubaya. Bila watu wa CCM
Upinzani unakua kwasababu ya madudu yanayofanywa na ccm, kama dp word vile.
 
Hii trend ilikuwa, sema Magufuli alichofanya ni kuikanyagia na kupunguza spidi, ila huyu Mama kaachia mambo yanaendelea.

Sema nae hana dhamira ya kweli kutupa KATIBA MPYA.
 
Uelewa mdogo wa watu unachangia kwa hili kupotoshwa.

Upinzani Tanzania unakuwa sana lakini sio kitu kibaya kwa nchi wala chama tawala. Kukuwa kwa vyama vya upinzani ni kukuwa kwa demokrasia na sio kweli kila kukuwa kwa upinzani kunatokana na CCM kufanya ubaya. Bila watu wa CCM kuelewa hili mtakuwa kila siku mnakimbizana na upepo bila kushinda na badala yake mtaishia kuumiza watu bure.
Kwa nchi za demokrasia kuna hatua kama tatu muhimu

1. Mwanzoni kutakuwa na vyama vingi sana na chama cha zamani kama CCM kitakuwa kinashinda
2. Hatua ya pili ni vyama kupungua na kubakia vichache. Wakati huu chama tawala kinakuwa na 60%~65% na upinzani kwa ujumla 40%~35%
3. Hatua ya tatu ni upinzani kubaki na chama kimoja au viwili. Yaani kwa ujumla nchi inakuwa na vyama vikuwa kama 3 tu na viwili vikubwa
4. Hatua ya nne ni kwamba vinabaki vyama vikuu viwili 50%~50% yaani chochote kinaweza kushinda.
Hizi hatua zote nchi za demokrasia zinapitia. Kenya kwa mfano wamepitia hatua zote na tunaona washindi wanashinda kwa 1%~3%. US hivyo hivyo sio zaidi ya 5%.

Nchi ikiendelea watu wanaanza kujua ukweli na sio kudanganywa kama kuita wapinzani mabeberu, wafanya fujo, wahaini, wakabila, wadini. Haya chama tawala kitajarubu kuyaweka na kuyasema lakini baada ya wananchi kupata elimu hayatakuwa na mvuto tena.

Tanzania imefika sehemu watu wanaanza kuelewa demokrasia ni nini. Wanataahamaki kujifunza na kusikiliza na sio kushabikia. Kwa hatua iliyofika kuna mawili kwa chama tawala
1. Kubishia ukweli na kuendelea kuiba. Hii kwa njakati hizi italeta matatizo mengi sana. Matatizo sio tu kwasababu watu wanapenda upinzani lakini ni kwasababu watu wanapenda haki.
2. Kukubali kushindana kwa hoja na kujua ukweli kwamba njakati za kushinda kwa 60%~80% hazipo tena. Nchi za demokrasia iliyokomaa ni kushinda kwa kura chache na viti vichache. Kwa ujumla wake Lakini maendeleo ndiyo yanakuwa zaidi kama ushindani ni mkali.

Mahakama hii ya kisiasa ijiandae kupigiwa kampeni mbaya za siasa kwasababu imekaa kisiasa. Mahakama haitapewa hii heshima tena huko mbele mpaka ianze kutenda haki

Lakini nashauri serikali ifanye katiba sasa badala ya kusubiria wananchi wadai kwa nguvu au kwa kutumia jeshi. Huko mbele CCM watalazimika na watakuwa wanajadili katiba wakiwa dhaifu zaidi.

Kwa mawazo yangu upinzani unakuwa kwasababu nchi inakuwa kimaenddleo na kidemokrasia. Wananchi wanaanza kuelewa zaidi kutokana na mitandao. Umeme vijijini nao utakuwa baraka kwa demokrasia kuanzia Tv, reli na mitandao. Hivyo kukuwa kwa demokrasia sio jitihada za upinzani pekee au watu kupenda upinzani na kuchukia chama tawala hapana kwenye demokrasia watu hupendaga mabadiliko tu

Uko sahihi sana kwa andiko hili. Mara nyingi nimesema zama za CCM kutawala kwa ridhaa ya wananchi walio wengi zimeshapita, na kama hawaelewi na kuukubali ukweli huu, wataishia kupora chaguzi huku wakiwa hawana ridhaa ya umma. Matokeo yake ni kuishia kubambikizia kesi wasioikubali, na kupika Data ili kulazimisha kuonekana wanaleta maendeleo sana.

Ukweli ni kuwa CCM haina watanzania zaidi ya 50% wanaoikubali, na haitakaa ipate zaidi ya hao kwani hicho chama kinaonekana ni cha wazee wala sio cha kizazi hiki.
 
Uelewa mdogo wa watu unachangia kwa hili kupotoshwa.

Upinzani Tanzania unakuwa sana lakini sio kitu kibaya kwa nchi wala chama tawala. Kukuwa kwa vyama vya upinzani ni kukuwa kwa demokrasia na sio kweli kila kukuwa kwa upinzani kunatokana na CCM kufanya ubaya. Bila watu wa CCM kuelewa hili mtakuwa kila siku mnakimbizana na upepo bila kushinda na badala yake mtaishia kuumiza watu bure.
Kwa nchi za demokrasia kuna hatua kama tatu muhimu

1. Mwanzoni kutakuwa na vyama vingi sana na chama cha zamani kama CCM kitakuwa kinashinda
2. Hatua ya pili ni vyama kupungua na kubakia vichache. Wakati huu chama tawala kinakuwa na 60%~65% na upinzani kwa ujumla 40%~35%
3. Hatua ya tatu ni upinzani kubaki na chama kimoja au viwili. Yaani kwa ujumla nchi inakuwa na vyama vikuwa kama 3 tu na viwili vikubwa
4. Hatua ya nne ni kwamba vinabaki vyama vikuu viwili 50%~50% yaani chochote kinaweza kushinda.
Hizi hatua zote nchi za demokrasia zinapitia. Kenya kwa mfano wamepitia hatua zote na tunaona washindi wanashinda kwa 1%~3%. US hivyo hivyo sio zaidi ya 5%.

Nchi ikiendelea watu wanaanza kujua ukweli na sio kudanganywa kama kuita wapinzani mabeberu, wafanya fujo, wahaini, wakabila, wadini. Haya chama tawala kitajarubu kuyaweka na kuyasema lakini baada ya wananchi kupata elimu hayatakuwa na mvuto tena.

Tanzania imefika sehemu watu wanaanza kuelewa demokrasia ni nini. Wanataahamaki kujifunza na kusikiliza na sio kushabikia. Kwa hatua iliyofika kuna mawili kwa chama tawala
1. Kubishia ukweli na kuendelea kuiba. Hii kwa njakati hizi italeta matatizo mengi sana. Matatizo sio tu kwasababu watu wanapenda upinzani lakini ni kwasababu watu wanapenda haki.
2. Kukubali kushindana kwa hoja na kujua ukweli kwamba njakati za kushinda kwa 60%~80% hazipo tena. Nchi za demokrasia iliyokomaa ni kushinda kwa kura chache na viti vichache. Kwa ujumla wake Lakini maendeleo ndiyo yanakuwa zaidi kama ushindani ni mkali.

Mahakama hii ya kisiasa ijiandae kupigiwa kampeni mbaya za siasa kwasababu imekaa kisiasa. Mahakama haitapewa hii heshima tena huko mbele mpaka ianze kutenda haki

Lakini nashauri serikali ifanye katiba sasa badala ya kusubiria wananchi wadai kwa nguvu au kwa kutumia jeshi. Huko mbele CCM watalazimika na watakuwa wanajadili katiba wakiwa dhaifu zaidi.

Kwa mawazo yangu upinzani unakuwa kwasababu nchi inakuwa kimaenddleo na kidemokrasia. Wananchi wanaanza kuelewa zaidi kutokana na mitandao. Umeme vijijini nao utakuwa baraka kwa demokrasia kuanzia Tv, reli na mitandao. Hivyo kukuwa kwa demokrasia sio jitihada za upinzani pekee au watu kupenda upinzani na kuchukia chama tawala hapana kwenye demokrasia watu hupendaga mabadiliko tu
Good analysis.
 
Democracia na udikteta vyote vinahitajika kwa kiwango sahihi ili binadamu waishi vizuri. kimojawapo kikizidi utaandika uzi wa kulaumu tena hapa
 
Uelewa mdogo wa watu unachangia kwa hili kupotoshwa.

Upinzani Tanzania unakuwa sana lakini sio kitu kibaya kwa nchi wala chama tawala. Kukuwa kwa vyama vya upinzani ni kukuwa kwa demokrasia na sio kweli kila kukuwa kwa upinzani kunatokana na CCM kufanya ubaya. Bila watu wa CCM kuelewa hili mtakuwa kila siku mnakimbizana na upepo bila kushinda na badala yake mtaishia kuumiza watu bure. Kwa nchi za demokrasia kuna hatua kama tatu muhimu

1. Mwanzoni kutakuwa na vyama vingi sana na chama cha zamani kama CCM kitakuwa kinashinda
2. Hatua ya pili ni vyama kupungua na kubakia vichache. Wakati huu chama tawala kinakuwa na 60%~65% na upinzani kwa ujumla 40%~35%
3. Hatua ya tatu ni upinzani kubaki na chama kimoja au viwili. Yaani kwa ujumla nchi inakuwa na vyama vikuwa kama 3 tu na viwili vikubwa
4. Hatua ya nne ni kwamba vinabaki vyama vikuu viwili 50%~50% yaani chochote kinaweza kushinda.
Hizi hatua zote nchi za demokrasia zinapitia. Kenya kwa mfano wamepitia hatua zote na tunaona washindi wanashinda kwa 1%~3%. US hivyo hivyo sio zaidi ya 5%.

Nchi ikiendelea watu wanaanza kujua ukweli na sio kudanganywa kama kuita wapinzani mabeberu, wafanya fujo, wahaini, wakabila, wadini. Haya chama tawala kitajarubu kuyaweka na kuyasema lakini baada ya wananchi kupata elimu hayatakuwa na mvuto tena.

Tanzania imefika sehemu watu wanaanza kuelewa demokrasia ni nini. Wanataahamaki kujifunza na kusikiliza na sio kushabikia. Kwa hatua iliyofika kuna mawili kwa chama tawala
1. Kubishia ukweli na kuendelea kuiba. Hii kwa njakati hizi italeta matatizo mengi sana. Matatizo sio tu kwasababu watu wanapenda upinzani lakini ni kwasababu watu wanapenda haki.
2. Kukubali kushindana kwa hoja na kujua ukweli kwamba njakati za kushinda kwa 60%~80% hazipo tena. Nchi za demokrasia iliyokomaa ni kushinda kwa kura chache na viti vichache. Kwa ujumla wake Lakini maendeleo ndiyo yanakuwa zaidi kama ushindani ni mkali.

Mahakama hii ya kisiasa ijiandae kupigiwa kampeni mbaya za siasa kwasababu imekaa kisiasa. Mahakama haitapewa hii heshima tena huko mbele mpaka ianze kutenda haki

Lakini nashauri serikali ifanye katiba sasa badala ya kusubiria wananchi wadai kwa nguvu au kwa kutumia jeshi. Huko mbele CCM watalazimika na watakuwa wanajadili katiba wakiwa dhaifu zaidi.

Kwa mawazo yangu upinzani unakuwa kwasababu nchi inakuwa kimaenddleo na kidemokrasia. Wananchi wanaanza kuelewa zaidi kutokana na mitandao. Umeme vijijini nao utakuwa baraka kwa demokrasia kuanzia Tv, reli na mitandao. Hivyo kukuwa kwa demokrasia sio jitihada za upinzani pekee au watu kupenda upinzani na kuchukia chama tawala hapana kwenye demokrasia watu hupendaga mabadiliko tu

Huu ujumbe ni mzito waelewa wauchukuwe🤔
 
Back
Top Bottom