Yani.
Uko On point kila mahala.
School fees
Family and relatives support
Daily chores..domestics upo.
On Bed even better..
Yani you are perfect.
Kuna haja ya mkeo kusema lolote zaidi ya kumshukuru huyo msaada wa pembeni..!?
Habari wanajf,
Kipindi tupo O level tulikuwa tunakatazwa kuingia kwenye mahusiano huku tukiambiwa tutayakuta chuo.
Tukaenda advance tukaendelea kutiwa moyo zaidi huku tukisisitiziwa kwamba chuo hata boy anatongozwa.
Lakini sasa ni miezi kadhaa tangu nifike chuo sioni dalili zozote za kupata...
Kwenye makampuni mengi ya kubeti kuna hii kitu inaitwa jackpot ambapo kwa pesa yako kidogo tu utakayoweka unaweza kuondoka na mamilioni ya fedha.
Sasa na mimi nataka niingie mazima kwenye kubeti soka ila kabla sijaingia naomba niwaulize, hivi inawezekana kweli kwa buku tu mtu akashinda jackpot...
Nayaongea haya kwa siku ya leo kwasababu nimestuka sana hata ndugu yangu ambae si haba kafanikiwa kibiashara akiwa rika la early 40s nimegundua kwamba kawekewa kinga na mganga,
Ndugu huyu ana haiba ya kuwa mcha Mungu, ni mtu mstaarabu sana, ni mtu anaesaidia wengi, ni mtu peace sana.
Noja ya...
Kifungu Cha 8(1) Cha Leaders Funeral Act No. 10 of 2002 Zanzibar kinasema Rais wa Zanzibar atatangaza kifo Cha kiongozi mzanzibar na Bendera kupepea nusu mlingoti. Iwapo Tanzania hawataunga mkono au kuheshimu tangazo la kifo Cha kiongozi wa Zanzibar huenda bendera ikapepea nusu mlingoti upande...
Mwaka jana nimefiwa na kaka yngu na ameacha watoto 4 watatu wako primary ila kuna jambo kidgo limenipa hofu kama inawezekana ili nijiridhishe.
Kifupi hawa watoto wote kwa sasa hivi mimi ndio mlezi wao kwa kila kitu, ni sehemu ya familia yangu na mama yao ilibidi tumbakishe nyumbani kwajili ya...
Ninatarajia kununua dhahabu ya Tshs.500 millioni na kuiweka kama fixed deposit katika Benki yeyote tutakayokubaliana nayo. Je huu utaratibu unakubalika?. Na je huu utaratibu una madhara yeyote(risk)?. naomba ushauri.
Nashauri Mama awe makini sana. Kinana ana watu wake wenye uchungu na kufikiria wenyewe ndiyo wenye chama. Watu hao ni
1. Makamba
2. Nauye
3. Mwigulu
4. Ridhiwani
Na wanataka kutafuta njia ya kumweka mtu wao hasa Makamba. Mwigulu kaingia kwenye hiyo group kwa kujipendekeza. Kinana alimwambia...
Hili ni jambo ambalo wenye hekima wanalielewa siku nyingi, na labda wengine wengi sasa wameanza kulielewa, kwamba kutokuwepo kwa usimamizi wa kiserikali wa upande wa bara kunatokeza nafasi kwa raisi akitoka Zanzibar kuwa na uwezekano wa kufanya mambo kwa namna ambayo inatoa maslahi makubwa...
Japo siamini kama ni wote, lakini inaonekana kama vile wanaofanikiwa kwenye siasa wana tabia za kipekee kama:
• Bingwa wa kusema uongo
• Mbabe
• Majuzi wa kuiba kura
• Mpenda ushirikina
Ni kama vile wengi wa wasema ukweli na wapenda kufuata njia halali huwa hawakubaliki. Je, ni lazima...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda akiwa katika Ziara ya Wilayani Hai mkoani Kilimajanro amewaambia wanaccm kuwa wamuache Mbowe afanye tu harambee za Kanisani
Amesema "Kaka yangu yule mwacheni afanye harambee za Kanisani, na ili harambee za Kanisani...
Yani Haina mwenyewe.. inajiendea tu. Alafu No one is in Control...
Yani inawezekanaje...
Haya mamvua yote yanayonyesha alafu bado tuambiwe shida ya umeme itaisha March...!?
How is it possible, mafuta yameshuka, Nauli zilipanda na ziko palepale!??
Saivi tunasikia Mkurugenzi akiamua tu kubadili...
Habarini za asubuhi. Kwanza mimi si muumini wa demokrasia. Demokrasia ni mfumo wa ovyo sana. Na mfumo wa ovyo zaidi ni demokrasia ya vyama vingi.
Demokrasia ya vyama vingi ni vurugu sana na ina gawa nchi. Hata Marekani yenyewe inayodaiwa kukomaa kidemokrasia imegawanyika sana kutokana na...
Hivi naweza kutoboa haya Maisha?
Ikiwa Sina kazi, mimi ni (mshenintown)
Nataman kuwa na Maisha ya mtu wa Kati.
Jamani mliotiboa mlifanyeje mbona Mambo magumu hivi.
Wazo hili limezaliwa kutokana na michango ya wazoefu waliomo humu JF wa kilimo cha zao tajwa. Kwa kuwa wazo limezaliwa humu, nimeamua kulirejesha humu ili lipate ukosoaji wenye tija.
Kwa mujibu wa wazoefu, inaonekana ngwara ni zao lisilohitaji maji mengi. Hulimwa
mwishoni mwa msimu wa mvua...
Habarini za asubuhi wapendwa
Naomba kuuliza kwa mwenye uelewa na haya mambo anijuze, hivi inawezekana mzazi kusaidia kuongea na afisa wa utumishi kazini kwa mtoto wake ili mtoto apate uhamisho baada ya mtoto kupitia changamoto kubwa kazini kuhusu mwanamke aliyezaa na ye yani ndugu wa mke wakawa...
Nimewahi kukaa na Mzee mmoja mstaafu, akanipa kaukweli fulani kuhusu aina ya viongozi tulionao.
Kuwa ,
1. Hawashauriki kwa mambo yaliyo wazi.
2. Hawako makini kwenye maamuzi.
3. Hawana upeo wala mkakati wa kuifanya Tanzania ipate maendeleo endelevu, wanajali la leo tu.
Alitolea mfano wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.