hoja

  1. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu amjibu Magufuli: Kama kweli anampenda aseme wakina nani walimpiga risasi, na kwanini alimnyima pesa ya matibabu

    “Kwakuwa amesema ananipenda kama alivyodai akiwa Ikungi, Singida aseme ni akina nani walionipiga risasi 16, Kwakuwa ananipenda aseme ni kwanini alininyima pesa za matibabu baada ya kupigwa risasi.." Mhe. Tundu A Lissu. "Kwakuwa amesema ananipenda aseme ni nani aliyemkusudia auawe katika hotuba...
  2. Influenza

    JamiiForums Tanzania GE2020 SPECIAL THREAD: Taarifa za Kampeni na Sera za Mgombea Urais kupitia CHAUMMA, Hashim Rungwe Sipunda

    SEPTEMBA 5: CHAUMA KUFUNGUA RASMI KAMPENI MANZESE, DAR Mgombea Urais kupitia CHAUMMA, Hashim Rungwe ametangaza kufungua rasmi kampeni za chama chake viwanja vya Bakhresa vilivyopo Manzese Dar es Salaam, Septemba 5 Awali chama hiko kilipanga kufungua kampeni zake mkoani Mara, zoezi ambalo...
  3. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hoja za wapinzani zinaleta mashaka dhamiri zao juu ya taifa letu

    Habari, Kwa mawazo yangu, upinzani ni upande wenye fikra, sera, mawazo na maoni mbadala wa chama kilichopo madarakani. Hivyo basi, katika nchi nyingine watu hufikiri kwenda na upinzani kwa sababu ya sera mbadala ilizonazo katika uongozi. Hali hii ni tofauti na hapa kwetu Tanzania, watu...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama 'hoja' hii ningeisikia kutoka kwa mangumbaru (wajinga) nisingeishangaa, ila inanisikitisha naisikia kutoka kwa werevu (wasomi) wa Tanzania

    Yaani kila wakati tu wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu nchini Tanzania na hasa zile ambazo huwa zinamuhusisha Mgombea Urais utawasikia Watu seheme mbalimbali wakisema kuwa CCM 'inakodisha' Watu na mara tena utasikia kuwa CCM 'inawahonga' Watu Pesa ili 'Kujaza' Mikutano yao kwa 'Kigezo' kwamba bila ya...
  5. Dam55

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hoja fikirishi: CHADEMA kwanini mnadai Uhuru wa Vyombo vya Habari huku mkivinyima haki, kufukuza na kuvidhalilisha!?

    Nasikitika kusema kwamba sera hii sasa inakosa mashiko kabisa kwa hiki kilichotokea leo hii. Ni ngumu sana kuamini watu wanao pigania Uhuru wa vyombo vya habari kushindwa kuwa wavumilivu na kuviacha vyombo hivyo vifanye kazi kwa Uhuru na utashi wao. Kama kweli CHADEMA inapigania Uhuru wa...
  6. Course Coordinator

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi, aliewekewa pingamizi atajibu hoja mbele ya mweka pingamizi, Lissu na Magufuli uso kwa uso

    Kwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi namba 13 ya mwaka 2004 kipengele cha 48 mgombea aliewekewa pingamizi anatakiwa kwenda kujibu hoja mbele ya mgombea aliyemwekea pingamizi na kujibu hoja Sasa leo Mhe. Lissu amemuwekea mgombea mwenzake John Pombe Magufuli wa CCM pingamizi baada ya kushindwa...
  7. Dam55

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hoja binafsi: Jaji Kaijage apongezwe kwa busara zake zilizombeba Tundu Lissu, busara zaidi itumike kuepuka sintofahamu za makusudi kwenye Uchaguzi

    Jaji Kaijage na team yake ya Tume ya uchaguzi kama si busara zao za kukubali kufanya uhakiki wa wadhamini wa mgombea urais Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Tundu Lissu jambo ambalo kikanuni lilipaswa kufanyika kwenye ofisi za majimbo za Tume ya Uchaguzi basi ni dhahiri Lissu...
  8. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM siyo kwamba imeamua kukaa kimya. Haina hoja na hakuna mwana CCM wa kumjibu Lissu

    Nani atasimama jukwaani, azungumze na akubalike kwa watanzania ili kumsaidia John kujibu hoja za mbeba maono? John hawezi kupangiilia hoja akaielezea na ikaeleweka. Anahitaji wasemaji wazuri. Kulikuwa na vichwa mahili kama vile Nape, Kinana, Makamba Sr & Jr, Mwigulu na Bulembo. Lkn wote hawa...
  9. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA msitumie CORONA kama moja ya ajenda ya kwenda Ikulu. Someni alama za nyakati. Kwa hoja ya CORONA Magufuli ni Shujaa kwa Watanzania walio wengi

    Mods naomba msiunganishe Uzi huu ubaki kama ulivyo. Natumaini hamjambo wana JF wenzangu. Nilirudi kwenye hoja yangu ya msingi. Ni dhahiri kuwa kutokana na janga lililoikumba dunia na hatua zilizochukuliwa na kila nchi, hapa kwetu Tanzania hatua zilizochukuliwa na Rais wetu zimeonekana...
  10. Course Coordinator

    JamiiForums Tanzania Mashabiki na wanachama wengi wa Chama cha Mapinduzi hawajui kujenga hoja, wamebaki tu kutukana Watu

    Wasalaam, Nimekuwa mfuatiliaji wa mambo ya siasa kwa muda mrefu sasa . Lakini siku za hivi karibuni baada ya Mh Magufuli kuingia madarakani wana CCM wengi wameacha kujadili vitu na watu kwa hoja sasa ni kushambulia tu watu ama kwa kuwatishia kuwaua au kuwaangamiza wanavyojua. Mathalani...
  11. Kasimba G

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mitaani hoja "CHADEMA imekufa" sijui MATAGA ya humu!

    Wana jamvi wasalaam, Huku mtaani kwetu ile hoja maarufu iliyodumu takribani miaka mitatu ya kuwa upinzani especially CHADEMA imekufa imejifia na wapambe wa hoja hiyo wameingia hofu. CCM wanajua sana kula na vipofu, kwa muono wangu nahisi waliitangaza hoja wakijua bwana Fulani hupenda kuskia...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hoja mbili za Membe zawakonga moyo wazanzibari

    Katika mkutano wa mapokezi ya wagombea urais kwa tiketi ya ACT, mheshimiwa Membe alipewa dakika chache tu za kuwasalimia wazanzibari, katika dakika hizo Membe aliongea mambo mawili ambayo yaliwafurahisha sana Wazanzibari nayo ni 1)Mamlaka ya nchi ya Zanzibar ndani ya muungano 2) Kuwarudisha...
  13. Freddie Matuja

    JamiiForums Tanzania Nakubaliana na Mzee Butiku, Tusiwa waoga ikiwamo kumfikia Rais Magufuli kwa hoja bila woga

    Amani ya Mungu alie mbinguni iwe juu ya Watanzania wote. Juzi mzee Butiku amesikika akisisitiza watu kutuwaogopa viongozi ambao ni wanadamu wenzetu, ambao kimsingi tukiwapigia kura, wanakuwa ni watumishi wetu kwa kukusanya kodi na kusimamia shughuli za maendeleo. Hata maandikiko matakatifu...
  14. Clever505

    JamiiForums Tanzania Lete hoja au swali lolote kuhusu CCM ujibiwe hapa

    Habari zenu watanzania! Huu ni mwaka wa uchaguzi ambapo zimebaki miezi michache chama chetu pendwa ccm kwenda kujinyakulia ushindi wake wa kishindo kuanzia kuanzia ngazi ya za chini kabisa hadi urais... Jitokezeni kwa wingi kusapoti chama chenye uhakika wa kushinda ili mpendwa wetu Jpm...
  15. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu Mbona Watanzania wanakuelewa ila punguza ukali kidogo we jenga tu hoja

    Najua pengine ukali wa speech zako kwa namna Fulani unachangiwa na madhila uliyopitia ambayo Mungu wa Rehema alikuepusha. Labda tu kukushauri unapoanza safari ndefu ya kampeni katika kuwaomba watanzania wakuchague jaribu kuwa moderate unapokuwa unatoa speech zako na pia jikite Zaidi katika...
  16. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Magufuli: Wapinzani wakishinda watavunja-vunja madaraja na kuuza scraper!

    Hata kama ni kusema uongo basi na uongo wenyewe uwe na ushawishi kidogo. Kauli kama hizi zinaonyesha kwamba Jpm hana hoja, lakini pia amewadharau wapiga kura. Kwanini asijikite kuwaeleza atawafanyia nini waTz ktk miaka 5 inayokuja, na badala yake anashambulia wapinzani kwa hoja za uongo...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Kwa hija hizi CHADEMA ni afadhali msishiriki Uchaguzi Mkuu 2020

    Vitus Nkuna: Tumepata Shida Sana. Jibu: Hizi ni kelele na wala sio hoja. Hujasema wazi ni shida zipi, kwani zipo shida za uvivu, shida za ndoa n.k. Muungwana hasemi kama hana ushahidi wa kusema wazi. Mjinga anasema kwa kuwa ni kawaida kusemasema ovyo ovyo! Vitus Nkuna: Ndugu zetu wamepotezwa...
  18. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Tunasikia taarifa watu wanakufa kwa Corona lakini haisemwi wazi. Serikali imerekebisha Sheria inayozuia kupeana taarifa

    Muda mfupi mh Tundu Lissu atakuwa mbashara kuanzia saa 8: 00 mchana,Vituo vitakavyokuwa live Ni @standardKenya na @KTNNews, hii Ni kwamjibu wa Tumaini Makene ====== Mwandishi: Mchakato wa kupona ulikuwaje? Lissu: Asante kwa kushiriki kwenye kipindi chenu na kuongea na wananchi wa Kenya kuhusu...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo hoja na karama zitakazombeba mgombea yoyote wa Urais Zanzibar

    Mada inahusika. Kwa maoni yangu hizi ni hoja na Karama HOJA 1. Msimamo wa wazi wa hatma ya Zanzibar yenye mamlaka kamili au muungano wa usawa 2. Kudumisha umoja wa kitaifa na kuilinda serikali ya GNU 3. Kuitii Katiba ya Zanzibar na kupigania Maslahi ya wazanzibari katika mazingira yoyote. 4...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Zitto aonesha busara na ukomavu wa kisiasa kwa kusisitiza hoja ya wapinzani kusimamisha mgombea mmoja, awe Membe au wa kutoka chama kingine

    Nimefurahishwa sana na mahojiano kati ya Zitto na Mwandishi wa BBC,Idhaa ya Kiswahili,Sammy Awami kuhusiana na swala zima la uchaguzi mkuu wa baadae mwaka huu. Nimefurahishwa zaidi na busara,utulivu na umakini wa Zitto katika kujibu maswali huku akionyesha kukomaa kisiasa hasa anaposisitiza...
Back
Top Bottom