Wapinzani hawana hoja, na kama wanayo hoja yao ni ipi?

CCM Music

JF-Expert Member
Dec 5, 2018
831
1,000
Ki ukweli, tukiachana na itikadi za ki chama, bado upinzani hawana mkakati mathubuti wa kushika dola.

Bado, hawana hoja nzito na za kudumu za kuwashiwish wananchi hadi waamue kuwapigania wakanate dola.

Hoja zao ni nyepesi mno, na hata hivyo hazi click sana kwa majority ya watanzania.

Hata hivyo, hizo hoja nyepesi nyepesi za kuwarubuni wananchi bado wanaziokota toka kwa baadhi ya watu wanaoihujumu CCM. Lakini kama wapinzani wao hawana hoja ya maana kabisa.

Well, CCM kweli kuna baadhi ya mizinguo tunafanya lkn sio mizinguo ya kushutua Jamii kiasi cha kuwapa credit kubwa wapinzani.

Wapinzani, msidhani kushika dola ni Sawa na kunya na kuchamba, guys this battle real not a fun. Kwa hizi siasa zenu maskini na uchwara you have a very very long way to go dear friends.

Sisi CCM tunatamani tufikie level ya Yanga na Simba ama Democrats na Republicans lakini kiukweli mko shallow balaa...

You are simply not serious in the game. You are just making fun!

Hv, mnajua CCM bado hata hatujawaza ku press ile button ya hali ya hatari Kwa uwahi wa chama?! Why should we? And who is making us press that button?! Who?!! Simply hamna.

Mnalia kila day kuhusu polisi, tume huru. Ok, nyie mnafanya juhudi gani ya dhati kabisa kukabiliana na hayo? Hakuna juhudi zozote zaidi ya kulialia tena mitandaoni.

Rafiki zetu, onyesheni uthubutu. Show the world that you mean the business. Acheni kumbwela, Kwa mwendo huu mnaoenda nao, forget about kushika dola just keep thinking about petty issues, dola is above your levels babies!

Dola?! Do you know what are you really fighting for?! Yaani frontline yenu ni wadada tupu hata hamna mwanaume japo mmoja: Mange Kimambi, Akina Fatma Karume, Maria and the likes!

Halafu eti mnataka kushika dola! Halafu, mnataka tuwape kwenye ki sahani.

I love you wapinzani! But you have to grow up, tupeni ushindani mnatuboa SANA ujue!

CCM for the Country!
 
CCM Music

JF-Expert Member
Dec 5, 2018
831
1,000
Wana JF ndio vinara wa kushabikia upinzani, now come here and prove me wrong!

Hoja yenu wapinzani ni upi?!
 
CCM Music

JF-Expert Member
Dec 5, 2018
831
1,000
Kama ndivyo, mbona mnateseka sana.?
Tunateseka nini? Mkuu, CCM we mean business, hatupoi, any time lazima vibe letu lisikike km matangazo ya mitandao ya CCM.

We are not making fun, we survive for the survival of the country!
 
fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
8,271
2,000
Nafikiri unajua ""jamii"" ni kitu gani hasa jamii ya Tanzania, hawafuati logic/mantiki leo hii anaweza akaja mtu akashawishi watu ukaona wote wanampa kura jiwe anaanguka chini. Yote yanawezekana.
 
  • Thanks
Reactions: BAK

CCM Music

JF-Expert Member
Dec 5, 2018
831
1,000
Nafikiri unajua ""jamii"" ni kitu gani hasa jamii ya Tanzania, hawafuati logic/mantiki leo hii anaweza akaja mtu akashawishi watu ukaona wote wanampa kura jiwe anaanguka chini. Yote yanawezekana.
Hizi ni hisia zaidi
 
Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
8,439
2,000
Wana JF ndio vinara wa kushabikia upinzani, now come here and prove me wrong!

Hoja yenu wapinzani ni upi?!

Wewe ni CCM kweli? Jukumu la kwanza kabisa la chama/vyama vya upinzani ni kuhakikisha Chama kilichopo madarakani kinaondoka kupitia sanduku la kura.

Sasa unataka hoja gani tena! Mwaka huu Mabeberu yanawaangalia kwa ukaribu. Mkileta tu zike sarakasi zenu za kuiba kira na kuwaengua wagombea wa upinzani kwa hila, yatawakuta kama yale ya Gaddafi!

Ole wenu!👉
 
Kwanza, fahamu. Kuna mambo mengine ya kipuuz yanafanyika kwa uwoga na mwishowe inakuwa na sura ya kuhujumu chama. CCM haina historia ya kuwaengua watu kimagumashi, hili fahamu. Lkn, wapinzani wenyewe wapo so desperate na wamejawa na uoga wa kukabiliana na CCM hadi wenyewe wanakosea form. Km kweli wapinzani wapo smart zaidi ya CCM sasa why wasibaini kasoro ndogo ndogo za kipuuz km hizo?!

Ndio, maana nasema wapinzani bado wana utoto mwingi sana, yaani hata hawajui uzito wa kushika dola upoje.

Nadhani, u childish unawasumbua sana hawa rafiki zetu, they don't want to be real.

Hv unakumbuka asilimia ngapi ya watanzania walipiga kura ya kukataa vyama vingi?! Unadhani, hao watanzania bado hawapo hadi leo?! Take a point here!
 
Nahavome

Member
Jun 20, 2020
41
150
Ipo changamoto ya wapinzani wajanjawajanja wasio na nia ya kweli na pia wananchi walio wngi hawanauwezo wakung'amua mahitaji yao kwa upana. Kwa mfano wananchi wanaona bora elimu bure kuliko afya bure.

Kusoma sio lazima na pia tuna plan kusoma ila kuugua hatupangi tuugue nini na lini. Ila kwakuwa ukisema elimu bure inavutia na inagusa kura nyingi basi wanasiasa wanatupiga hapo.

Ningefurahi kama wapinzani wangekuja na Sera ya afya bure na ccm elimu bure halafu wananchi wachague
 
CCM Music

JF-Expert Member
Dec 5, 2018
831
1,000
Tate Mkuu pia fahamu kuwa jukumu la wapinzani kushika dola linapaswa kuwa real, sio virtual.

Unajua wapinzani kwao jukumu la kushika dola ni kitu 'virtual' wala sio real?!

Thus why, they are fightiny virtually, thye are not real fighters.

Sasa, sijui kwa nn hawajifunzi kwa CCM. Unaona CCM jinsi inavyokaa 'field'?! Learn something!

Yaani vibe la wapinzani ni kama vile ni kikundi cha wanamuziki wa bongofleva kwenye tasnia ya siasa, yaani 'singing a bongofleva music type in a political battle field'
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom