hoja

  1. assadsyria3

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mahera acha masihara na uchaguzi huu. Hujajibu hoja tata za Mnyika

    Dkt. Mahera kuwa makini watanzania watano wamefariki kwa sababu ya nyinyi kuleta mkanganyiko hapo jana. Umejitokeza kujibu hoja lakini hukujibu hoja nzito za mnyika 1) Wasimamizi kwa makusudi kukataa kuwaapisha mawakala wa chadema wewe unasema kuhusu umbali je wale walioleta jeuri na kuvunja...
  2. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Ikulu: Kikao cha kusaini hati za kuondoa hoja tano za Muungano zilizotatuliwa. Sasa rasmi mafuta na gesi kila mtu kivyake

    Kwa muhtasari, hoja hizo ambazo hii leo zinasainiwa katika hati ya makubaliano kuziondoa katika zile hoja ambazo tayari zimeshapatiwa ufumbuzi ni pamoja na ushirikishwaji wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwenye masuala ya kikanda na kimataifa. Hoja nyingine iliyopatiwa ufumbuzi ni ushiriki wa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu na Mkewe, familia ya waomba Urais yenye nguvu ya hoja kuwahi kutokea Tanzania

    Familia hii ni moja ya familia yenye nguvu kuwahi kutokea Tanzania na Afrika Mashariki. Mke na mme kuwa na nguvu jukwaa, wasomi na watu wenye nguvu ya uthubutu Kama Hawa ni mara chache kutokea. Mara nyingi hutokea mke kuwa na nguvu na kutumia nguvu hiyo kumbeba mume na mme kuwa na nguvu...
  4. tpaul

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hizi ndizo hoja zitakazomuangusha Dkt. Magufuli na kumpaisha Tundu Lissu kwenye Uchaguzi Mkuu 2020

    Bila kupepesa macho wala kutikisa masikio, naingia kwenye mada moja kwa moja. Katika andiko hili nimebainisha kinagaubaga mambo ambayo yatamuangusha Magufuli na kumuinua Hon Dr Tundu Antipas Lissu kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2020 kama ifuatavyo: 1. Kuboresha mishahara na maslahi ya wafanyakazi Mh...
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je ni nani wa kujibu hoja hizi za Tundu A Lissu?

    Sioni kama yule mwandishi NGULI, msomi wa uandishi Kisha akahamia kwenye wigo wa Sheria Bwana Pascal Mayalla Kama anaweza jibu hoja hizi. Nyani Ngabu the Monkey of the nation anaweza kumung'unya ile lugha inayoliumbua Taifa kupitia liwali aliyepo, lakini kamwe 🦍 Nyani Ngabu hawezi jibu hoja...
  6. Deogratias Mutungi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Mwinyi uungwana wako wa hoja ni sharti ukupeleke Ikulu, Sijaona mpinzani mbadala dhidi yako

    Dkt. Mwinyi mgombea wa kiti cha urais Zanzibar ni kiongozi mwenye hoja mama na falsafa za ukombozi zenye kujikita kwenye uungwana wa utu kwanza katika kuwatumikia watu, anashawishi anapojenga hoja na ana jenga hoja zenye mwelekeo wa sura za kiutumishi kwa Wazanzibar, ni viongozi wachache wenye...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Chama Chetu akisoma hotuba zinakuwa na hoja, akitoa kichwani analeta taharuki kwa lugha inayodhaniwa kuwakera akina mama

    Nashauri wasaidizi wa Mwenyekiti ambaye pia ni Mgombea wetu katika kipindi hiki cha kampeni wamshauri hotuba zake azisome tu. Wapinzani wetu wanafuatilia kila neno litokalo kinywani mwake na wanatumia baadhi ya maneno, ambayo wakati mwingine ni ya utani, kutuchapia viboko huku mtaani. Bahati...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msipuuze Swala la Hoja ya FAO la Kujitoa

    Naona kila mwana CCM analikwepa suala la FAO LA kujitoa kama vile ni Jambo dogo. Bwana Humprey Polepole ameongea na waandishi wa habari Mara 2..hii hoja ameiruka. Mtu amefukuzwa kazi au mkataba umeisha, NSSF (Fao la kukosa Ajira) wanasema ulipwe 33.3 % ya Mshahara kwa miezi 6...baada ya hapo...
  9. escrow one

    JamiiForums Tanzania Wapiga kura hatutishwi na hoja ya kunyimwa maendeleo, tutamchagua Lissu.

    Kuna wagombea wanajipitisha pitisha kututishia kwamba tusipowachagua basi hawataleta huduma muhimu za kijamii kwenye maeneo yetu. Wanaosema haya wameongoza nchi hii tangu uhuru hadi leo lakini bado hakuna maendeleo kwenye maeneo yetu. Kama tumeweza kuvumilia kukosa huduma hizo tangu uhuru hadi...
  10. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Chadema acheni kulalamikia kauli zinazodhilisha kukiri kushindwa kwenye nafasi ya uraisi. Jibuni hoja kwa kutumia Akili kubwa.

    Naona mnalalamika Sana kauli za mgombea anayejiamini kushinda kuwa akiwekewa mtu wa chama kingine haleti maendeleo. Kampeni Ina Visa na Mikasa yake. Kulalamikia kauli hizo NI kukili hamta shinda nafasi ya Uraisi. Kwanini mnakili hivyo Sasa. Lazima muwe na watafiti wa kubaini NI Sera au kauli...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Hoja dhaifu juu ya Gwajima lini alikuwa mwana CCM-usiachie mwiba unawachoma

    Wananchaama na wafuasi wengi wa vyama vya upinzani ukiwa msema ukweli na mpinga ufisadi basi wanakuona wewe ni mpinzani na kwa upande mwingine si MWANA CCM kisa tu unasimamia ukweli. Kama utakuwa mfuatiliaji wa hotuba mbali mbali na makemeo ya Mgombea wa CCM Jimbo la kawe utagundua ujasili...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Angalia US Presidential Debate 2020

    Kwa wale watu wanaofuatilia siasa za kimataifa ili kutanua uelewa wa siasa fuatilia US Presidential Debate 2020 Cleveland, Ohio saa 10.00 usiku. DSTV ALJAZEERA channel Namba 406 na News Room Afrika Channel Namba 405 watakuwa Live kukuletea Debate hii. Hii itakuwa debate ya kwanza kwa uchaguzi...
  13. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Siku zilizobaki kampeni ielekezwe kujibu hoja za Lissu na nini kitafanyika kuboresha maisha

    Nimesikilza hoja nyingi za Mgombea wa Chadema kwenye kampeni zinashawishi kuwa Serikali iliyoko madarakani imeshindwa kujibu changamoto za watanzania kwa kuwapatia uhuru, haki na maendeleo yao kama binadamu. Hoja hizo zimejikita kwenye mambo yafuatayo: 1. kutokuwepo na uhuru wa kujieleza,uhuru...
  14. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hoja ya CHADEMA kwamba wahudhuriaji wa mikutano ya CCM kwamba wanabebwa kwenye magari naifananisha msemo wa usilolijua sawa na usiku wa giza

    Kwanza niwaulize hao wanaouzulia mikutano yenu wanatokea umbali gani? Kama wanatokea nje ya miji au katikati ya miji wanatumia nauli zao au zenu? Mna uhakika gani kama wamejiandikisha au lah!, mnajuaje kama wote wamekuja kwa lengo la kuwapenda maana watanzania ni kawaida yao kuhudhuria...
  15. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM yagawanyika, hawana majibu hoja za Lissu!

    MOJA: Reli nyingine zilizopo na zenyewe ni standard gauge - TAZARA, RELI YA KATI, (DAR -KIGOMA) na ya TANGA-ARUSHA MBILI: Marais wengine wote na wenyewe walianzisha mabwawa ya umeme, kuanzia Kidatu na Mtera (Nyerere), wengine wakajenga Kihansi (Morogoro - MKAPA), Hale (Tanga - NYERERE), Pangani...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Hoja za Lisu ni kaa la Moto

    Nimekuwa nikifanya follow-up ya hoja za Lisu jukwaani ambazo kwa sasa zimesambaa kwa Kasi sana karibu kila usafili wa ardhini, majini na angani wanafuatilia very closely Kwanza jamaa ana akili sana anajua aongee nini na wakati gani. Anajua aongee nini na adui atarespond vipi ili ammalize...
  17. SheriaE

    JamiiForums Tanzania Hoja ipi kati ya zifuatazo ina ukweli ndani yake

    Habari za uzima ndugu zangu. Naomba mkipata muda mtaniambia ni hoja ipi kati ya zifuatazo inaukweli ndani yake : 1.Inasemekana wanawake wengi wamepewa uwezo mkubwa na Mungu wa kutunza fedha kuliko wanaume , 2.Hali ngumu za kimaisha zimewafanya watu wengi wasiabudu 3.Inasemekana kwamba...
  18. Deogratias Mutungi

    JamiiForums Tanzania Hoja za Lissu ziko “OK” lakini zinasimamia “Uongozi wa Unyampara” ni vigumu kutuvusha kama Taifa

    Deogratias Mutungi Bwana Tundu Lissu mgombea wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA anajenga hoja na ana hoja pindi anapokuwa jukwaani akinadi ilani ya chama chake, lakini hulka binafsi ya Bwana Lissu kupitia hoja zake zinaonyesha ni kiongozi anayestahili kuwa “Nyampara” na hivyo kupoteza...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Lwaitama: Vuta nikuvute hoja ya majimbo/ushindani mkali 2020.. Part 1

    LWAITAMA / VUTA NIKUVUTE HOJA YA MAJIMBO / USHINDANI MKALI 2020.. Part 1 Mchambuzi wa masuala ya siasa nchini Dkt. Azaveli Lwaitama amesema ushindani katika uchaguzi wa mwaka 2020 ni mkali hasa katika kueleza hoja za maendeleo ya taifa. Lwaitama amezungumza hayo kwenye mahojiano maalum na...
  20. Replica

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume aondolewa kwenye orodha ya mawakili (Permanent removal), akutwa na hatia ya kukiuka maadili

    Kikao cha kamati ya maadili ya Mawakili kilichokaa leo tarehe 23/9/2020 kimemkuta na hatia ya kukiuka maadili kwa kiwango cha juu, wakili Fatma Karume mwenye roll namba 848 na hivyo kuamuru jina lake liondolewe (permanent removal) katika orodha ya mawakili Tanganyika. Septemba mwaka 2019...
Back
Top Bottom