Tunalaani kukamatwa kwa Sheikh Ponda

Hizb Tahrir Tanzania

JF-Expert Member
Feb 18, 2020
258
235
Tunalaani suala la kuwekwa ndani Sheikh Ponda eti kwa waraka. Hii imekuwa ni kawaida kwa viongozi wa Kiislamu huku viongozi wa dini nyingine wakisema watakavyo hata kushawishi maandamano. Huu ni uonevu wa hali ya juu wa vyimbo vya dola kwa Waislamu

#KomeshaUkandamizajiWaKiaheriaNaUtekaji
#FreeSheikhPonda

hizb.or.tz
 
Walimkuta morogoro wakampiga ya beganiView attachment Nash Mc-Maalim Ponda.mp3
 
Sheikh Ponda anaituhumu serikari kwamba taasisi ya rais inaendekeza udini kwenye kufanya teuzi mbalimbali ... anataka pia rais awe anachagua watu kwa kuangalia dini zao ili aweke usawa JE NI KWELI RAIS ANACHAGUA KWA KUENDEKEZA MFUMO KRISTO na kama ni kweli, ina mana rais akifanya teuzi inambidi aanze kuangalia huyu ni mlokole ... huyu ni sunni ... huyu ni shia ... huyu mkatoliki ... huyu mhindu ... huyu mpagani huoni huo ni mwanzo wa chuki? Maswali haya sio yako maana anayajibu sasa hivi ndugu Sheikh Ponda
 
Viongozi wa dini wengine kwenye nyaraka zao kamwe hawakumtuhumu kwamba anachagua waluteri kuliko wakatoliki au walokole ... kwanini Ponda? ana agenda gani Ponda ... matokeo ya harakati zake ni nini ? Sasa anatuhumu kwa kuchagua wakristo baadae atashutumu kwa kuchagua waislamu wa bakwata ...Sheikh ponda hana nia nzuri niamini ni kikuambia walokole hawakubaliani na wakatoliki hata kidogo lakini huwezi kuwakuta wanatoa waraka eti hii nchi haijawahi kua na mlokole kama Rais... kwanini Ponda Issa Ponda
 
Mtoa mada apitie hii coment ajifunze kitu,aache udini wa kipuuzi.
 
Sheikh Ponda anaituhumu serikari kwamba taasisi ya rais inaendekeza udini kwenye kufanya teuzi mbalimbali ... anataka pia rais awe anachagua watu kwa kuangalia dini zao ili aweke usawa JE NI KWELI RAIS ANACHAGUA KWA KUENDEKEZA MFUMO KRISTO na kama ni kweli, ina mana rais akifanya teuzi inambidi aanze kuangalia huyu ni mlokole ... huyu ni sunni ... huyu ni shia ... huyu mkatoliki ... huyu mhindu ... huyu mpagani huoni huo ni mwanzo wa chuki? Maswali haya sio yako maana anayajibu sasa hivi ndugu Sheikh Ponda

Mkuu, tatizo hapa ni ukosefu wa elimu - ukiwa na elimu ndogo hata analytical mind yako inakuwa dismal kabisa - ndio maana wengi wao uishia kalahumu lahumu madhehebu ya kikristo 24X7- Ponda yupo kwenye mkondo huo huo.
 
Nakumbuka hukumu yake ilikuwa na sharti la yeye kutokutenda au kurudia kosa la kwanza.

Lakini naona karudia yale yale, na sasa atasota mahabusu kama wenzake wa uhamsho.

Nchi hii dhamana inatolewa kutegemea kaamkaje siku hiyo.

Mtalaani sana, mwisho mtamsahau pia.
 
Back
Top Bottom