Kwa kutumia hoja CCM ni dhaifu Sana, hata mtoto wa kidato cha pili aliyesoma Civics anawagalagaza

chawa wa mama

JF-Expert Member
Jun 8, 2020
292
1,083
Kwa ndugu zangu wa damu CCM ukiondoa kutumia nguvu ya dola na ubabe wa kulazimishwa kupendwa kwa vitisho hawana hoja katika mizani ya siasa.

Kumshambulia mwenyejiti Mbowe kwa hoja za udikteta, ufisadi na mengine ni daliki ya kumwogopa tu kwa namna alivyoweza kuwa jiwe ktk kipindi ambacho masalia wamerudi kwao.

Mimi sio mwanachama wa chama Cha siasa chochote, ni mpenzi wa mabadiliko, ila sio shabiki wa CCM,

Leo nakaribisha mwanaCCM yeyote mwenye hoja dhidi ya chama chochote Cha upinzani aiweke hapa nitaijibu ndani ya sekunde 40(maana najua hamna ya maana).

Kesho itakuwa zamu yenu kunijibu maswali yangu 300 nitakayowapa hapa.

Karibuni Sana!
 
Kwanini mnaruhusu ushoga na usagaji ndani ya Chadema. Wabunge wa kike wanaoana na kiongozi wenu aliyeko majuu alisema hatawasumbu mashoga sababu ni privacy. Je hamjui sheria za nchi zimekataza?
 
Kwa nini mnaruhusu ushoga na usagaji ndani ya Chadema. Wabunge wa kike wanaoana na kiongozi wenu aliyeko majuu alisema hatawasumbu mashoga sababu ni privacy. Je hamjui sheria za nchi zimekataza?
Ndoa ya hao unaosema wameoana ilifungwa wapi na lini? Kuhusu mashoga kwani hapa nchini hakuna mashoga? Akina delicious wanaishi wapi
 
Ndoa ya hao unaosema wameoana ilifungwa wapi na lini? Kuhusu mashoga kwani hapa nchini hakuna mashoga? Akina delicious wanaishi wapi
Unajifanya hujui? Acha kuruka viunzi. Hao akina delicious si ndio Chadema kupitia kiongozi wenu mlisema mnawatetea.
 
Vyombo vya dola vya CCM ndo vinatakiwa kukamata watuhumiwa na kuwahoji. Wewe umewasikia wakiwataja wahusika? CHADEMA na Mbowe sio polisi, wanatakiwa kulindwa
Ye mwenyewe sijamsikia tangu apone au amepotezea?
 
Kwa ndugu zangu wa damu CCM ukiondoa kutumia nguvu ya dola na ubabe wa kulazimishwa kupendwa kwa vitisho hawana hoja katika mizani ya siasa.

Kumshambulia mwenyejiti Mbowe kwa hoja za udikteta, ufisadi na mengine ni daliki ya kumwogopa tu kwa namna alivyoweza kuwa jiwe ktk kipindi ambacho masalia wamerudi kwao.

Mimi sio mwanachama wa chama Cha siasa chochote, ni mpenzi wa mabadiliko, ila sio shabiki wa CCM,

Leo nakaribisha mwanaCCM yeyote mwenye hoja dhidi ya chama chochote Cha upinzani aiweke hapa nitaijibu ndani ya sekunde 40(maana najua hamna ya maana).

Kesho itakuwa zamu yenu kunijibu maswali yangu 300 nitakayowapa hapa.

Karibuni Sana!!!!!
YAJAYO YANAFURAHISHA
 
Kusema ule ukweli sisi sisiemu Ni wepesi tunajificha na kubebwa na dolaaaaa kwakweli mtoa mada uliyosema yakweli hapa tunatafutana hapa Lumumba hamna mtu mwenye hoja zaidi ya matusi na kashfa kwa mbowe mjenga hoja, ukweli Ni kwamba sisi sisiemu 100 nisawa na lema mmoja na sisi sisiemu wote nisawa na tundu lisu mmoja
 
Back
Top Bottom