Japo wako kimya, Mkapa na Kikwete wanaridhika na hoja ya kutaka kumuongezea muda Magufuli?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
38,763
2,000
Inawekana kabisa hata wao wote wawili au mmoja wao walitamani wajiongezee muda ila walisita na inawezekana pia wote wawili hawakuwa na nia wala mpango kama huo bali waliona ni busara kuheshimu katiba.

Sasa iwapo walitamani lakini wakasita, au hawakutamani ila waliamua tu kuheshimu Katiba,watafurahia kuona mwenzao anafanya kinyume na wao?

Je,watakaa kimya?

Maswali ya ziada:

Na wana-CCM ambao kwa sasa wako nje ya system,nao wataunga mkono?

Spika Ngugai,Mbunge Ally Kesi na wengine wanaotetea hoja hii Bungeni, wakikosa ubunge,wataendelea kutetea jambo hili wakiwa kama raia wa kawaida hasa ikitokea wanashindwa katika hatua ya kura ya maoni?

Muda utatupa jibu juu ya maswali yote haya.

Mzee Mwinyi,kwa jinsi navyomuona,nimona nimuache tu.
 
Sauti ya Mamlaka

JF-Expert Member
Aug 5, 2017
1,058

Spika Ngugai,Mbunge Ally Kesi na wengine wanaotetea hoja hii Bungeni, wakikosa ubunge,wataendelea kutetea jamo hili wakiwa kama raia wa kawaida hasa ikitokea wanashindwa katika hatua ya kura ya maoni?

Muda utatupa jibu juu ya maswali yote haya.

Mzee Mwinyi,kwa jinsi navyomuona,nimona nimuache tu.
IMG_20200610_233344.jpeg
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
100,327
2,000
Hawa watu wamekuwa disappointment kubwa sana. Baada ya kutuletea hili balaa kubwa sana Nchini wamekuwa kimya sana ukiondoa mara chache ambazo wamezungumza juu juu bila kuweka msisitizo wa nguvu kisha kuingia mitini kwa kipindi kirefu huku dikteta akiendelea kuchezea katiba, Bunge na mahakama.

Inawekana kabisa hata wao wote wawili au mmoja wao walitamani wajiongezee muda ila walisita na inawezekana pia wote wawili hawakuwa na nia wala mpango kama huo bali waliona ni busara kuheshimu katiba.

Sasa iwapo walitamani lakini wakasita, au hawakutamani ila waliamua tu kuheshimu Katiba,watafurahia kuona mwenzao anafanya kinyume na wao?

Je,watakaa kimya?

Maswali ya ziada:

Na wana-CCM ambao kwa sasa wako nje ya system,nao wataunga mkono?

Spika Ngugai,Mbunge Ally Kesi na wengine wanaotetea hoja hii Bungeni, wakikosa ubunge,wataendelea kutetea jambo hili wakiwa kama raia wa kawaida hasa ikitokea wanashindwa katika hatua ya kura ya maoni?

Muda utatupa jibu juu ya maswali yote haya.

Mzee Mwinyi,kwa jinsi navyomuona,nimona nimuache tu.
 
The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
39,844
2,000
Nyoka waliambiwa anakuja wakadhani mzaha
Sasa nyoka Yuko chumbani wao wenyewe wanaomba Mungu
Washakata tamaa
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
36,461
2,000
Kila zama na zama zake, wao kila mmoja wao alikuwa na zama yake, ukimaliza zama yako inakuwa imepita, unatulia na kujilia vizuri pensheni yako, ya zama ya mwenzio unamwachia mwenyewe.

Aliyetaka katiba ibadilishwe ili Magufuli aendelee sio Magufuli ni Mbunge na Spika akaridhia kuwa hoja hiyo iletwe Bunge lijalo, lakini rais Magufuli hajataka yeye, na hata hoja hiyo ikiletwa na ikapita, maadam rais Magufuli aliisha toa msimamo wake kuhusu hili, then muda wake ukifika hatazidisha hata sekunde moja!.
P
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
36,461
2,000
Spika Ngugai,Mbunge Ally Kesi na wengine wanaotetea hoja hii Bungeni, wakikosa ubunge,wataendelea kutetea jambo hili wakiwa kama raia wa kawaida hasa ikitokea wanashindwa katika hatua ya kura ya maoni?
Watakosaje?, kura za maoni gani?. Kwani determinant ya kuteuliwa kugombea CCM ni kura za maoni?.
Unakuwa kama huijui CCM!.
P
 
Cannibal OX

JF-Expert Member
Aug 27, 2014
2,772
2,000
Inawekana kabisa hata wao wote wawili au mmoja wao walitamani wajiongezee muda ila walisita na inawezekana pia wote wawili hawakuwa na nia wala mpango kama huo bali waliona ni busara kuheshimu katiba.

Sasa iwapo walitamani lakini wakasita, au hawakutamani ila waliamua tu kuheshimu Katiba,watafurahia kuona mwenzao anafanya kinyume na wao?

Je,watakaa kimya?

Maswali ya ziada:

Na wana-CCM ambao kwa sasa wako nje ya system,nao wataunga mkono?

Spika Ngugai,Mbunge Ally Kesi na wengine wanaotetea hoja hii Bungeni, wakikosa ubunge,wataendelea kutetea jambo hili wakiwa kama raia wa kawaida hasa ikitokea wanashindwa katika hatua ya kura ya maoni?

Muda utatupa jibu juu ya maswali yote haya.

Mzee Mwinyi,kwa jinsi navyomuona,nimona nimuache tu.
Kila zama na vitabu vyake, tulia dawa ikuingie vizuri.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom