"Kimbunga" cha Membe na Hoja za Lissu zitamng'oa Dkt. Mwigulu Nchemba Iramba!

Mnambua

JF-Expert Member
Jan 6, 2020
246
233
Mkakati mkali sana unapangwa wa kutengeneza Upinzani mkali na wa kueleweka. Zitto Kabwe, Benard Membe na Tundu Lissu ni wazi watakuwa pamoja. Ni suala la muda tu - kule Zanzibar kuna Fatuma Karume pia. Uchaguzi huu ni uchaguzi wa kiharakati na Tume ya Uchaguzi Huru ni lazima itazaliwa katika Uchaguzi huu. Ni suala la muda tu - ndiyo maana Zitto kishaahidi hata kufumua Bajeti Mbovu ya Mwaka huuu wa fedha itakapifika Januari. WOTE TUNAJUA UBOVU WA BAJETI HII HAUTAKIWI KUSUBIRI MWAKA MWINGINE - Bajeti yenye kunyanyasa na ya KIDIKTETA KABISA!

Katika mkakati uliopo kwa sasa ni kuhakikisha Dkt Mwigulu Nchemba naye anachomolewa iwe isiwe. Amekuwa akizunguka zunguka Iramba kwa kujipendekeza kwa maneno kwa wananchi ambao kwa sasa hana tena mvuto kwao. Mwaka 2015 alituhonga sana fedha lakini mwaka huu hana fedha hizo na kama anategemea atarudishwa tu na DIKTETA mwenzio Maghufuli ajue ameula wa chuya.

Ni lazima UDIKTETA wa Mwighulu uondolewe kwa nguvu zote Iramba - kwani miaka 10 yake inatosha kabisa - hana jipya kwani Iramba tunataka tusonge mbele sio kupapaswa papaswa na kwa maneno ya kinafiki. Kama CCM wanajidanganya kumrudisha wajue atang'olewa kupitia upinzani! Watu wapo tayari kuhama Chama chake mpaka wahakikishe anang'olewa hata kama atamtumia yule Mchawi wake wa Ng'anguli!
 
Vipi Mwaka huu umejiandaa kuhongwa tena?...kama ndivyo umeshahongwa ngapi hadi sasa....,na nani ! Unajua ukianza kula nyama haramu huwezi kuacha!
Na hicho Chama chenu huo ndio utamaduni!
Mwigulu alishawafanya wajinga ,endeleeni kuliwa!
 
Mkakati mkali sana unapangwa wa kutengeneza Upinzani mkali na wa kueleweka. Zitto Kabwe, Benard Membe na Tundu Lissu ni wazi watakuwa pamoja. Ni suala la muda tu - kule Zanzibar kuna Fatuma Karume pia. Uchaguzi huu ni uchaguzi wa kiharakati na Tume ya Uchaguzi Huru ni lazima itazaliwa katika Uchaguzi huu. Ni suala la muda tu - ndiyo maana Zitto kishaahidi hata kufumua Bajeti Mbovu ya Mwaka huuu wa fedha itakapifika Januari. WOTE TUNAJUA UBOVU WA BAJETI HII HAUTAKIWI KUSUBIRI MWAKA MWINGINE - Bajeti yenye kunyanyasa na ya KIDIKTETA KABISA!

Katika mkakati uliopo kwa sasa ni kuhakikisha Dkt Mwigulu Nchemba naye anachomolewa iwe isiwe. Amekuwa akizunguka zunguka Iramba kwa kujipendekeza kwa maneno kwa wananchi ambao kwa sasa hana tena mvuto kwao. Mwaka 2015 alituhonga sana fedha lakini mwaka huu hana fedha hizo na kama anategemea atarudishwa tu na DIKTETA mwenzio Maghufuli ajue ameula wa chuya.

Ni lazima UDIKTETA wa Mwighulu uondolewe kwa nguvu zote Iramba - kwani miaka 10 yake inatosha kabisa - hana jipya kwani Iramba tunataka tusonge mbele sio kupapaswa papaswa na kwa maneno ya kinafiki. Kama CCM wanajidanganya kumrudisha wajue atang'olewa kupitia upinzani! Watu wapo tayari kuhama Chama chake mpaka wahakikishe anang'olewa hata kama atamtumia yule Mchawi wake wa Ng'anguli!
Membe yupi,ni mwingine au huyu huyu anaye endorse ujenzi wa bandari ya Bagamoyo mradi wa kitapeli kabisa,amkeni ninyi,huyu anakwenda kufanya biashara Ikulu hana nia ya kuwatumikia Watanzania!

Watch this.

Kwani Mradi wa bandari wa Bagamoyo lazima ufanywe kwa terms zile zile???

Yani sasa hivi tatizo ni Bagamoyo na sio terms?? Kwamba Bagamoyo hakutajengwa bandari kwa kuwa ni "eneo la kifisadi"?
 
Mkakati mkali sana unapangwa wa kutengeneza Upinzani mkali na wa kueleweka. Zitto Kabwe, Benard Membe na Tundu Lissu ni wazi watakuwa pamoja. Ni suala la muda tu - kule Zanzibar kuna Fatuma Karume pia. Uchaguzi huu ni uchaguzi wa kiharakati na Tume ya Uchaguzi Huru ni lazima itazaliwa katika Uchaguzi huu. Ni suala la muda tu - ndiyo maana Zitto kishaahidi hata kufumua Bajeti Mbovu ya Mwaka huuu wa fedha itakapifika Januari. WOTE TUNAJUA UBOVU WA BAJETI HII HAUTAKIWI KUSUBIRI MWAKA MWINGINE - Bajeti yenye kunyanyasa na ya KIDIKTETA KABISA!

Katika mkakati uliopo kwa sasa ni kuhakikisha Dkt Mwigulu Nchemba naye anachomolewa iwe isiwe. Amekuwa akizunguka zunguka Iramba kwa kujipendekeza kwa maneno kwa wananchi ambao kwa sasa hana tena mvuto kwao. Mwaka 2015 alituhonga sana fedha lakini mwaka huu hana fedha hizo na kama anategemea atarudishwa tu na DIKTETA mwenzio Maghufuli ajue ameula wa chuya.

Ni lazima UDIKTETA wa Mwighulu uondolewe kwa nguvu zote Iramba - kwani miaka 10 yake inatosha kabisa - hana jipya kwani Iramba tunataka tusonge mbele sio kupapaswa papaswa na kwa maneno ya kinafiki. Kama CCM wanajidanganya kumrudisha wajue atang'olewa kupitia upinzani! Watu wapo tayari kuhama Chama chake mpaka wahakikishe anang'olewa hata kama atamtumia yule Mchawi wake wa Ng'anguli!
Mwaka 2015 aliwahonga sana lkn mwaka huu Hana fedha hizo km nimekuelewa jamaa kinachomponza Hana pesa km angekuwa nazo km 2015 mngempa bila shaka.
 
Mleta mada ni kiherehere kweli jana kajifanya CCM na kudai Mwigulu anapendelewa kumbe ni kilaza
 
Kwani Mradi wa bandari wa Bagamoyo lazima ufanywe kwa terms zile zile???

Yani sasa hivi tatizo ni Bagamoyo na sio terms?? Kwamba Bagamoyo hakutajengwa bandari kwa kuwa ni "eneo la kifisadi"?
Ndio maana nikasema you guys must wake up.Kama alikubali mradi wa kitapeli namna ile na bado anasisitiza mradi ule anataka uendelee,hajabadilika!Katubu kwa nani uovu wake?Na kwa nini anatumia nguvu nyingi kiasi hicho kujaribu kwenda Ikulu,kuna hini huko?Kwanza si huyu huyu aliyesema kazi na butter?Butter inatoka wapi,kama sio kwenye kuwaibia wananchi.Mimi naishauri serikali itumie all means possible kuwazui watu kama hawa kuingia Ikulu.Kwanza sababu zipo nyingi za kuifuta ACT Wazalendo,ifutwe tu.Eti ACT Wazalendo,wazalendo gani wanaokumbatia wezi na mafisadi.
 
Mkuu hivi alituambia kazi na Butter au na Bata ,mbona mimi siwaelewi!
 
Ndio maana nikasema you guys must wake up.Kama alikubali mradi wa kitapeli namna ile na bado anasisitiza mradi ule anataka uendelee,hajabadilika!Katubu kwa nani uovu wake?Na kwa nini anatumia nguvu nyingi kiasi hicho kujaribu kwenda Ikulu,kuna hini huko?Kwanza si huyu huyu aliyesema kazi na butter?Butter inatoka wapi,kama sio kwenye kuwaibia wananchi.Mimi naishauri serikali itumie all means possible kuwazui watu kama hawa kuingia Ikulu.Kwanza sababu zipo nyingi za kuifuta ACT Wazalendo,ifutwe tu.Eti ACT Wazalendo,wazalendo gani wanaokumbatia wezi na mafisadi.
anayezuia watu kuingia Ikulu ni Serikali au wapiga kura!
 
Back
Top Bottom