Mh. Raisi J.P. Magufuli nakusalimu na kukupongeza kwa wazo au ushauri wako kwa Mfuko wa Taifa wa bima ya Afya (NHIF) wa kuwekeza makusanyo yao ya michango ya wateja kwenye sekta ya afya hasa kwenye viwanda vya madawa n.k.
Mimi nilikuwa na ombi moja ktk kuboresha wazo lako. Naomba NHIF itangaze...
Nyerere miaka ya 1970 aliwahi kumualika Profesa Mfaransa Rene Dumont mtu aliyebobea kwenye uchumi wa kilimo aliyesifiwa mno kwa uwezo kwenye eneo hilo la uchumi wa kilimo duniani.
Alipofika alitembezwa sehemu mbalimbali vijijini. Wakati huo operation ya vijiji vya ujamaa ndio ilikuwa imepamba...
Aliyekuwa mwenyekiti wa kanda ya Pwani na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA mzee Sumaye amesema mara kadhaa aliwashauri viongozi wenzake wapambane na CCM kwa hoja lakini walimpuuza.
Sumaye anasema CHADEMA wamejikita kushindana na polisi ambao kamwe hawatawaweza kwa kuwa askari wanatimiza majukumu...
Leo nataka nishereheshe moja ya hoja ya Mh. Nape Nnauye Bungeni aliyoitoa tarehe 10 February 2018 ikiungwa mkono na wabunge Mh Msigwa na Mh Zitto Kabwe ya kupendekeza mabadiliko ya mfumo wa Usalama wa Taifa nchini Tanzania. Nape alitoa hoja hii wiki moja baada ya mimi na yeye kukutana pale...
Habari Comrade,
Nimekuwa nikihisi nauli ya SGR itakuwa kubwa hivyo natoa tahadhari kwa Comrade wenzangu msije pata mshituko siku zitakapotangazwa. Waweza kuwa unajiuliza kwa nini mtu huyu anadhani nauli itakuwa kubwa?, Sababu ni hizi
UCHUMI
kutokana na shilingi kupoteza thamani itakuwa na...
Bahati nzuri Bunge letu limesheheni wabobezi na ngumbaro wachache, sasa kwanini hoja za Zitto zisijibiwe kwa hoja?
Zitto ameiandikia Benki ya Dunia katika nafasi yake kama Mbunge na siyo kiongozi wa chama. Hivyo Bunge lina nafasi nzuri ya kumkanusha Zitto kwa kuiandikia WB ukweli ulivyo badala...
Habare comrades
Nimepanga kujibu swali nililouliza kwenye kichwa cha habari mwisho wa maandishi yangu kwenye huu uzi. Kwanza niweke bayana mabinti ntakaowazungumzia ni wale walio balehe wakiwa shule msingi au secondary. Kutokana na habari nyingi zilizopo juu ya umuhimu wa elimu na hasara kubwa...
Hongereni kwa kuvuka mwaka wanajamii.
Hii hali ya kushindwa kukidhi mahitaji muhimu kwa binadamu imekuwa ikusumbua sana nchi maarufu zipatikanazo CHINI YA JANGWA SAHARA. Hali hii sasa inafafanuliwa kama hali ya kuishi chini ya dola moja na umoja wa mataifa hii hali ni umaskini. Kumekuwa na...
Wanaosema Muheshimiwa Rais anawapendelea wananchi wa Wilaya ya Chato kwa kutekeleza miradi mikubwa wilayani humo hata kaamua kwenda kula Christmas nyumbani kwao waje na hoja hizi (sisi wa Nyamagana hatuna swali, hata zile millioni mia alizotuahidi Mwanza Sekondari zimeshafika project inaendelea)...
World citizen good morning,
Kuna ugeni mkubwa wa watalili kutoka Israel umeingia bongo land ni taarifa nimepata hivi karibuni, nadhani wengi watakuwa wanakerwa na sherehe ya Christmas huko kwao wakaona isiwe tabu ngoja tuwapishe mkimaliza tutarudi, kutokana na Watanzania wengi kutokujua...
Hili swala la wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam kucheleweshewa fedha zao za mikopo ni swala nyeti na mtambuka, busara inahitajika katika kuliendea jambo hili pasina kuleta sintafahamy yoyote kwa jamii. Cha kusikitisha hili swala baadhi ya viongozi wa upinzan wameshaona ndo agenda yao na...
Nilitafakari Sana Jana juu ya mkutano mkuu wa chadema na kijiratiba Cha Jana Cha rais Magufuli nikaona ilikuwa ni hujuma dhidi ya mkutano mkuu wa chadema.
Ilikuwa hivi rais alianza kufungua jengo la mahaka na zimamoto kule Chato.
Baada ya hapo akaenda kuchangisha harambee ya msikiti wa Chato...
Bernard Membe, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,
WAZIRI wa zamani wa mambo ya nje na mahusiano ya kimataifa nchini Tanzania, Benard Membe amesema, anasubiri kwa hamu, barua ya wito ya kumtaka kufika kwenye Kamati ya Maadili na Usalama ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
Habari ya asubuhi wanajamii.
Kuna mambo mengi sana ya kuiga hapa duniani lakini kuna mengine siyo ya kuiga kabisa kama jambo ambalo amefanya Mr Blue kuvaa mavazi ya kinazi kwenye video ya music inayokwenda kwa jina MAWE akiwa kashirikishwa yeye pamoja na RayVanny na msanii wa kitaa ambaye...
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe amemtaka Rais Magufuli kuleta maridhiano ya kitaifa na kwamba yeye na chama chake wamenyoosha mkono wa mapatano.
Ifuatayo ni Hotuba Fupi ya Kiongozi Mkuu wa Upinzani nchini Tanzania Freeman Aikael Mbowe mbele ya Watanzania katika kuadhimisha miaka 58 ya...
Habari wanamember,
Kwanza kabisa nataka niweke bayana wazungu ambao nawazungumzia, hawa ni wazungu ambao walikuja huku kwetu Afrika na kututawala, kwa kesi yetu ya Tanzania nitawaongelea Wajerumani na Waingereza.
Kipimo nitakachokitumia kupima uwiano ni miaka, kwamba itatuchukua miaka mingapi...
Habari wanajamii,
Haki ni kitendawili ambacho kimewaandama wanafalsafa wakubwa waliowahi kutembea kwenye uso wa dunia hii tangia enzi hizo watu walipoanza kufikirisha mbongo zao huko UGIRIKI.
Kwa kufwata mtiririko ntaeleza yaliyowahi semwa juu ya haki.
Ntaanza na plato yeye alifika hitimisho ya...
Ninatambua uthubutu na uimara wa serikali ya CCM ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais Magufuli katika kulinda maslahi ya umma hasa kuwa na nidhamu ya matumizi ya fedha za umma zinazotokana na kodi zetu. Juzi, wakati Rais alipokuwa anawahutubia wakazi wa Geita alisikitishwa na kitendo cha baraza...
Mwanadamu kama mwanadamu waweza mtafsiri kama mnyama anayefanya siasa. Binadamu na maisha yake hapa duniani lazima afanye siasa, kwasababu siasa haikwepeki. Hii siasa yatokana na asili ya mwanadamu kushirikiana katika mambo tofauti. Hivyo, ili mwanadamu kuepusha kuishi kama wanyama pori...
"Kama msanii unang'ang'ana kuimba siasa na kukosoa serikali basi amua kuachana na muziki uanzishe chama cha siasa. Lakini kama unataka kupata maslahi kwenye muziki, basi nyimbo hizo hazilipi.
Haiingii akilini nina shahada nne halafu msanii ambaye hajaenda hata shule anatunga nyimbo za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.