Wote ni mashahidi kwamba wabunge wanaotoka Chadema na kuhamia CCM huwa wanashindwa kujieleza kabisa japo bunge ni lile lile. Waangalie akina Dr Mollel, Ryoba, Ole millya, Gekue na hata Waitara uwezo wao wa kujenga hoja na kuuliza maswali ni mdogo sana tofauti na walivyokuwa Chadema.
Kuna wakati...
Eti wangepewa muda wajitetee! Majibu ya kujitetea kwa Membe yako wapi? Lissu alijitetea wapi? Nasari alijitetea? Meya wa Jiji mpaka anafungiwa ofisi!, Meya wa Iringa Je? Meya wa Ubungo je? Ccm mmepoteza dira ni chama ambacho hakina hoja mbele ya umma. Naunga Mkono Mbowe Safisha Chama bado kuna...
Ni jambo la kushangaza na kutia shaka kuona wataalam na wanasayansi wa Tanzania wanavyopinga uchunguzi wa Rais kwa hoja dhaifu.
Hii inatia shaka juu ya uwezo wa wataalam tulio nao hapa nchini.
Hebu tungalie hoja hizi zilizotumika kupinga Uchunguzi wa Rais kwa jinsi wataalam wetu walivyozitolea...
Wanajukwaa naomba kutoa hoja hii tuijadili sisi kama Watanzania tuliowapa dhamana watu fulani kutuongoza. Nchi si mali yao bali ni mali ya Watanzania.
Je, kwa hali tuliyo nayo sasa wewe kama Mtanzania unadhani ni kiongozi yupi amevurunda zaidi na anapaswa kuachia madaraka?
Utoe sababu ni...
Wanabodi,
Kila nipatapo nafasi, huja na hoja za " Kwa Maslahi ya Taifa" zenye lengo la kuhamasisha uzalendo kwa nchi yetu, Mada ya leo, naizungumzia idadi ya kweli ya waliokufa kwa Corona Tanzania mpaka hapa ninapo andika bandiko hili, Tanzania wamekufa watu 16 tuu kwa ugonjwa wa Corona...
Hii inaweza kuwa mbadala kwa Bunge, michango yote iwe kwa maandishi kutoka wanakoishi na ihesabiwe kwamba yuko bungeni, au au watumie teknolojia ya video,ajirekodi huko aliko katika mazingira nadhifu anatuma video katika mtandao wa Bunge, Bunge linarusha laivu
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amesema kuwa mmoja wa Wabunge wa Bunge hilo amethibitika kuwa ana maambukizi ya Virusi vya Corona.
Amesema mbunge huyo anaendelea vizuri na Serikali inaendelea kumuangalia na kumpatia matibabu stahiki. Kwa mujibu wa maelezo ya mbunge huyo...
Tumewachagua wabunge au viongozi kidemokrasia, tukitarajia watakuwa wajibikaji na kutusemea huko kwenye vyombo stahiki kama Bunge.
Hali imekuwa tofauti kwa wabunge wengi ambao mara nyingi wamekuwa wakija kuandika kwenye mitandao ya kijamii na kuanza kujibizana na wananchi au kujitetea kuhusu...
Jua kilichotokea kwa ufupi kisha ujisomee kiambatanisho na link iliyoko mwishoni
Hoja dhaifu kwamba Covid-19 imesababishwa na teknolojia ya 5G Ilianzishwa na Daktari mmoja wa Ubelgiji anayeitwa Kris Van Kerckhoven.
Alifanyiwa mahojiano na kazeti la kidachi la Het Laatste Nieuws tarehe 22...
Nimesikitika sana baada ya kusoma report ya CAG kichere hakika ni majonzi makubwa kwa walipa kodi wa taifa hili, kuanzia Halimashauri wizarani, NEC, Police, Jeshini pesa zimepigwa sio utani hakika zimepigwa.
Je wizara zilizo chini yake hali ipoje? je ununuzi wa ndege je matumizi yake hali...
Kuna usemi maarufu wa Kiswahili unasema, ¨siku ya kifo cha nyani, miti yote huteleza ¨ usemi huu una anza kuakisi ukweli wa siasa za vyama vya upinzani Tanzania na anguko lake kuelekea uchaguzi mkuu 2020.
Ni wazi kuwa Tanzania ina vyama vinne pinzani vyenye nguvu na ushawishi katika medani ya...
Wanabodi,
Naendelea kusisitiza kwenye mazuri tupongeze, kwenye mabaya tukosea na kwenye mapungufu tushauri, katika uendeshaji wa Bunge la safari hii, kiukweli wa dhati ya moyo wangu, safari hii Mhe. Spika anajitahidi sana kuliendesha vyema Bunge letu kiasi cha kustahili pongezi
Hivyo hili ni...
Huu ni mjadala mpana na mrefu sana kwa sababu unaibua maoni na hisia za watu tofauti tofauti. Wapo wanaoilaumu serikali. Na wapo wanaomlaumu mtoto wa kike anayepata mimba akiwa kwenye masomo. Lakini ili kupata jawabu la kitendawili chetu, kwa mtazamo wangu, ni lazima tuzingatie pande zote tatu...
Kama wewe ni Mpenzi wa kufuatilia Vipindi vya Bunge basi Malizia Hamu yako kwa kusikiliza Bunge Hili la Sasa.
Nasema hivi kutokana na Ukweli kwamba sioni dalili njema kwa Wapinzani kupita katika nafasi za Ubunge katika Uchaguzi ujao. Naona kama kuna kila Namna, Mbinu Chafu, Hujuma na pia...
Ukifuatilia bunge la Tanzania utagundua kwamba wabunge wa ccm ni kama mabubu , jambo kubwa wanalofanya bungeni ni kugonga meza na kusherehesha kauli ya Ndioooo , kama wanavyotakiwa na chama chao ili kuunga mkono bajeti hata kama ina mapungufu kwa 95%
Hivi ni kweli kwamba wanatishwa na viongozi...
Mwezi uliopita wakiwa Bungeni, Mchungaji Msigwa wa CHADEMA alilitaka Bunge lijadili kama dharura issue ya Corona ambapo wangetoka na azimio kama wawakilishi wetu.
Hoja hio ikapingwa kwakua tu ilitolewa na MTU ambaye "sio wa kwetu" na kupitisha hoja ya "kipuuzi" ya kumjadili @Zito na World...
Marekani haijamtuma mtu kuua watu kufunga watu na kuteka watu hapana, Marekani haijatuma mtu kuwashambulia watu kwa risasi hapana, Marekani haijamtuma kuzima vyombo vya habari na kuzuia siasa kwa wapinzani kwa miaka 5 hapana,
Kama serikali haijawatuma hao watu kwanini hafanyi upelelezi kuleta...
Wanajamvi, hivi kutumia dola dhidi ya wapinzani wako siyo dalili za kuishiwa na hoja kwenye taifa linalojinadi kufuata mfumo wa kidemokrasia?
Sidhani kama ni sahihi kumfananisha Trump na siasa zetu kwenye suala la matumizi ya dola. Hakuna usawa wa mifano hiyo hata chembe!
Mambo mengi ambayo...
67.-(1) Bila ya kuathiri masharti yaliyomo katika ibara hii, mtu yeyote atakuwa na sifa za kustahili kuchaguliwa au kuteuliwa kuwa Mbunge endapo-
ni raia wa Jamhuri ya Muungano aliyetimiza umri wa miaka ishirini na moja, na ambaye anajua kusoma na kuandika katika Kiswahili au Kiingereza;
Suala...
Wanabodi Salaam.
Ikiwa taarifa za kufukuzwa uanachama wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu. Bernard Camilius Membe zikiwa bado zinatikisa mimbari ya siasa Tanzania, nimejikuta ninakumbuka matukio machache kabla ya uchaguzi mkuu uliopita mwaka 2015.
Ikumbukwe wakati ule mgombea aliekuwa anapewa nafasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.