hoja

  1. Deogratias Mutungi

    JamiiForums Tanzania Hoja za Dkt. Hussein Mwinyi zinatosha kumpa nchi Oktoba 28

    HOJA ZA DK HUSSEIN MWINYI ZINATOSHA KUMPA NCHI OKTOBA, 28 Dkt. Hussein Mwinyi mgombea wa nafasi ya Urais Zanzibar anastahili kuchaguliwa kwa kura za ndio nyingi na kupewa nchi ili awaongoze Wazanzibar, nimefatilia mikutano yake ya kampeni na kubaini kuwa ni miongoni mwa wagombea bora wenye...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Lissu Vs Zitto: Nani mkali wa kujenga hoja za kisiasa?

    Waungwana hebu tuwe tu wakweli bila jazba wala chuki, Kati ya viongozi wa upinzani hawa wawili, Lissu na Zitto namuona Zitto kuwa yuko vizuri sana kwenye kujenga hoja za Kisiasa. Lissu ni mzuri sana kwenye field yake ya sheria ila kiukweli nadhani hata CHADEMA wenyewe sasa hivi watakuwa...
  3. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Hoja ya Ndege na ujinga wa Watanzania

    Nyakati zinabadilika aisee,inaonesha Tanzania ya nyakati hizi imekuwa na wajinga wengi kuliko nyakati za kale. Leo hi Mtanzania anyepinga ndege za Magufuli halafu akaonekana anapanda ama anashuka ndani ya Ndege hizo Basi Lumumba B7 watamsema.kwamba alikua anapinga Nini na amepanda Nini. Hoja ya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 David Kafulila amjibu Tundu Lissu

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kusini kwasasa Jimbo la Uvinza amejibu hoja zilizotolewa jana na Mgombea kiti cha Urais wa JM !- LISSU APANGULIWA HOJA 7 KWA MIKWAJU 7 YA TAKWIMU NA KAFULILA! NIMEONA MATOBO 7 HOJA ZA LISSU! Na David KAFULILA, Agosti31, 2020. Kwanza nashukuru sasa kuona...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Hoja ya kuhamishia utalii Kanda ya Ziwa ni muhimu kiuchumi. Asante Dkt. Magufuli

    Nimemsikia Mgombea wa CCM akinadi sera zake na kuahidi kuwa serikali inao mpango kabambe ya kubadili ukanda wa ziwa kuwa wa kiutalii ili kuiongezea Serikali mapato nikafurahi sana kama mwananchi. Ni wakati mwafaka sasa kusambaza utalii kanda ya magharibi na kusini ili kutekeleza Master Plan ya...
  6. Mystery

    JamiiForums Tanzania Alikosea kwa kuamini kuwa angeweza kuumaliza upinzani kwa kutumia Vyombo vya Dola badala ya kutumia nguvu ya hoja

    Rais Magufuli alianza kutekeleza azma yake hiyo kwa kutangaza hadharani kule Singida, katika sherehe za kuadhimisha kuzaliwa kwa chama chake cha CCM, hapo Februari 5, mwaka 2016, kuwa ndani ya utawala wake, atahakikisha vyama vya upinzani vinakufa ifikapo mwaka huu wa 2020! Utekelezaji wa azma...
  7. NYAMUHANZI

    JamiiForums Tanzania Usawa wa kijinsia ni ajenda ya kitapeli

    Habari waheshimiwa! Hapo mwanzo kulianza kuwa na harakati za haki sawa, binafsi nilikubaliana nazo maana kulikuwa na baadhi ya wanawake wanadhulumiwa haki zao kutokana na sheria kandamizi zilizokuwepo wakati huo. Wanaharakati walipambana na hatimae sheria kandamizi zikaondolewa na zinaendelea...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Hoja ya maslahi ya watumishi wa Umma inavyopotosha na Wapinzani

    Na Bwanku M Bwanku Hekaheka na pilika za kampeni zinaendelea kutimua vumbi kwenye maeneo mbalimbali ya nchi kwa wagombea wa Urais, wabunge na madiwani kunadi Sera na Ilani zao wanazoenda kuzitekeleza kwa miaka mitano ijayo kama wananchi wakiwapa ridhaa yao. Kwa bahati nzuri sana nimeendelea...
  9. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli apangua hoja ya kujenga Uwanja wa Ndege wa Chato kwa ustadi mkubwa

    "Mtu anazungumza eti nimejenga uwanja nyumbani, nikifa nitaenda nalo hilo liuwanja kaburini? Ni lazima upange mipango mipana, tumejenga na tunajenga viwanja vingi zaidi ya 11, hivyo viwanja vyote watu hawavioni wanakiona cha Chato tu, ashindwe akalegee kweli kweli". Rais Magufuli Hoja za...
  10. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Uchaguzi, (NEC), Lawamani Kuwaengua Wagombea Kwa Hoja Nyepesi Nyepesi, Je ni Ukiukwaji wa Haki za Binaadamu? Jicho Letu

    Wanabodi, Naafuatilia kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari, kinachorushwa live na Star TV kila Jumamosi asubuhi, kwenye kipindi cha leo, kutoka Mwanza, kinaongozwa na mkongwe, Doto Bulendu, na wageni wake waandishi wakongwe, Moses Mathew na Odero, na Dar es Salaam yuko Katibu Mkuu wa Jukwaa la...
  11. technically

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu aifuta CCM Morogoro

    Tundu Lissu kamwaga sumu Morogoro uku akishangiliwa mwanzo wa mkutano mpaka mwisho.
  12. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM sio kila hoja ni ya kupinga, namna nyingine ya kupinga hoja ni kuiboresha zaidi

    Alichokifanya Polepole leo, ni kitendo cha aibu na kudhalilisha watanzania wenye maono ya kuona nchi yao inavuka kutoka hatua moja kwenda hatua nyingine. Dunia isingeweza kufanya mapinduzi makubwa ya maendeleo kama kila jambo lingekuwa linapingwa tu, eti kwasababu limetolewa na mtu usiyempenda...
  13. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Bashiru: UVCCM jibuni hoja za wapinzani bila kuchelewa, ni marufuku waliopita bila kupingwa kwenda mikoa mingine kupiga kampeni

    Dr Bashiru amesema ni marufuku wagombea waliopita bila kupingwa kwenda mikoa mingine kufanya kampeni bali wabakie kwenye mikoa yao. Dkt. Bashiru amemtaja mbunge mmoja aliyepitishwa bila kupingwa Lindi lakini sasa yuko Mwanza anafanya kampeni na kumtaka kurudi Lindi mara moja akawasaidie wenzie...
  14. D

    JamiiForums Tanzania CCM inadandia hoja nzito za upinzani, alianza Kikwete mwaka 2010 na kima cha chini cha mshahara. Huenda hawajui hata kuandaa ilani yao!

    Kwa mantiki hii ipo sasa haja ya moja kwa moja kuipumzisha CCM, kwanini? Kama mtakumbuka kuwa, mwaka 2010 Rais mstasfu Jakaya Kikwete alikuwa na mgogoro mkubwa sana na Katibu mkuu wa TUCTA wa wakati huo Nicholas Mgaya. Mgogoro huo ni kuwa bwana Mgaya alikuwa anashinikiza wafanyakazi kima chao...
  15. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hoja ya kufuta sheria zinazonyima watu dhamana Ni turufu kwa CHADEMA

    Hii hoja ya kufuta sheria kandamizi zinazonyima watu dhamana Ni yakuungwa mkono na kila MTANZANIA, wapo Wana CCM inawaumiza na kuwanyamazisha, wapo wapinzani na wapo wafanyabiashara ambao leo CCM ikitaka ikufilisi inakupeleka mahakaman kwa makosa yakusadikika na hatma yake unaozea jela bila kesi...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu zungumzia pia hoja ya serikali ya CCM kushindwa kulipa malimbikizo ya mishahara ya watumishi wa umma na malimbikizo mengineyo

    Tundu Lissu,mbali na serikali hii kushindwa kuongeza mishahara ya watumishi wa umma kama sheria inavyotaka,lakini pia imeshindwa kulipa malimbikizo ya mishahara ya watumishi wa umma licha ya watumishi kutakiwa kujaza form za madai ya malimbikizo yao mara kwa mara. Kwa wasiolewa,wako baadhi ya...
  17. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Hoja za Tundu Lissu kuhusu wafanyakazi Kama NI kweli NI kiberiti karibu na karibu na pipa la petrol akipita mwehu karibu zinaweza kulipua taifa.

    Hivi Tundu lissu NI mkweli kweli!? Kama wafanyakazi tena wa serikali wakibinywa wanashindwa kujitetea Basi hakuna kundi lolote kwenye jamii linalowezaweza kufurukuta kujitetea linapokandamizwa au Kuonewa. Kuonewa wafanyakazi NI hatua ya juu kabisa ya uonevu katika utawala. Usitegemee...
  18. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hoja tatu ni kwanini wapinzani hawatoshi kwenye Uchaguzi huu

    Wanajamvi, Ninaomba nilete kwenu hoja tatu ni kwanini tusichague Upinzani. Hoja hizo ni Kama ifuatavyo: 1. Njia za kushughulikia janga la korona 2. Kushindwa kuwa mfano kwenye chama na majimbo 3. Kushindwa kuungana Njia za kushughulikia janga la Corona Wakati serikali ikija na mpango mkakati...
  19. Z

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA mkisema mtatoa Huduma za Afya bure, naomba mjibu hoja zifuatazo

    Nimeona CHADEMA ikijinadi kuwa ndani ya siku mia moja watahakikisha huduma za afya inatolewa bure kwa kushirikiana na taasisi binafsi. Kwangu hili itakuwa jambo jema kwa watu zaidi ya watu millioni 60 watapewa huduma bure kabisa bila kuchangia chochote. Lakini nina mashaka na ahadi hii 1...
  20. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Urais CCM hafai. Ametunyima haki ya kufuatilia hoja za Wawakilishi wetu Bungeni (Bunge Live)

    Mgombea huyu wa ccm miaka 5 aliyotumikia ikulu inamtosha. Katika miaka 5 hiyo amefanya mambo mengi ya kibabe yanayoenda kinyume na matakwa ya wapiga kura wake. Moja kubwa ambalo lililalamikiwa sana na watanzania wote ni hili la bunge kutooneshwa live (mubashara). Baada ya kelele nyingi sana...
Back
Top Bottom