Tunalaani suala la kuwekwa ndani Sheikh Ponda eti kwa waraka. Hii imekuwa ni kawaida kwa viongozi wa Kiislamu huku viongozi wa dini nyingine wakisema watakavyo hata kushawishi maandamano. Huu ni uonevu wa hali ya juu wa vyimbo vya dola kwa Waislamu
#KomeshaUkandamizajiWaKiaheriaNaUtekaji...
Wanabodi,
Kwanza hakuna kitu kinatokea kwenye siasa kwa bahati mbaya. Kila kitu hupanga na wenye akili "Elites" ambao wengi wao hawapo kabisa kwenye siasa ila ndio wanaamua siasa.
Ukiona siasa ya Mkapa,Kikwete na leo JPM ujue wao wenye siasa yao wameamua kuifinyanga iwe hivyo unavyoiona leo...
Lissu, a human rights and environmental lawyer, is a vocal critic of government corruption and the current president, John Magufuli. He has been arrested several times in the past and still has charges of uttering seditious words against the Tanzanian state authority outstanding against him...
Ki ukweli, tukiachana na itikadi za ki chama, bado upinzani hawana mkakati mathubuti wa kushika dola.
Bado, hawana hoja nzito na za kudumu za kuwashiwish wananchi hadi waamue kuwapigania wakanate dola.
Hoja zao ni nyepesi mno, na hata hivyo hazi click sana kwa majority ya watanzania.
Hata...
Nimemuangalia Rais Magufuli kwenye mikutano mingi sana akihutubia. Niseme tu kuna uhodari fulani anaukosa kwenye kuhutubia ambao ni 'Precision' - usahihi na umakini wa maneno.
Usahihi na umakini ni silaha muhimu sana unapoongea kwenye umati wa watu ambao wanatofautiana utamaduni, imani, na...
Kutokana na maelezo ya Rais kuwa hakuridhishwa na utendaji wa RPC shana! Jampo lililochangia IGP kufanya mabadiliko ya baadhi ya makamanda wa mikoa! Kitendo Cha RPC shana kuondolewa ARUSHA na KUPELEKWA chuo cha Mafunzo MOSHI kina hitaji jicho pevu!
Niseme wazi kabisa! Kama hakufaa ARUSHA...
Hapo juzi aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani wa Tanzania shushu mbobezi, bwana Benard Camilius Membe alijitokeza kupitia mitandao ya kijamii akihoji juu ya uwepo wa tume huru ya uchaguzi. kauli ya Membe juu ya jambo hilo ilizua kelele nyingi miongoni mwa wahafidhina wa chama tawala ccm. kwao wao...
Mkakati mkali sana unapangwa wa kutengeneza Upinzani mkali na wa kueleweka. Zitto Kabwe, Benard Membe na Tundu Lissu ni wazi watakuwa pamoja. Ni suala la muda tu - kule Zanzibar kuna Fatuma Karume pia. Uchaguzi huu ni uchaguzi wa kiharakati na Tume ya Uchaguzi Huru ni lazima itazaliwa katika...
Kwa ndugu zangu wa damu CCM ukiondoa kutumia nguvu ya dola na ubabe wa kulazimishwa kupendwa kwa vitisho hawana hoja katika mizani ya siasa.
Kumshambulia mwenyejiti Mbowe kwa hoja za udikteta, ufisadi na mengine ni daliki ya kumwogopa tu kwa namna alivyoweza kuwa jiwe ktk kipindi ambacho...
NIMEMSIKILIZA SANA MSIGWA NA HOJA ZAKE ZA KUTAPATAPA ALIPOONGEA NA WAANDISHI WA HABARI AKITANGAZA NIA YAKE YA KUGOMBEA URAIS 2020.
Nashukuru kuwa ameanza kwa kutambua jitihada za serikali ya CCM kuwa kuna mambo yamefanywa na CCM, japo kwa kubeza. Hii inadhihirisha ile kauli ya mmbunge Mmoja...
Inawekana kabisa hata wao wote wawili au mmoja wao walitamani wajiongezee muda ila walisita na inawezekana pia wote wawili hawakuwa na nia wala mpango kama huo bali waliona ni busara kuheshimu katiba.
Sasa iwapo walitamani lakini wakasita, au hawakutamani ila waliamua tu kuheshimu...
Amani iwe nanyi Wadau.
kama wote mnavyojua leo ndo siku ile ambayo watanzania kwa pamoja wameweza kushuhudia hotuba ya kwanza kutoka kwa gwiji la upinzani, ndugu Tundu Antipas Lissu. Hotuba iliyokuwa imejaa utulivu, akili, busara na hekima iliyotukuka.
Kama kawaida CCM walipanga yao, kwanza...
Mhe. John Heche Yuko live StarTV. Huyu jamaa ni Jembe na ni kichwa.
Amepangua hoja zote kuhusiana na tuhuma dhidi ya CHADEMA kuhusu Mwenyekiti Mbowe na kufukuzwa kwa Wabunge waliokaidi agizo la chama kujitenga Bungeni.
Saafi sana Mhe. Heche.
Ndugu habari,
Nimemaliza chuo mwaka jana sasa nina shahada ya kwanza ya Ualimu katika masomo ya Hisabati na Kompyuta. niliporudi nyumbani mwaka huu niligundua kuna fursa ya kuzoa taka katika mitaa ya kata yetu. Hivyo sikuchelewa nikachapa barua fasta na kuipeleka kwa mtendaji wa kata nikiomba...
Bunge la Bajeti ,mkutano wa 19 kikao cha 38 limeendelea kujadili hoja ya Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za serikali za Mitaa[LAAC] kuhusu ripoti ya Mkaguzi na mdhibiti mkuu wa Hesabu za Serikali[CAG] huku serikali ikishauriwa kuanzisha chuo cha Wizi ili kukabiliana na ubadhilifu wa mali...
Nimekua nafuatilia mijadala mbalimbali inayohusu matumizi ya fedha za ruzuku kwenye vyama vya siasa.
Wapo wanaosema kwamba fedha hizo ni jukumu la chama husika kupanga bajeti ya matumizi na haipaswa mtu mwingine kuhoji wala kujua matumizi yake, na lipo kundi la pili linalosema kwamba...
Ukistaajabu ya Musa...
Kile Tanzania ilichokipinga kwa unyanyasaji walio kuwa wanafanyiwa madereva wa Tanzania kwenye mipaka ya na Kenya ndicho Kenya imekifanya huko Malaba mpaka baina ya Kenya na Uganda.
Wamiliki wa maroli Kenya wamezuia maroli yao kuvuka upande wa Uganda hadi pale...
Wahenga walishasema asiyekubali kushindwa si mshindani. Ila kukubali kushindwa hata kabla mtanange haujapigwa ni ishara mbaya sana.
Chadema kama chama kikuu cha upinzani sasa kinaonyesha dalili zote kuwa kimenyoosha mikono juu. Kama ni vitani sasa wameka silaha chini na wameshakuwa mateka...
Tokea Lijuakali atoe hoja yake juu ya chama chake Cha Chadema baadhi ya wafuasi wa Chadema wametokea kupotosha hoja ya msingi ya Bwana Lijualikali sijajua ni kwasababu ya uchama wao au kukwepa kwa makusudi hoja ya Lijuakali.
Lijuakali ajalalamika kuhusu kuchangishwa pesa Kama wanavyodai wapenzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.