hana

  1. Nyamsusa JB

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sijauona ‘u-kibaraka’ wala ‘ubeberu’ kwa Lissu mpaka sasa

    Najaribu kuutafuta Ukibaraka wa Lissu siuoni. Nautafuta Ubeberu wake siuoni. Nampekua na namchimba zaidi ninachokiona ni kua Tundu Lissu ni Mzalendo wa Kweli na wa kuigwa. Eti oooh, anatumika na Wabeligiji, swali la kujiuliza hapa Je, Lissu alifikajefikaje huko Ubeligiji (Jibu Risasi zenu...
  2. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu anaweza asikupe pesa kwa sababu hana kwa wakati huo lakini akakupa ushauri wenye thamani kuliko pesa uliomuomba

    S.hikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu watanzania; Hivi mnajua, kuna mtu anaweza asikupe pesa kwa sababu hana kwa wakati huo, lakini akakupa ushauri wa maana wenye thamani mara 3 zaidi ya pesa uliomuomba? This is my true story ========= Siku moja nikiwa chuo kikuu...
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Maajabu hayaishi Tanzania. Kijana amemaliza chuo hana ajira lakini anaishabikia CCM

    Kuna classmates wangu kadhaa nawaona mitandaoni hasa Facebook wakiwa ndani ya nguo za CCM. Kwakuwa Mimi ni Mwajiriwa wa Serikali hii basi wanajua mimi ni mwana CCM pia. Nikiwahoji wanafanya kazi gani wanabaki kulia njaa tu na kunipiga mizinga au connection. Serikali si lazima ikuajiri lakini...
  4. Kadoda nguku

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwenyekiti Tume ya Taifa ya Uchaguzi anastahili kulaumiwa katika hili, tulimshauri sana amkate Lissu, yeye akaona hana madhara

    Leo hii mtu aliyedhania hana madhara anatusumbua kila kona, Mgombea wetu anashindwa kulala Kwa amani kutwa anatafuta point za kumjibu Lissu, Leo hii kila kona ukipita Lissu ,Lissu. Tunakuambia Jaji Kwa kuwa wewe ndio hukusikiliza mawazo ya chama kilicho kuweka hapo, ukaamua kufuata yako ndio...
  5. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Kikatiba: Rais wa Tanzania hashtakiwi, lakini hana kinga dhidi ya yafuatayo...

    Katiba ya Tanzania chini ya Ibara ya 46 inasema kwamba Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hawezi kushitakiwa kwa namna yoyote ile akiwa ofisini au nje ya ofisi. Mwaka jana baada ya kesi ya kikatiba ya Ado Shaibu dhidi ya Raisi wa Magufuli na Mwanasheria Mkuu, bunge letu tukufu lilifanya...
  6. Mackanackyyy

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Urais wa CCM mwaka huu ni kama Lowassa wa 2015, watu (watoto) wanafurika kwenye mikutano yake lakini hana cha kuwaambia

    Nakumbuka 2015 nilihudhuria mikutano mitatu mikubwa ya Lowassa lakini niliishia kufedheheka sana, Huyu ni Kiongozi ambaye nilimpenda tangu nilipomwona mwaka 1994 akiwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, alikuwa mahiri mno katika kuzungumza, haiba ya kuvutia na mvuto wa Ujana na pesa...
  7. Joyce joyce

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mama Maria Nyerere: Nimelazimishwa kuja kuongea, niliwaambia nimekuja kuongeza wingi wa watu, Mkutano wa CCM Musoma

    Wakuu mama Nyerere alipoamushwa kuja kuzungumza kwenye mkutano wa Ccm, katoa Kari ya Mwaka, kasema kuwa yeye hana LA kuongea Kwa sababu amelazimishwa kuja kwenye mkutano huu. "Mimi kwa bahati nzuri pamoja na Wanamara wenzangu sisi ni kundi lile tulilokuja tuongeze idadi ya watu, vichwa...
  8. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Ukweli tunaotakiwa kuujua: Rais atakayekuwa hana wabunge wa kutosha Bungeni hataweza kuleta au kufanya mabadiliko yoyote na Urais wake hautadumu

    Utawala wa nchi yetu na nchi zote za kidemokrasia ni utawala wa sheria. Na sheria hizo tunazitunga wenyewe wananchi kupitia wawakilishi wetu kwenye bunge letu. Sisi ndiyo tunaoamua nchi yetu tuiendeshe namna gani kupitia sheria tutakazozitunga au kuzibadilisha kupitia wawakilishi wetu (wabunge)...
  9. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Halima Mdee: Gwajima alijaza fomu ya maadili nyumbani kwake badala ya kuja mbele ya msimamizi wa uchaguzi hivyo hana sifa ya kugombea

    Kanuni ya 26(3) ya Kanuni za Uchaguzi zinataka Fomu ya KUTEKELEZA MAADILI kujazwa mbele ya Msimamizi wa Uchaguzi. Ndugu yangu wa CCM KAWE alijaza tarehe 20/8/2020 NYUMBANI kwake. Na BADO MSIMAMIZI wa UCHAGUZI Kinondoni AKAMTEUA!⁩ HUYU Mgombea HANA SIFA-Halima Mdee on twitter.
  10. Mackanackyyy

    JamiiForums Tanzania Kwa vyovyote vile, Mjumbe wa sasa hana mwisho mzuri

    Sina kumbukumbu kama dunia imewahi kuwa na Mtawala baradhuli ambaye mwisho wake ulikuwa mwema, Labda CCM mtusaidie Kiwango cha Ufedhuli katika Miaka yake mitano kinavuka fikra timamu ya kibinadamu Na Mungu hadi sasa amemwacha lakini bado hasomi tu alama za nyakati. Unakwendaje kwenye Uchaguzi...
  11. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbowe itampa wakati mgumu sana kumnadi Lissu

    Ndugu zangu, Napenda kumshukuru Mungu kwa kunipa siku ya leo. Katika uchaguzi ambao niliufuatilia kwa karibu kubwa sana tangia nianze kufuatilia siasa na wanasiasa, basi ulikuwa ule wa 2015. Ulikuwa uchaguzi wa kipekee sana kuwahi kutokea hapa nchini, na ulikuwa uchaguzi mgumu sana kwa Chama...
  12. O

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA hofu yatanda: Wajuta kumpendekeza Lissu kuwa mgombea Urais, Nyalandu ana ukwasi na sifa za kupeperusha bendera yao

    Baada ya wajumbe kutathini mwenendo wa namna bw. Lissu anavyotafuta wadhamini huko mikoani, hofu na giza kuu limetamalaki hapo UFIPA, baada ya kuona muda wote Lisu ni mtu wa kutukana Serikali iliyopo madarakami na kushawishi wananchi waingie barabarani pindi jina lake lisiporudi kwa ajili ya...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Victor Njau mtia nia ubunge Arusha Mjini (CCM) aokotwa akiwa hana fahamu na majeraha mwilini, alazwa hospitali ya Mt. Meru

    Mgombea ubunge wa Arusha mjini kupitia CCM Victor Njau ameokotwa akiwa na majeraha huku amepoteza fahamu. Hivi karibuni Njau aliwatuhumu wagombea wenzake kuwa wametoa rushwa iliyotukuka kwenye zoezi la kura za maoni. Victor Njau amelazwa katika hospitali ya Mt. Meru.
  14. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Bernard Membe hana kabisa mvuto!

    Huyu jamaa, hana kabisa mvuto akiwa jukwaani. Siasa kwake naona si jambo alilonalo kiasili. Anajitahidi sana kuongea na kudondosha vibwagizo akiwa jukwaani, lakini wapi! Hamna kitu kabisa. Maneno hayamtoki mdomoni kiulaini. Linganisha Lissu akiwa jukwaani na huyo Membe, ni usiku na mchana...
  15. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Ficheni nyaraka za kununua wapinzani, mgombea wangu hana breki

    Muda umewadi wa kumwaga kila kitu umefika. Hakuna baya halitasemwa, nyekundu itaitwa nyekundu na njao haitarembwa. Mgombea wangu hana breki yeye kumwaga kashfa kubwa hadharani kwake ni kama kusukutua tu. Niwakumbushe kuficha mbali sana nyaraka na miamala ya kununua wabunge na viongozi wa...
  16. big soap

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hana/ana haki ya kunilaumu

    Nikiwa na miaka tatu na zaidi nyuma ya bila kuchakata papuchi kwa sababu zangu binafsi. kuna siku nikawa namsindikiza best wangu kwa mwenza wake jioni ivi saa mbili mbili usiku ivi. harakati za chuo na hekaheka za hapa na pale si kawaida. Basi ile tumefika tumemkuta kweli na story za hapa na...
  17. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwa Siasa za Rais Magufuli mtu kama Lissu ndio anafaa kupambana naye. Lissu hana cha kupoteza tena hivyo hana hofu ya kumkabili jino kwa jino

    Lissu ndio hasa kisiki cha mpingo cha kupambana na Jiwe. Hata wapiga kura watakuwa majasiri wa kudai haki yao endapo wataporwa ushindi wao. Wakina Membe na wengineo wampishe Lissu kwa huu Uchaguzi maana hawana uwezo wa kupambana na Siasa za kibabe za jiwe. Lissu hasa ndio pekee anayeweza kwenda...
  18. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mtihani mkubwa ulio mbele ya CHADEMA ni kupata fedha za kampeni za Urais. Chama hakina fedha na Mgombea hana fedha

    Mtihani mkubwa mbele ya CHADEMA ni kupata pesa za kampeni za ugombea urais sababu chama hakina pesa na aliyependekezwa kugombea pesa hana. Pesa nyingi mno huhitajika kwenye kampeni ya urais. Ni mtihani mkubwa mno ulioko mbele ya CHADEMA. Kampeni inahitaji bilions of money kwa ajili ya...
  19. Bushmamy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke kama mwanaume hana hela, hana love

    Oyaaa wanawake wenzangu, maandiko yanasema kabisa mwanaume utakula kwa Jasho na wewe mwanamke utazaa kwa uchungu. Halafu home una kisiki cha mpingo kimekaa home kimitego kinasuburi ulete nyama na ndizi au mchele, Thubutuuuuu mxiuuuuu ya shangazi yake. Utakuwa umelogwa wewe. Piga mateke ngumi...
  20. chiembe

    JamiiForums Tanzania Wasafi ya Diamond imfukuze Makonda katika nafasi yake ya "Mlezi wa Kundi" hana manufaa tena, ni raia tu kama mimi na yule

    Nashauri kundi la Diamond Platnumz-Wasafi wamuondolee nyazfa zote ndugu Paul Makonda. Hana msaada wowote na anaweza kuanza kuomba posho maana sasa ni jobless anakaa vijiweni tu Nashauri nafasi za Makonda apewe Mkuu wa Mkoa wa sasa bwana Kunenge,wasipofanya hivyo, itaonekana wanmpinga ndugu...
Back
Top Bottom