Utawala wa nchi yetu na nchi zote za kidemokrasia ni utawala wa sheria. Na sheria hizo tunazitunga wenyewe wananchi kupitia wawakilishi wetu kwenye bunge letu. Sisi ndiyo tunaoamua nchi yetu tuiendeshe namna gani kupitia sheria tutakazozitunga au kuzibadilisha kupitia wawakilishi wetu (wabunge)...
Kanuni ya 26(3) ya Kanuni za Uchaguzi zinataka Fomu ya KUTEKELEZA MAADILI kujazwa mbele ya Msimamizi wa Uchaguzi. Ndugu yangu wa CCM KAWE alijaza tarehe 20/8/2020 NYUMBANI kwake. Na BADO MSIMAMIZI wa UCHAGUZI Kinondoni AKAMTEUA! HUYU Mgombea HANA SIFA-Halima Mdee on twitter.
Sina kumbukumbu kama dunia imewahi kuwa na Mtawala baradhuli ambaye mwisho wake ulikuwa mwema, Labda CCM mtusaidie
Kiwango cha Ufedhuli katika Miaka yake mitano kinavuka fikra timamu ya kibinadamu
Na Mungu hadi sasa amemwacha lakini bado hasomi tu alama za nyakati.
Unakwendaje kwenye Uchaguzi...
Ndugu zangu,
Napenda kumshukuru Mungu kwa kunipa siku ya leo.
Katika uchaguzi ambao niliufuatilia kwa karibu kubwa sana tangia nianze kufuatilia siasa na wanasiasa, basi ulikuwa ule wa 2015. Ulikuwa uchaguzi wa kipekee sana kuwahi kutokea hapa nchini, na ulikuwa uchaguzi mgumu sana kwa Chama...
Baada ya wajumbe kutathini mwenendo wa namna bw. Lissu anavyotafuta wadhamini huko mikoani, hofu na giza kuu limetamalaki hapo UFIPA, baada ya kuona muda wote Lisu ni mtu wa kutukana Serikali iliyopo madarakami na kushawishi wananchi waingie barabarani pindi jina lake lisiporudi kwa ajili ya...
Mgombea ubunge wa Arusha mjini kupitia CCM Victor Njau ameokotwa akiwa na majeraha huku amepoteza fahamu.
Hivi karibuni Njau aliwatuhumu wagombea wenzake kuwa wametoa rushwa iliyotukuka kwenye zoezi la kura za maoni.
Victor Njau amelazwa katika hospitali ya Mt. Meru.
Huyu jamaa, hana kabisa mvuto akiwa jukwaani.
Siasa kwake naona si jambo alilonalo kiasili.
Anajitahidi sana kuongea na kudondosha vibwagizo akiwa jukwaani, lakini wapi! Hamna kitu kabisa.
Maneno hayamtoki mdomoni kiulaini. Linganisha Lissu akiwa jukwaani na huyo Membe, ni usiku na mchana...
Muda umewadi wa kumwaga kila kitu umefika. Hakuna baya halitasemwa, nyekundu itaitwa nyekundu na njao haitarembwa.
Mgombea wangu hana breki yeye kumwaga kashfa kubwa hadharani kwake ni kama kusukutua tu.
Niwakumbushe kuficha mbali sana nyaraka na miamala ya kununua wabunge na viongozi wa...
Nikiwa na miaka tatu na zaidi nyuma ya bila kuchakata papuchi kwa sababu zangu binafsi. kuna siku nikawa namsindikiza best wangu kwa mwenza wake jioni ivi saa mbili mbili usiku ivi. harakati za chuo na hekaheka za hapa na pale si kawaida.
Basi ile tumefika tumemkuta kweli na story za hapa na...
Lissu ndio hasa kisiki cha mpingo cha kupambana na Jiwe. Hata wapiga kura watakuwa majasiri wa kudai haki yao endapo wataporwa ushindi wao.
Wakina Membe na wengineo wampishe Lissu kwa huu Uchaguzi maana hawana uwezo wa kupambana na Siasa za kibabe za jiwe. Lissu hasa ndio pekee anayeweza kwenda...
Mtihani mkubwa mbele ya CHADEMA ni kupata pesa za kampeni za ugombea urais sababu chama hakina pesa na aliyependekezwa kugombea pesa hana.
Pesa nyingi mno huhitajika kwenye kampeni ya urais. Ni mtihani mkubwa mno ulioko mbele ya CHADEMA.
Kampeni inahitaji bilions of money kwa ajili ya...
Oyaaa wanawake wenzangu, maandiko yanasema kabisa mwanaume utakula kwa Jasho na wewe mwanamke utazaa kwa uchungu. Halafu home una kisiki cha mpingo kimekaa home kimitego kinasuburi ulete nyama na ndizi au mchele, Thubutuuuuu mxiuuuuu ya shangazi yake. Utakuwa umelogwa wewe.
Piga mateke ngumi...
Nashauri kundi la Diamond Platnumz-Wasafi wamuondolee nyazfa zote ndugu Paul Makonda. Hana msaada wowote na anaweza kuanza kuomba posho maana sasa ni jobless anakaa vijiweni tu
Nashauri nafasi za Makonda apewe Mkuu wa Mkoa wa sasa bwana Kunenge,wasipofanya hivyo, itaonekana wanmpinga ndugu...
Waziri wa mambo ya nchi za nje kuwa muongo na mlaghai kama alivyo Prof. Kabudi ni hatari kwa afya. Waziri ambaye hawazi mbali kuhusu majukumu yake inafikirisha sana.
Nakumbuka aliyoongea kwenye sakata la madini siyo tunayoona sasa.Aidha alitoa uongo wa awamu tatu. Wa majadiliano ya tume, wa...
Ni dhahiri mh Bernard Membe ametudanganya kuwa ana ushawishi mkubwa ndani CCM jambo ambalo sio kweli. Utulivu ulio ndani ya Chama unatia mashaka na kutufanya wengi tujiulize maswali hiki kinachoitwa team Membe ndani ya CCM kiko wapi? Au ni kwamba wamempuuza?
Mbona hatuoni mgawanyiko wa chama...
MLAFI HANA KABURI (Greedy has no tomb)
Yaani hata sielewi nianzie wapi na nimalizie wapi maana muongo huu wa 2020 umekuja na mengi mazito yasotabirika utadhani mwali kashika mimba ya kwanza. Aso na macho haambiwi tazama maana matukio ya mwaka huu sii ya kuhadithiwa - Tulikuwepo na bado tupo...
Naongea kama mwananchi na kushauri kuwa kumwendekeza huyu mwarabu wa Egypt's ni hasara kwa taifa na uharibifu wa mradi na uasili wake wa stiegler's gorge unapotea kwa sababu zifuatazo.
1. Hawa waarabu wa Misri kutoka Elsewedy electric na Arab contractors kutoka Misri hawana utaalamu wowote wa...
Tundu Lissu hajui kuwa chama cha CHADEMA kimeanzishwa na mabepari ya kichaga ambayo falsafa yao ni hela; yaani bila hela wewe ni takataka tu.
Tundu Lissu hawezi hata kwa dawa kupitishwa na chama chake kwa sababu hana hela na ukikosa hela hata kama ungeongea nini, wewe ni kapuku tu.
Chama...
Naomba kuuliza wake kwa waume humu, kuolewa kunamaanisha mwanamke kujitoa ufahamu na kuhama au kubadili familia na ukoo?
Maehemu Shamsa Kombo aliacha usia akazikwe huko mwitongo kwa mume wake? Au ndio mila za kisiasa kujiita Mrs abeche ndio umeukataa ukoo na kwenu? Au ni yatima au kwao hakuna...
Wasalaam wana jamvi!
Leo Clouds kupitia Clouds 360 walikuwa wamemuandalia Freeman Mbowe mahojiano ambayo angepata wasaha wakutoa ufafanuzi wa mambo kadhaa yanayo muhusu yeye na chama chake!
Lakini chakushangaza Ndugu Mbowe ametafutwa bila mafanikio na hata walipo ulizwa viongozi wenzie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.