Nafasi ya uwaziri, tena wa Afya ni eneo sensitive sana, tena kwa kipindi kama hiki ni more sensitive.
Kwa kipindi hiki cha mgawanyiko mkubwa wa mitazamo kuhusu chanjo kwenye taifa letu,sio hekima kama waziri,msomi na mtaalamu kuzungumzia mambo binafsi ya mtu mwingine.
Hivi work ethics za...
Kipindi hayati JPM anapinga chanjo alisimama kidete haswa haswa, akapiga marufuku na fumigation na akaagiza mtu yyte atakayefanya fumigation eneo lolote akamatwe.
JPM kafariki
Amekuja mama Samia yeye kaagiza chanjo sasa hapo kuna kazi kubwa ya kuwaamisha wananchi kutoka kwenye idea za...
Rais Samia anadai na hii namsikia mara ya pili au ya tatu, ati uchaguzi ukiisha Marekani panakuwa hakuna mikutano, isipokuwa ya kudai umeme ukikatika.
Wiki chache tu zilizopita Trump alikuwa na mkutano mkubwa wenye malengo ya 2024. Huyu Mzanzibari hajui siasa za dunia.
Wasalaam! Nipo Mkoa fulani hapa Nchini Tanzania. Hiki kisa kimenifanya nitamani kuwajulisha wananchi wa Tanzania mikasa mbalimbali Duniani hasa nchini kwetu Tanza- Nia.
Nikiwa kituo cha Polisi nikipata huduma fulani amekuja mwizi kasi sana na kukimbilia kaunta akitaka apewe ulinzi.
Nyuma yake...
Nimesikitishwa sana na tabia ya baadhi ya watanzania kuonyesha uwezo mkubwa wa kutabiri vifo, kuvifuatilia vitokepo na kusema sababu ni UVIKO-19 na kadhalika.
Ni juzi tu tumeondokewa na aliekuwa waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Elias Kwandikwa.
Haijaelezwa kinaga ubaga kuhusu kifo...
Kama ambavyo tumekuwa tukiimba kwa katiba bora yetu ya Chama kuliko vyama vyote nchini na Afrika,ni wazi kabisa kua Askofu Gwajima ameleta sintofahamu kubwa sana nchini huku akijua kitendo kile kilikua ni cha uchochezi wa makusudi na alidhamiria.
Mwanachama mzima wa CCM huwezi kusimama...
"Watu wanadai katiba its about our life, RAIS anaita chokochoko, na sasa wameibuka na viongozi wa ajabu mfano kuna DC mjinga mjinga hapa ilemela aliita waandishi wa habari kuwaambia kuwa haruhusu mikutano ya hadhara wilayani kwangu. Wewe una wilaya yako?" @freemanmbowet
===
Jamaa amejazia kinoma utadhani umaga wa kwenye mieleka.. Hata sadala ataanza kumuogopa sasa. Anatisha mmakonde...
Nawasilisha
Nb. Hebu tuangalie upande wa pili wa samaki. Tumuone mwalimu wake na role model wake maana ndie aliyemfundisha.
Nimefuatilia kwa ukaribu mjadala unaoendelea kwa sasa kuhusiana na kauli iliyotolewa na mkuu wa mkoa wa dodoma mheshimiwa Mtaka kuhusu kuanzisha makambi ya kitaaluma kwa wanafunzi.
Katika mjadala huo nimesikitishwa sana na maoni ya wadau mbali mbali wanaomnyooshea kidole Waziri wa Elimu Prof...
Serial Killer Acquitted:
Phillip Onyancha, who confessed to killing 17 people in 2010, has been acquitted of a murder charge by High Court.
Onyancha led police to different towns where he committed heinous acts, decomposing bodies were found.
--
A suspected serial killer facing three murder...
Kama Kumbukumbu zangu hazijakosea katika wale Champions wa Kudai Katiba Mpya nchini Tanzania Profesa Shivji nae yupo au alikuwepo bila kuwasahau na Waandamizi wenzake kama akina Mzee Warioba ( Jaji na Waziri Mkuu Mstaafu ) na Mzee Butiku ( Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Mwalimu Nyerere ) na...
Hayati Magufuli a.k.a mwendazake aliwahi kukiri kuwa hakutarajia kuwa Rais wa awamu ya tano. Wengi tunakumbuka yaliyotokea, mpambano wa Membe na Lowassa ndio uliomzaa Magufuli kama suluhu ya kambi mbili pinzani ndani ya CCM wakati huo.
Mwendazake alipata heshima na makofi mengi ndani ya siku...
Msanii nguli wa muziki wa kizazi kipya Harmonize, ametoa wimbo mpya unaoitwa Sandakalawe, wimbo huo unaonekana kukubalika na kupata views 100,000 ndani ya saa moja, hatua iliyomfanya Harmonize kusema yeye ndio mfalme wa muziki wa kizazi kipya na hatowakumbusha tena na kuacha mitaa iongee.
Straight to the topic,
Juzi kati kuna hela nilikua natarajia iingie kwenye acount yangu sasa nikawa nimeangalia sana salio ile siku kama mara 8 hivi ila hela ikawa haijaingia, nikaona isiwe kesi nikatulia zangu.
Sasa mida ya jioni nikaona simu inaita nikapoke, aliyepiga akajitambulisha kua ni...
Nimeona sehemu nyingi baadhi ya watu wakijadili kuhusu ''bwana yule'' huku wengine wakimbeza lakini wengine wakiuliza kimetokea nini kwa sasa ''bwana yule'' hapati tena siri za Ikulu.
Kwa wasiojua vizuri wameenda mbali zaidi na kudai eti kwa sasa siri za Ikulu zimethibitiwa na uongozi mpya...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kupitia majibu yake bungeni ametuarifu kuwa Serikali imeruhusu usafirishaji wa makinikia nje ya nchi.
Usafirishaji wa haya makinikia nje ya nchi ndio ililteta mgogoro na kampuni hiyo ya uchimbaji dhahabu kiasi kwamba tukaaminishwa kuwa kampuni ilikuwa inatuibia...
Nimesoma uteuzi wa Majaji uliofanywa na Mh Rais ,nimeelekeza Mawakili wangu waweke pingamizi mara moja la kuzuia kuapishwa kwa aliyekuwa DPP Biswalo Maganga kuwa Jaji wa Mahakama kuu,hana sifa wala maadili ya kuwa mwamuzi wa haki za Watanzania,anastahili kuwa jela au jehanamu.
Mytake : NI AIBU...
Habar wadau
Kila kona ni malalamiko leo mikeka imechanika na mbaya zaid game ya simba vs yanga imepigwa chin na kiingilio ushalipia toka saa 2 asubuh watu wapo uwanjan wakasema saa 1 gafla wakasema hakuna kitu halaaaaa
Ebu twende kwenye mada ukifuatilia media za nje watu wanamlaumu...
Mchawi kiukweli hana akili, mtu umelala zako usiku ukidhani wengi mmelala kumbe ndi kwanza kuna watu hutumia huo mwanya kujiandaa kuja kukusumbua usiku.
Nakumbuka nikiwa kijana mdogo (miaka 22) nlichoka kukaa hostel za chuoni nikaenda kupanga ghetto mtaani ili niwe na uhuru zaidi kumiliki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.