Ukiwa na vyote bado tu unatakiwa kumuogopa yule ambaye hana kabisa na ni adui yako pia?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,544
108,865
Una

1. Kazi nzuri inayokupa Jeuri zote
2. Elimu Kubwa ya PhD wakati Adui yako ana Masters tu
3. Pesa nyingi hadi zingine hujui umpe nani
4. Ogopeka kwa Ukali pamoja na Ubabe wako
5. Afya yako ya Nje ni njema japo ya ndani ni Siri yako na Daktari wako
6. Wanawake wengi na hawakukatai Ukiwatongoza au hata Ukiwapora kutoka kwa Waume zao
7. Unalindwa na Kampuni Kubwa sana ya Ulinzi Tanzania yenye Makao Makuu yake nchini Rwanda

Je, ni halali kabisa kwa Mimi GENTAMYCINE ambaye nina 'Uadui' na mwenye navyo vyote tajwa hapa juu na nikiwa ni 'Masikini' mno Kuogopwa?
 
Hivi wewe ni Mtanzania kweli au unatudanganya una asili ya Israel? Hii akili kubwa na utanzania haviusiani. Watanzania wenye akili kama hizi wamebaki wachache sana, ni wa kuokoteza.
 
1. Tz sijaona PhD zaidi ya Ile ya professor Shaba. Watanzania tunakula ugali kila siku lkn uliza Kuna PhD ngapi Tz zinazoboresha ugali.
2. Ukiona mtu anachukua wake za watu ujue wake ana matatizo ya kwenye 6x6.

3. Mtu yoyote mwenye furaha na amani rohoni halindwi na G4 security Wala hawindwi na majirani. Lazima umegundua kwamba watu wa Masaki Ni waoga sana na hawajiamini. Kaa nao kwenye bar ambayo haina mabaunsa utaona wanavyohaha. Sasa njoo huku Buguruni Madenge uone real freedom.

4. Kwani mwenye pesa nyingi anakula pilau kila siku? Au anakula Mara ngapi kwa siku au anavaa suti ngapi kwa siku au we mpwa wee list Ni ndefu.

5. Kuhusu mabibi wa nje yaani nibkujidhalilisha tu kwani wako ukimuandaa vizuri utakula bila makaratasi Tena chumbani kwako faragha sio hadharani kwenye magesti baada ya kula kuku feki na kunywa energy drink na kulipia chips, kuku, bia, makaratasi, gesti plus taxi na vocha juu
 
Hivi Jiwe aka block alisomea masters yake UK(ukerewe) kumbe ndio maana lugha ya akina Elizabeth inampa shida kwelikweli
mi nawashangaa mnazungumzia english yake wakati jiwe hata kiswahili hajui vizuri ,hawezi kuongea sentensi moja iliyonyooka ya kiswahili lazima iwe kiswahili broken
 
mi nawashangaa mnazungumzia english yake wakati jiwe hata kiswahili hajui vizuri ,hawezi kuongea sentensi moja iliyonyooka ya kiswahili lazima iwe kiswahili broken
Halafu eti anatwambia tukienzi kiswahili wakati yeye kutwa kuongea sukumalish majukwaani

Yani anazidiwa kiswahili hata na yule rais mstaafu mzaliwa wa msumbiji waliyemzika harakaharaka Lupaso
 
Back
Top Bottom