Kulikuwa na haja gani ya Mkude kunywa bia kama alikuwa hana hela?

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,482
20,426
Mkude kasimamishwa kwa utovu wa nidhamu, lkn kosa alijatajwa.
Taarifa za uhakika kabisa ni kuwa siku ya sikukuu Mkude alienda kiwanja flani akaagiza bia za kutosha na baada ya kulewa akasema hawezi kulipa hata sh 10 na badala yake wakachukue hela kwa Mo Dewji maana kuna malimbikizo flani flani ya mshahara tokea mwezi wa 6.
Nini maoni yako?
 
Simba haiwezi kuendelea kwa kuendekeza wachezaji wazee kama hawa akina mkude, wawa, timu inahitaji dam changa , hawa wazee wataishia kutamba hapa hapa nnje itakuwa kilio kila siku
 
Mkude kasimamishwa kwa utovu wa nidhamu, lkn kosa alijatajwa.
Taarifa za uhakika kabisa ni kuwa siku ya sikukuu Mkude alienda kiwanja flani akaagiza bia za kutosha na baada ya kulewa akasema hawezi kulipa hata sh 10 na badala yake wakachukue hela kwa Mo Dewji maana kuna malimbikizo flani flani ya mshahara tokea mwezi wa 6.
Nini maoni yako?
Achana na kitu Kiu.... Cha msingi Dewji amlipe malimbikizo yake, atalipa.... Vinginevyo tutaamini ni wivu wa Muddy dhidi ya Nkude na CEO
 
Utopolo tu huu habari za kutunga, mkude miaka yote hiyo yuko simba ndo anaishi kwa mshahala wa kila mwezi kweli hata walimu hawako hivyo siku hizi
 
Mkude kasimamishwa kwa utovu wa nidhamu, lkn kosa alijatajwa.
Taarifa za uhakika kabisa ni kuwa siku ya sikukuu Mkude alienda kiwanja flani akaagiza bia za kutosha na baada ya kulewa akasema hawezi kulipa hata sh 10 na badala yake wakachukue hela kwa Mo Dewji maana kuna malimbikizo flani flani ya mshahara tokea mwezi wa 6.
Nini maoni yako?
Kamtongoza Barbara godoro la spring la Mwamwedi, ugomvi umeanzia hapo
 
Mkude kasimamishwa kwa utovu wa nidhamu, lkn kosa alijatajwa.
Taarifa za uhakika kabisa ni kuwa siku ya sikukuu Mkude alienda kiwanja flani akaagiza bia za kutosha na baada ya kulewa akasema hawezi kulipa hata sh 10 na badala yake wakachukue hela kwa Mo Dewji maana kuna malimbikizo flani flani ya mshahara tokea mwezi wa 6.
Nini maoni yako?
Tuhakikishie kwanza kuwa ww ni mke wa mkude

Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
 
Mkude kasimamishwa kwa utovu wa nidhamu, lkn kosa alijatajwa.
Taarifa za uhakika kabisa ni kuwa siku ya sikukuu Mkude alienda kiwanja flani akaagiza bia za kutosha na baada ya kulewa akasema hawezi kulipa hata sh 10 na badala yake wakachukue hela kwa Mo Dewji maana kuna malimbikizo flani flani ya mshahara tokea mwezi wa 6.
Nini maoni yako?
Kwani Mikia huwa ina akili? yatateteana ujinga
 
Back
Top Bottom