Urafiki wa kibinadamu unakuwepo pale panapokuwa na sababu maalumu, na hasa pale upande mmoja unaponufaika zaidi kutokana na uwepo wako.
Ni vigumu kwa mtu choka mbaya, asiyekuwa na maono n.k kupata rafiki. Na hii inapelekea, asilimia kubwa ya urafiki kuwa wa kimaslai tukipendana kiunafiki, huku...