Zanzibar 2020 Mzee Kikwete: Mnataka Rais wa namna ya Dkt. Mwinyi sio Rais mwenye makeke mengi, mbwembwe nyingi...

AKASINOZO

JF-Expert Member
Aug 22, 2016
1,368
2,000
"Mnataka Rais wa namna ya Dkt. Mwinyi sio rais mwenye makeke mengi, mbwembwe nyingi, kujimwambafai mwambafai kwingi, kujitutumua kwingi, kuona wengine hawana maana, lakini Dkt. Mwinyi hana hiyo, isitoshe ni mwana CCM ambaye imani yake haina chembe ya shaka"

IMG_20201025_185337.jpg
 

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
36,523
2,000
Rais mstaafu Jakaya Kikwete amewataka Wazanzibar wamchague Dr Hussein Mwinyi kwani ni mwanaccm wa kweli.

Kikwete amesema Dr Mwinyi siyo mtu wa makeke wala hapendi mbwembwe tena siyo mtu wa kujimwambafy mwambafy na hizo ndio sifa za kiongozi makini.

Source Watetezi tv

Maendeleo hayana vyama!
 

macho_mdiliko

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
12,385
2,000
Sasa mbona kama JK anampiga dongo mhe jiwe? Maana yeye ndiye mwenye sifa hizi:
Usiseme ''kama''. Hapa amempiga Jiwe nyundo pwaa! Namna hata yeye anakereka sana na uongozi wake ila tu tatizo mtu ukishakuwa nje ya kiti cha urais huna cha kufanya zaidi. Hapa anajaribu kutumia mbinu za ki-pwani pwani kumwonyesha kuwa uongozi wake unakera wengi.
 

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
8,258
2,000
Usiseme ''kama''. Hapa amempiga Jiwe nyundo pwaa! Namna hata yeye anakereka sana na uongozi wake ila tu tatizo mtu ukishakuwa nje ya kiti cha urais huna cha kufanya zaidi. Hapa anajaribu kutumia mbinu za ki-pwani pwani kumwonyesha kuwa uongozi wake unakera wengi.
Daah! Huyu jiwe huyu, tarehe 28/10 ifikie tumpige chini yeye na vibaraka wake wote.
 

Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
10,106
2,000
"Mnataka Rais wa namna ya Dkt. Mwinyi sio rais mwenye makeke mengi, mbwembwe nyingi, kujimwambafai mwambafai kwingi, kujitutumua kwingi, kuona wengine hawana maana,lakini Dkt. Mwinyi hana hiyo, isitoshe ni mwana CCM ambaye imani yake haina chembe ya shaka" View attachment 1611755
Huyu kisirani naye atulie asitake kuamsha walioamua kumnyamazia.

Alituletea hili garasa huku bara anataka na Zanzibar awape garasa nako?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom