Juma Jux(Jux) ni Msanii bora wa R &B kwa sasa Tanzania ,ni kweli hana mpinzani?

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
52,182
42,001
Wasalaam wana jamvi.

Kiwanda cha muziki tanzania kimekuwa sana na ni wazi kabisa muziki wetu hasa bongo fleva umekuwa mgumu sana.

Lakini kwenye miondoko ya taratibu na kubembeleza ni wazi kabisa kumekuwa na ugumu wa wasanii wengi na ni wachache wanaweza kumantain.

Lakini ukifatilia trend ya hivi karibuni ni wazi kabisa kwenye muziki wa R&B kwa sasa tunaweza bakisha wasanii wawili ambao ni Jux na Mario.

Lakini ukifanya vizuri tathmini na reseach vizuri utagundua kuwa Jux amekuwa bora sana kwenye mambo mengi kumzidi Marioo hasa kwenye perfomance.

Jux ni mmoja wa wasanii wachache sana hapa nchini wenye uwezo mkubwa sana jukwaani na ni msanii mwenye uwezo wa kuimba bila kuhitaji play back na mwenye pumzi ukimlinganisha na wasanii wengine.

Jux amekuwa kinara sana wa kukonga nyoyo za mashabiki jukwaani kuliko wasanii wengine wa kuimba, maana wasanii wengi wa kuimba ni bora kuwasikiliza radioni kuliko kuwasikiliza live.

Bado najiuliza ni kweli hana mpinzani kwa sasa?
 
R n B bongo? Unasikia machakacha ya kinigeria makick ya kufa mtu mzee unasema bongo tuna R n B?
 
Kwa RbB Tz Ramadee alikua vizuri sema akapotelea Australia ila kwa Sasa Jux yupo juu.Jux anafanya vizuri sana.Albam yake imejaa ngoma nyingi kali.Siichoki kuskiliza Album yake.Hope akiendelea kukaza atafika mbali.
Tuko pamoja jux fundi
 
Wasalaam wana jamvi.

Kiwanda cha muziki tanzania kimekuwa sana na ni wazi kabisa muziki wetu hasa bongo fleva umekuwa mgumu sana.

Lakini kwenye miondoko ya taratibu na kubembeleza ni wazi kabisa kumekuwa na ugumu wa wasanii wengi na ni wachache wanaweza kumantain.

Lakini ukifatilia trend ya hivi karibuni ni wazi kabisa kwenye muziki wa R&B kwa sasa tunaweza bakisha wasanii wawili ambao ni JUX NA MARIO.

Lakini ukifanya vizuri tathmini na reseach vizuri utagundua kuwa Jux amekuwa bora sana kwenye mambo mengi kumzidi Marioo hasa kwenye perfomance.

Jux ni mmoja wa wasanii wachache sana hapa nchini wenye uwezo mkubwa sana jukwaani na ni msanii mwenye uwezo wa kuimba bila kuhitaji play back na mwenye pumzi ukimlinganisha na wasanii wengine.

Jux amekuwa kinara sana wa kukonga nyoyo za mashabiki jukwaani kuliko wasanii wengine wa kuimba, maana wasanii wengi wa kuimba ni bora kuwasikiliza radioni kuliko kuwasikiliza live.

Bado najiuliza ni kweli hana mpinzani kwa sasa?
💯💯✔✔
 
Msanii wangu bora wa RnB atabaki kuwa SteveRnB na Belle9.

Ingawa huwa naona hawajitia bidii sana kwenye kazi.

Halafu unaongelea kuimba LIVE !!!!

Walahi ukitaka kuona Jux hakuna msanii pale, mweke aimbe LIVE Au mweke kwenye BEATS za AfroPop. Anahemea juu juu tu.
Wasalaam wana jamvi.

Kiwanda cha muziki tanzania kimekuwa sana na ni wazi kabisa muziki wetu hasa bongo fleva umekuwa mgumu sana.

Lakini kwenye miondoko ya taratibu na kubembeleza ni wazi kabisa kumekuwa na ugumu wa wasanii wengi na ni wachache wanaweza kumantain.

Lakini ukifatilia trend ya hivi karibuni ni wazi kabisa kwenye muziki wa R&B kwa sasa tunaweza bakisha wasanii wawili ambao ni JUX NA MARIO.

Lakini ukifanya vizuri tathmini na reseach vizuri utagundua kuwa Jux amekuwa bora sana kwenye mambo mengi kumzidi Marioo hasa kwenye perfomance.

Jux ni mmoja wa wasanii wachache sana hapa nchini wenye uwezo mkubwa sana jukwaani na ni msanii mwenye uwezo wa kuimba bila kuhitaji play back na mwenye pumzi ukimlinganisha na wasanii wengine.

Jux amekuwa kinara sana wa kukonga nyoyo za mashabiki jukwaani kuliko wasanii wengine wa kuimba, maana wasanii wengi wa kuimba ni bora kuwasikiliza radioni kuliko kuwasikiliza live.

Bado najiuliza ni kweli hana mpinzani kwa sasa?
 
Rama D, Belle 9,Ben paul, Jux nimemaliza Top four yangu kwa sasa. Hata kama hao wengine hawaimbi sana ila wana balaa sio kidogo.
 
Kwani jux anaimba rnb???! Achen unafiki ungesema mavoko anaimba rnb ningekuelewa kidogo
 
Mungu alitupiga kofi sana... Kwa uzwazwa wetu tumeshindwa kutofautisha... RNB yenyewe inaimbwa na Jux/Rama Dee/PHD/SteveRNB wengine wengi wanachoimba sio ngoma, sio pop, sio singeli, sio taarab ila inaitwa Bongo Flavor
 
Wasalaam wana jamvi.

Kiwanda cha muziki tanzania kimekuwa sana na ni wazi kabisa muziki wetu hasa bongo fleva umekuwa mgumu sana.

Lakini kwenye miondoko ya taratibu na kubembeleza ni wazi kabisa kumekuwa na ugumu wa wasanii wengi na ni wachache wanaweza kumantain.

Lakini ukifatilia trend ya hivi karibuni ni wazi kabisa kwenye muziki wa R&B kwa sasa tunaweza bakisha wasanii wawili ambao ni Jux na Mario.

Lakini ukifanya vizuri tathmini na reseach vizuri utagundua kuwa Jux amekuwa bora sana kwenye mambo mengi kumzidi Marioo hasa kwenye perfomance.

Jux ni mmoja wa wasanii wachache sana hapa nchini wenye uwezo mkubwa sana jukwaani na ni msanii mwenye uwezo wa kuimba bila kuhitaji play back na mwenye pumzi ukimlinganisha na wasanii wengine.

Jux amekuwa kinara sana wa kukonga nyoyo za mashabiki jukwaani kuliko wasanii wengine wa kuimba, maana wasanii wengi wa kuimba ni bora kuwasikiliza radioni kuliko kuwasikiliza live.

Bado najiuliza ni kweli hana mpinzani kwa sasa?
Anaye Mpinzani ROTIMI.
 
Back
Top Bottom