Hizi habari za connection zinatujenga watz kuwa watumwa wa picha chafu hata kwa wasafi

ubarinolutu

JF-Expert Member
Oct 22, 2012
1,964
3,895
Hizi habari za kila siku kusikia connection, connection ya kupata picha chafu hasa za watanzania na watu maarufu zinatujenga kidogo kidogo kuwa watumwa wa hizi mambo.
Sote tunajua watanzania sio wacheza picha chafu na hiyo tabia haikuwepo, Ila Sasa hata wale ambao walikuwa hawana utamaduni wa kuangalia porn Sasa hivi wanaangilia eti tu kwakuwa kasikia Kuna Ka usemi wanakatumia picha kuvuja , picha hazivuji zile Ni porn kama porn nyingine unazoona mtandaoni za kina Mandingo wasitumie sababu ya kuvuja c kweli, utakuta kila mtu anazitafuta , mfano Sasa hivi Ni idadi kubwa sana ya watanzania wameona porn za gwj, Amber rutty, makaaya fake, ngasa, jamaa wa cbe, Mariam biriani, abdu kiba feki, na yule binti na mjomba, Ni mamilioni wameziona,
Tusidanganyike ile Ni porn na hakuna picha kuvuja, kuangalia ile Ni sawa na kuingia tovuti ya porn. Kila wakati connection na humo humo ndo biashara ya kujiuza ya mtandao inafanyika tupuuze hayo
 
Tunaaanza kuhalalisha ngono za video kwa spidi ya ajabu Kila wiki inaachiwa tuvideo vya dk 1 ,mwisho tutadai mkanda mzima
Tcra ipo, polisi ipo hatua hazichukuliwi
 
Utasikia mwenye nayo aturushie, unaishia kushuhudia ngono za watu wengine. ukishakuwa addict unafukunyua kabisa mtandaoni
 
Video ya posh queen ikitoka na nikaitia machoni, baada ya hapo sitojihusisha na huu ujinga nitajitenga na connections zote za uovu
 
Ukimbie uovu kwa binafsi yako usimwangalie yeyote wa pembeni yako, mwisho wa kila jambo unafika.
 
Back
Top Bottom