Mwandishi wa Habari wa The Citizen afukuzwa kazi. Kaponzwa na Maoni yake katika mitandao ya kijamii?

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Jul 3, 2007
5,520
2,091
Mwandishi wa Habari wa The Citizen amesimamishwa kazi.

Taarifa zaidi zinabainisha kuwa ni kwa kukiuka

IMG-20200323-WA0029.jpg


Aidha, mwandishi mwingine Neville Meena naye amesitishiwa mkataba kwa sababu hizo hizo: Neville Meena avunjiwa Mkataba na Mwananchi Communications - JamiiForums
 
Huyu mwandishi ni katika wale wachache waliokuwa wanahoji maswali mazuri sana ktk press conference.

Nadhani weledi wake wa kufanya kazi ya uandishi ndiyo umesababisha aonekane 'mpinzani'.

Mfano mmoja kati ya kazi nzuri nyingi za mwandishi huyu ni mahojiano haya February 6, 2020 kuelekea Siku ya Sheria mada Sheria na Uwekezaji



Source : Mcl digital
 
Back
Top Bottom