Kuna tatizo lolote kati ya RT na DSTV?
Kama hakuna tatizo naomba mimi Kama mteja mtuwekee na vipindi kutoka Urusi, sisi wengine ni wapenzi wa habari za kimataifa, pia hupenda kufanya ulinganifu wa taarifa.
Kwa bahati nzuri DStv mnarusha habari za dunia kupitia CNN,BBC,DW,FRANCE, na TV nyingine...
Kupitia matangazo ya moja kwa moja yanayoendelea ya channel 10, imemuonesha aliyekuwa Katibu Kkuu wa CHADEMA, Dkt. Mashinji akiingia ofisi hizo akiwa akiwa amevalia nguo za CHADEMA tayari kwa kuijiunga na CCM.
Anaeleza baada ya kutafakari kwa kina amebaini CHADEMA haina utayari wa kuleta...
Katika hali ya kushangaza mwandishi wa habari wa gazeti la msema kweli ameshindwa kutofautisha matumizi sahihi ya neno AJUZA mpaka kafikia kumwita mwanaume mzee Ajuza. Hii inaonyesha ni jinsi gani tasnia ya habari inavyopoteza weledi wake siku hadi siku.
Amani kwako.
Dunia inaadhimisha uwepo wa utoaji wa habari duniani kupitia redio na siku ya tarehe 13.02.2020 tunaadhimisha Siku ya Redio.
Toa maoni yako juu ya siku hii, ikiwa ni pamoja kuangazia tasnia hii ya redio inayoongozwa na waandishi wa habari:
- Kwa sasa imeingiliwa na watangazaji...
Team hii ikianzisha chama au kujiunga na chama chochote kati ya CHADEMA na ACT, basi CCM itabaki na Jiwe!
1. Membe
2. Kinana
3. Makamba
4. Nape
5. Ngeleja
6. Mwigulu
7. Mwele
8. Maria Sarungi
9.Fatma Karume
10. Wakili Jebra Kombole
11. Kagasheki
12. Profesa Mwandosya.....
13. Kigogo@2014 (though...
Jumamosi iliyopita watu 20 walikufa wakigombea upako huko Moshi.Mara nikasikia vijana 10 wa JKT wamekufa wakiwa kwenye mafunzo.!
Upande wangu wiki hii ilikuwa na pilika nyingi +masuala ya binafsi na uchumi ,nikajikuta sio mfuatoliaji Sana wa habari.Leo nimejiuliza ,mbona haya matukio yamepewa...
Uzi huu uwe maalum kwa madereva na wasafiri kujua hali ya barabara ni haki yenu kabla ya kuanza safari ya huko uendako.Tupashane yanayojiri ili tuweze kusaidia safari zetu. Unatarajia kuelekea wapi saa hizi, unahitaji kujua hali ya barabara kama labda kuna changamoto yeyote saa hizi ili kuepusha...
Kupitia Ukurasa wa Mtandao wa Kijamii wa Twitter, aliyekuwa Waziri wa zamani
wa Mambo ya Nje, Bernard Membe amesema ameitwa Jijini Dodoma kwenye Kikao hicho cha CCM
Amesema amepata barua ya kuitwa hapo jana na ataudhuria bila kukosa au kuchelewa kikao hicho kitakachofanyika Februari 06 saa 3...
Je kwa mawazo yako hizi sheria za habari ambazo zimekuwa zikilalamikiwa na kusababisha waandishi wa habari na wanasiasa wengi kufunguliwa kesi zimesaidia nchi yetu kwa miaka minne sasa?. Vilevile uzuiaji wa mikutano kwa wapinzani Je imeleta amani yeyote na imesaidia chochote?. Tuliambiwa kufanya...
Tutawaletea Moja kwa Moja Mkutano wa Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe na Wandishi wa Habari wa Tanzania na wakimataifa Kuhusu Mambo mbalimbali ya Nchi
Updates
------------
Mbowe atahadharisha hali ya hatari uchaguzi mkuu, Amlima Barua Rais
-------------
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe...
Mkutano wa mwenyekiti wa Chadema FREEMAN MBOWE na waandishi wa habari unaotarajiwa kufanyika leo Februari 03, 2020 majira ya 5 asubuhi umejaa hadaa na upotoshaji kwa umma, nitafafanua kila jambo kwa hoja.
Tume huru ya Uchaguzi.
kamati ya Maridhiano
Marekebisho ya katiba
kuzuiwa kusafiri nje...
Taarifa kwa vyombo vya habari na umma Mkiti wa CHADEMA
na Kiongozi wa Kambi Upinzani Bungeni, Mhe. Freeman Mbowe(Mb) atazungumza na Watanzania kupitia Mkutano na Waandishi wa Habari wa vyombo vya ndani na nje ya nchi, J'tatu, Feb. 3, 2020, saa 5 asubuhi, jijini Dar es Salaam.
Nimeangalia Taarifa ya Habari iwe ITV, TBC, AZAM TV hakuna habari iliyotangazwa ya Makonda sijui kuzuiliwa kwenda Marekani
Huu utaratibu mzuri kesho tena tunategemea kutoona gazeti lolote lililoandika ujinga wa Mabeberu
====
Edit:
Azam TV wamei-cover habari hii
Kabla ya uteuzi huu alikuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Hassan Abbas kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. Kabla ya uteuzi huo Dkt. Hassan Abbas...
Kuna clip inamuonesha jamaa anagalagala chini huku akilalaamika kuachwa na hamida ...
Huyo jamaa tunamtafuta ,kwa yeyote anaemjua huyo jamaa au mwenye mawasiliano nae tunaomba pls..
NB Hatumtafuti kwa ubaya
Mimi ninafanya kazi kwenye media X
Lengo la kumtafuta ni kufanya nae Interview...
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya ndani Aandika barua ya Kujiuzulu.
Rais Magufuli akiwa anahutubia wakati wa ufunguzi wa nyumba za Askari Magereza, amesema kwamba..
Nampongeza sana Meja Jenerali, Kingu ambaye alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani kwa kuwajibika kwamba ametambua. Na...
Habari wa JF, bila shaka mu buheri wa afya natafuta "Business Partner" ili tufungue kiwanda kidogo cha Waste Recycling (Kuchakata taka) na kuzalisha bidhaa mbalimbali zitokanazo na taka zilizochakatwa kama karatasi, mbolea nk .
"Business Partiner" awe na angalau kuanzia 10 mpaka 200 million...
Na huo ndiyo ukweli wenyewe. Mwana habari Erick Kabendera nje ya Tanzania ni mwana habari mwenye nguvu na mwenye uzani sawa na kina Jamal Khashoggi. Hayo mengine yalitokea yakapita kimya bila madhara makubwa. Wapo waliotekwa, wapo waliopotea, wapo walionusurika kuuawa, wapo waliouawa na wapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.