Baada ya kutoka jela Mwamba Freeman Mbowe kuongea na vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi Jumamosi hii

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,621
218,046
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akipokewa  makao makuu ya chama hicho jijin ( 640 X 640 ).jpg

Hatulegei.. ( 425 X 640 ).jpg


Ataongea kuanzia saa 8 mchana Makao Makuu ya Chadema , Kinondoni Mtaa wa Ufipa .

Wote Mnakaribishwa
 

Attachments

  • Freeman Mbowe alivyopokelewa baada ya kutoka gerezani Segerea - MwananchiUpdates ( 480 X 480 ).mp4
    5 MB
Kila anaetoka Segerea anatangaza kufa press conference! Wameanza wakina mdee hatujui ata waliongea nn mwisho wa siku
 
Back
Top Bottom