Ikulumaliyawananch
JF-Expert Member
- Mar 14, 2018
- 339
- 533
Kuna tatizo kubwa katika taifa letu. Huyu Rais Magufuli anatumia kodi za walipa kodi kuendesha makundi ya propaganda kwenye mitandao ya kijamii.
Pia anatumia mabilioni kununua wapizani njaa. Kutokana na huo ubadhilifu wa mali za uma sasa hofu imemuingia, sasa anacho fanya ni kuharibu taasisi zote zionekana mbaya zaidi kuliko yeye.
Na huu uharibifu umeathiri taasisisi za uma na za watu binafsi kama hii JamiiForums. Kwa mfano JamiiForums zamani ilikuwa na watu wanaoshidana kwa hoja zenye mshiko lakini sasa hivi JamiiForums imejaa watu wa kawaidakusifia Magufuli kwa kulipwa hela zilizochotwa kutoka kwenye kodi zetu.