habari

  1. U

    JamiiForums Tanzania Hizi habari za connection zinatujenga watz kuwa watumwa wa picha chafu hata kwa wasafi

    Hizi habari za kila siku kusikia connection, connection ya kupata picha chafu hasa za watanzania na watu maarufu zinatujenga kidogo kidogo kuwa watumwa wa hizi mambo. Sote tunajua watanzania sio wacheza picha chafu na hiyo tabia haikuwepo, Ila Sasa hata wale ambao walikuwa hawana utamaduni wa...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Baada ya kutoka jela Mwamba Freeman Mbowe kuongea na vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi Jumamosi hii

    Ataongea kuanzia saa 8 mchana Makao Makuu ya Chadema , Kinondoni Mtaa wa Ufipa . Wote Mnakaribishwa
  3. T

    JamiiForums Tanzania Millard Ayo blog kuwa na ubaguzi wa habari. Je, tutegemee Millard Ayo kufa kama michuzi blog?

    Miaka ya nyuma hasa utawala wa kikwete Jf ilikuwa inashindanishwa na michuzi, in short, system ilikuwa inataka kuuwa Jf na kuifanya michuzi bora zaidi lakini mwisho wa siku kila kitu kilikwama Michuzi blog ikajifia kifo cha mende na Mjegwa blog ikajifia kifo cha mende Sasa utawala huu unatumia...
  4. Omerta

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa agoma kupanda gari za CCM, alakiwa na wana-CHADEMA

    .............
  5. polokwane

    JamiiForums Tanzania Kumtangaza mshindi wa mamilion kwenye vyombo vya habari ni kumuweka kwenye hatari kubwa sana

    Ndio hivyo ndivyo ninavyo weza kusema hasa ha makampuni ya KUBET maana baada tuu ya kutanganzwa misuko suko inaanza mara kabambikiwa kesi, mara matapeli wanamsakama, mara majambazi wanamuwinda nk Nadhani itafutwe njia mbadala ambayo taarifa zza msindi haziwi exposed sana kwenye jamii maana...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Habari njema za uchumi wa Tanzania kimataifa: IMF yakubali Magufuli anapiga kazi nzuri, kumuunga mkono kwa kuimwagia mabilioni ya maendeleo mwezi Mei

    Wanabodi, Angalizo la kuzuia kukereka. Kuna members humu wanakereka na kukasirika pale serikali ya Tanzania, au rais Magufuli na serikali yake anapofanya vizuri kustahili pongezi, Hivyo tusiharibiane siku leo mwanzo wa weekend, wewe kama uko kundi hili, naomba uishie hapa ili usije kuharibu...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Wapi pa kupata vifaa vya stationery kwa bei nafuu sana?

    Habari zenu wadau. Naombeni mwenye uzoefu anisaidie kujua ni wapi naweza kupata vitu vya Stationery kwa bei nafuu sana, mfano pen, karatasi, mafaili n.k Natanguliza shukrani
  8. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Uvumi wa kuachana na Tanasha; Diamond Platnumz kuongea na waandishi wa habari kesho Serena Hotel

    Diamond amepost kwenye page yake ya Instagram kuwa ataongea na waandishi wa habari kesho huku kukiwa na uvumi wa utata kwenye mahusiano yake. Inasemeka kuwa Diomond na Tanasha wapo kwenye mgogoro mzito na ikidaiwa kuwa penzi lao limefika mwisho. Je, ndicho kitu ambacho Diamond anataka...
  9. Boniphace Kichonge

    JamiiForums Tanzania Je, ni nani atafaa kuongoza wizara ya afya kwa siku za mbeleni?

    Wadau. Leo Nimeona nipate Maoni yenu kwa kuzingatia kichwa cha habari Hapo Juu. Kwa Siku za Mbeleni na kwa kutazama Uhalisia Wa Changamoto Mbalimbali za Kiafya Nchini, Je unaona Nani Atafaa Kuongoza Wizara ya Afya Na kwa Sababu zipi? Kibinadamu Hakuna awezaye kudumu milele sehemu Moja...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Unyama : Waandishi wa Habari wanusurika kuuawa na polisi kwenye sakata la kumkamata Mbowe , Wapelekwa Hospitali ya wilaya

    Bado haijafahamika kama wamepigwa risasi na askari walioagizwa kuua na Mkuu wa Wilaya , Mwandishi wa Mwananchi Janeth Joseph na Elia Peter wa global Tv ndio walioathirika zaidi Wanatuhumiwa kupiga picha tukio baya lililopangwa la kummaliza Mbowe Shukrani za Pekee ziwafikie walinzi wa Mbowe...
  11. Mpauko

    JamiiForums Tanzania Nayaandika haya huku moyo wangu unavuja damu. Uchungu mwingi sana

    Nakumbuka ilikuwa mwaka 1994, Kihanga, huko Iringa Vijijini, kwa mipango yako nilizaliwa, mtoto mdogo mwenye afya njema. Miaka sita mbele hakika nilibadilika hasa, kijana mchangamfu, mchapakazi, mwenye akili nyingi na fuarha tele, wazazi wangu walikuwa ni wenye kujivunia kijana huyu, Ndugu na...
  12. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Maneno ya mwandishi Ansbert Ngurumo juu ya utawala wa awamu ya tano

    Msikilize Ngurumo
  13. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Ombi langu kwa DStv wekeni na habari za URUSI kupitia TV yao ya kiingereza ya RT yaani Russia Today

    Kuna tatizo lolote kati ya RT na DSTV? Kama hakuna tatizo naomba mimi Kama mteja mtuwekee na vipindi kutoka Urusi, sisi wengine ni wapenzi wa habari za kimataifa, pia hupenda kufanya ulinganifu wa taarifa. Kwa bahati nzuri DStv mnarusha habari za dunia kupitia CNN,BBC,DW,FRANCE, na TV nyingine...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Taifa wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji ajiunga na CCM

    Kupitia matangazo ya moja kwa moja yanayoendelea ya channel 10, imemuonesha aliyekuwa Katibu Kkuu wa CHADEMA, Dkt. Mashinji akiingia ofisi hizo akiwa akiwa amevalia nguo za CHADEMA tayari kwa kuijiunga na CCM. Anaeleza baada ya kutafakari kwa kina amebaini CHADEMA haina utayari wa kuleta...
  15. Wakulonga

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya waandishi wa habari wanatia aibu

    Katika hali ya kushangaza mwandishi wa habari wa gazeti la msema kweli ameshindwa kutofautisha matumizi sahihi ya neno AJUZA mpaka kafikia kumwita mwanaume mzee Ajuza. Hii inaonyesha ni jinsi gani tasnia ya habari inavyopoteza weledi wake siku hadi siku.
  16. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Siku ya Redio Duniani: Je, ni sahihi kwa wasio na taaluma ya habari kutangaza?

    Amani kwako. Dunia inaadhimisha uwepo wa utoaji wa habari duniani kupitia redio na siku ya tarehe 13.02.2020 tunaadhimisha Siku ya Redio. Toa maoni yako juu ya siku hii, ikiwa ni pamoja kuangazia tasnia hii ya redio inayoongozwa na waandishi wa habari: - Kwa sasa imeingiliwa na watangazaji...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Hawa wakiamua kuanzisha chama, CCM kwisha habari yake

    Team hii ikianzisha chama au kujiunga na chama chochote kati ya CHADEMA na ACT, basi CCM itabaki na Jiwe! 1. Membe 2. Kinana 3. Makamba 4. Nape 5. Ngeleja 6. Mwigulu 7. Mwele 8. Maria Sarungi 9.Fatma Karume 10. Wakili Jebra Kombole 11. Kagasheki 12. Profesa Mwandosya..... 13. Kigogo@2014 (though...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Hivi habari za vifo vya wenzetu zimepitaje?

    Jumamosi iliyopita watu 20 walikufa wakigombea upako huko Moshi.Mara nikasikia vijana 10 wa JKT wamekufa wakiwa kwenye mafunzo.! Upande wangu wiki hii ilikuwa na pilika nyingi +masuala ya binafsi na uchumi ,nikajikuta sio mfuatoliaji Sana wa habari.Leo nimejiuliza ,mbona haya matukio yamepewa...
  19. No Escape

    JamiiForums Tanzania Madereva: Habari za barabarani leo?

    Uzi huu uwe maalum kwa madereva na wasafiri kujua hali ya barabara ni haki yenu kabla ya kuanza safari ya huko uendako.Tupashane yanayojiri ili tuweze kusaidia safari zetu. Unatarajia kuelekea wapi saa hizi, unahitaji kujua hali ya barabara kama labda kuna changamoto yeyote saa hizi ili kuepusha...
  20. Influenza

    JamiiForums Tanzania Bernard Membe aitwa kwenye Kikao cha Kamati ndogo ya Udhibiti wa Nidhamu CCM

    Kupitia Ukurasa wa Mtandao wa Kijamii wa Twitter, aliyekuwa Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje, Bernard Membe amesema ameitwa Jijini Dodoma kwenye Kikao hicho cha CCM Amesema amepata barua ya kuitwa hapo jana na ataudhuria bila kukosa au kuchelewa kikao hicho kitakachofanyika Februari 06 saa 3...
Back
Top Bottom