Nakerwa na ucheleweshwaji wa malipo ya mahindi

Hakuna anayejali

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2023
Posts
418
Reaction score
527
Mimi ni mkulima ninayekerwa na ucheleweshwaji wa malipo ya mahindi. Mfano Mikoani Ruvuma Manispaa ya Songea mimi na wenzangu tulipeleka mahindi( Cpb)bodi ya Nafaka Tanzania ni kitengo cha Serikali yani mia.

Mwezi sasa hatujalipwa ingawa walisema malipo yatafanyika ndani ya siku3 za kazi toka kukabidhi mahindi.lakini hadi sasa tunamaliza mwezi.wiki iliyopita walisema deadline lakini hadi muda huu hakuna malipo.

Hali hii ipo hadi Nfra.naomba wahusika mtusaidiye tupate malipo wengine ni muda wa marejesho benki na watoto shule muda umepiga barua yao hii.

IMG-20230825-WA0002.jpg
IMG-20230825-WA0003.jpg
 
Mambo ya serikali hayo unaweza kuambiwa leta mengine tena wee jumlisha tuu zitalipwa zoote 😄
 
Mimi ni mkulima ninayekerwa na ucheleweshwaji wa malipo ya mahindi. Mfano Mikoani Ruvuma Manispaa ya Songea mimi na wenzangu tulipeleka mahindi( Cpb)bodi ya Nafaka Tanzania ni kitengo cha Serikali yani mia.

Mwezi sasa hatujalipwa ingawa walisema malipo yatafanyika ndani ya siku3 za kazi toka kukabidhi mahindi.lakini hadi sasa tunamaliza mwezi.wiki iliyopita walisema deadline lakini hadi muda huu hakuna malipo.

Hali hii ipo hadi Nfra.naomba wahusika mtusaidiye tupate malipo wengine ni muda wa marejesho benki na watoto shule muda umepiga barua yao hii.

View attachment 2732787View attachment 2732788
Unaachaje mali yako bila malipo? Mnaiamini sana ccm!!
 
Back
Top Bottom