habari

  1. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Polisi wawatawanya wananchi waliotaka kuchota mafuta baada ya ajali ya lori

    Jeshi la Polisi mkoani Morogoro, limefanikiwa kuwatawanya wananchi waliojitokeza kuchota mafuta, baada ya lori lenye namba za usajili T 810 AJL lililobeba mafuta aina ya dizeli kuacha njia na kuingia mtaroni kisha mafuta hayo kuanza kumwagika, katika eneo la Msimba lililopo wilayani Kilosa...
  2. blogger

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Habari za Ulawiti na Ubakaji ziache kurushwa kwenye vyombo vya habari

    Si habari za kufurahisha. Ni habari za kukera, kukaraisha na zinaleta fedheha. Kwanza hazizingatii umri maana zinarushwa muda wowote mkiwa mmeketi pamoja na familia. Lakini mantiki ya kurusha uovu huu ni nini!?? Ni kuutarifu uma juu ya ukatili au kuwadhalilisha waliokutwa na masahibu hayo au...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa Vyombo vya Habari: Nchi 7 kati ya 10 zina hali mbaya

    Katika Nchi 180 zilizofanyiwa tathmini ya Hali ya Uhuru wa Habari na Shirika la Reporters Without Borders (RSF), 4.4% sawa na Nchi 8 zimetajwa kuwa na Mazingira mazuri ya Vyombo Vya Habari Huru Hali imetajwa kuwa mbaya zaidi katika Nchi 31 (17.2%) ikielezwa Mazingira ya Habari ni mabaya katika...
  4. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Vyombo vya habari vyakabiliwa na mapato duni

    Vyombo vya Habari Nchini Tanzania bado vinakabiliwa na changamoto mbalimbali zinazo pelekea kushindwa kumudu gharama za uendeshaji na maslahi duni kwa wafanyakazi. Pia vinakabiliwa na changamoto ya mrundikano wa kodi za usajili huku serikali ikiahidi kuwa mwaka 2023 itasimamia uchumi wa vyombo...
  5. S

    JamiiForums Tanzania BoT, toeni matangazo kabla ya taarifa ya habari kuhusu adhabu za kukiuka Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha na kanuni zake ya mwaka 2018

    Muda mfupi uliopita kupitia kipindi cha "Ijue BOT" kinachorushwa na Azam tv, nimemsikia Afisa Mwandamizi wa BOT, Bwana Deogratias Mnyamani akitoa maelezo kuhusu Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha ya mwaka 2018 na kanuni zake ya mwaka 2019. Katika maelezo yake akihojwa na Mtangazi wa kipindi hicho...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Mwinyi akishiriki Kongamano la Miaka 30 ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, Mei 3, 2023, Zanzibar

    Leo Mei 3, 2023 ni siku ya tatu ya Kongamano la Miaka 30 ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani linalofanyika kwenye Ukumbi wa Golden Tulip, Zanzibar, mgeni rasmi akitarajiwa kuwa Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi. VIONGOZI WAWASILI Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed...
  7. Michael_03

    JamiiForums Tanzania Marafiki, mi ni new member

    Habari wana jamii, mi ni ndugu yenu mpya, naomba mnipokee Lakini pia ni job seeker, kwa yeyote mwenye connection ya kazi au anaweza kunisaidia kwa namna yeyote naomba tuwasiline.
  8. Shujaa Nduna

    JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje kama mtu amepanda mahindi kwenye eneo langu akidhani ni pake. Nimemwambia ang'oe

    Pale ambapo mtu kavamia na kupanda mti katika eneo la nyumba (uwanja wangu) kwakuwa nasafiri sana. Hata baada ya kumwambia ang'owe akakubali atatoa au kuruhusu hata mimi nitowe lakini baada ya miezi5 hajatowa. Je, mimi niking'oa nitakuwa na kesi?
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Siku ya Pili, Kongamano la Miaka 30 ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, 02/05/2023 Zanzibar

    Siku ya Pili, Kongamano la Miaka 30 ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, Mei 2, 2023 Zanzibar, Kongamano hili linafanyika wenye Ukumbi wa Golden Tulip. Mjadala unatarajiwa kuanza muda si mrefu kutoka sasa... BAKARI MACHUMU: MAGAZETI YALIANZA KUWA NA HALI NGUMU HATA KABLA YA...
  10. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Waandishi wa Habari mwaka 2022 yaliongezeka maradufu

    Waandishi wa habari 86 pamoja na watendaji wa vyombo vya habari waliuawa duniani kote mwaka 2022,kwa mjibu wa Taarifa kutoka shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni, UNESCO, ikichambua zaidi ya kwamba takwimu hizo ni sawa na mmoja katika kila siku 4. Taarifa ya UNESCO...
  11. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania EFM na WASAFI Wanadhalilisha Tasnia ya Habari nchini

    Hawa watu ukifuatilia Kwa ukaribu wanachofanya siyo sahihi kabisaa Mimi Sina taaluma ya Habari na mawasiliano Kwa uzoefu wangu Katika kufuatilia mambo haws jamaa wako OP kabisaa. 1. Wafanyakazi wao wengi siyo profesional kabisaa ni wa mjomba kamlete 2. Hawako serious Katika kuchambua mambo...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania TANZIA Wafanyakazi Wawili wa Ofisi ya CAG wafariki dunia

    Taarifa kamili hii hapa. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). Bw. Charles E. Kichere anasikitika kutangaza kifo cha Bw. Geofrey Lawrence Makonyu, Mkaguzi Kitengo cha Walipa Kodi Wakubwa ambae amefariki akiwa Yaounde nchini Cameroon akiwa katika majukumu ya kikazi. Marehemu...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza ya Kongamano la Miaka 30 ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, 01/05/2023 Zanzibar

    TAMWA WATOA NENO Baada ya mgeni rasmi kuwasili ukumbini, Mwenyekiti wa Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), Joyce Shebe amemkaribisha na kutoa neno la ukaribisho. Anasema: Tunafahamu kuwa hali ya uhuru habari wa kujieleza kwa vyombo vya habari nchini umeimarika na tunaona jitihada...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Habari acheni kuonea watumishi maskini, mnawasimamisha kazi waliowashauri mtoe fedha za matengenezo ya mfumo wa umeme mkakataa?

    Mhe. Rais kilichofanywa na wizara ya Habari hakina hata chembe ya Haki. Ukisoma barua ya wizara inasimamisha wafanyakazi kazi kisha barua hiyo hiyo inaeleza kwamba wanaharakisha mchakato WA tenda; unajiuliza Nani kawaambia wizara kama hitilafu ilivyotokea inahitaji tenda? Maana yake wanayo...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Muhongo asema kuwa hii habari ya 16% Share kwenye Madini huenda tumeliwa!

    Kama Taifa bado hatujatuliza vichwa ipasavyo katika ishu za madini. Hatujui vizuri biashara yake, na wala hatujui hata thamani halisi ya madini yetu ukiachilia mbali vipesa mbuzi. Kiufupi bado akili zetu ni zilezile za kugawa Almasi kwa Shanga. Profesa Muhongo ameongea vizuri sana bungeni. kuwa...
  16. Sajo

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike ili media na social media zihabarishe umma kuhusu uwajibikaji na kujitambua badala ya kutoa habari kiburudani?

    Kwenye Forum Meeting inayojadili uwajibikaji kutoka ripoti ya CAG, JF imeulizwa na taasisi ya WAJIBU, kuwa Nini kifanyike kuhusu media na social medias kuhusu kuhabarisha umma juu ya uwajibikaji na kujitambua. Msingi wa swali ni kwa kuwa uchambuzi wa ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali yathibitisha Kipindipundu kuingia Dar, Ilala ina Wagonjwa 10

    Serikali kupitia Wizara ya Afya imethibitisha uwepo wa Wagonjwa wa Kipindupindu muda mfupi baada ya Jamii Forums kuripoti uwepo taarifa za Ugonjwa huo katika Wilaya ya Ilala. Kwa mujibu wa Wizara ya Afya hadi sasa kuna Wagonjwa 10 waliobainika katika Wilaya ya Ilala ambapo 3 wapo Tabata, na...
  18. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Tabiri vichwa vya habari vya magazeti ya michezo kesho

    Kufuatia Yanga kushinda ugenini dhidi ya Rivers Utd ya Nigeria huko kwenye michuano ya kombe la shirikisho barani Africa, hebu tabiri vichwa vya habari kwa magazeti ya michezo kesho. Mwanaspoti: Tuwape Yanga maua yao Endelea na wewe kutiririka
  19. Fundi Lyimo

    JamiiForums Tanzania Habari Zenu wadau wa JF ..

    Mimi Fundi Lyimo nipokeeni na mnipe ushirikiano.. Asante
  20. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Musiba alikuwa anapata habari za kikachero na Membe ni kachero, sasa wanagombana nini?

    Ni vizuri kama hao watu wangepatana, kwa sababu they are on the same side. Inaoŋyesha kwamba makachero wanagombana wenyewe kwa wenyewe. Mimi napinga hili ambalo naliona kama jaribio la kuwatisha whistleblowers. It is an attempt to frighten the public. Halafu it is not clear who exactly it is...
Back
Top Bottom