Habari za mwisho tokea eneo la tukio kumhusu mwamba huyu nguli wa siasa:
"Yeye na wenziwe walikuwa wamefunga njia. Hapiti mtu kwani hata hao wamezuiwa isivyo halali."
Sasa kitengo chetu cha habari na propaganda kipo kimyaaa ...!
Nini kinaendea eneo la tukio? Sisi tulioko Lindi, Tarime au Misenyi huku tunajuaje kinachoendelea huko?
"Hata tunajipanga au kuhamasishana vipi kutoa support yetu yoyote tukiwa kwenye giza la habari hili?"
Kwamba hawa ndugu labda na wao walipo hawana habari zozote kama kina sisi tu?
Uimara wa wapiganaji waliodhamiria, hauwezi kutenganishwa na uwezo wao wa kupata na kusambaza habari.
Huu si ndiyo ulikuwa ule muda wa zile ID zao au rasmi kwenye social media zote kurindima?
Ajabu na kweli labda wako kwenye kuendeleza yale makasiriko yetu tuliyoyazowea dhidi ya TBC au Channel 10 kutokutangaza?
Ama hakika kufika tutafika, ila tutakuwa tumechoka sana.