Serikali haina Msemaji kwa siku kadhaa sasa na hakuna Tatizo , kwanini cheo hiki kisiunganishwe na Waziri wa Habari ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,765
218,383
Kama kwa siku kadhaa hatuna Msemaji wa Serikali baada ya Gerson Msigwa kupelekwa Wizarani , na hakuna kilichobadilika , basi ni dhahiri kwamba Cheo hiki hakina haja ya kuwepo ili kupunguza matumizi ya serikali .

Napendekeza Waziri wa Habari ndiye awe Msemaji wa Serikali .
 
itakua ni kuchanganya utendaji na siasa.
Actually itakua fujo, malalamiko na makasiriko sana hususani kutoka upande usiokua wa Serikali.
 
Hakuna Cha Kusemea Kwa Sasa...!

Na Wala Hakuna haja ya Kusemea Chochote..

By the way...msemaji mkuu Wa Serikali ni Raisi....

Hata kama cha Kukisemea Kipo nyie Watz kwani mnaelewaga..?
 
Basi katibu mkuu wa wizara hiyo achukue nafasi ikiwa waziri hafai
mi nadhani hawa ambao tayari wanaenda kusimamia utekelezaji wa ilani ya CCM waachwe tu wakasimamie ilani.

Maana akitolewa humo wizarani mathalani, kuna safari za Rais ng'ambo sasa ataenda na waziri au Katibu mkuu wa wizara, then humo wizarani atabaki nani? Then Kesho kutwa akahitaji kusafiri na katibu mkuu au waziri wa hiyo wizara yenye msemaji wa serikali hapo napo itakuaje.

Nachofahamu mimi, mesmaji wa serikali lazma awe anajua in details utendaji wa serikali hususani ktk mawizara, mataasisi na idara zote za umma.
Na kwahivyo akihitaji any information kuhusu jambo lolote anaweza kumsamon hata waziri alete hiyo information ili taarrifa ya jumla ya serikali ikae sawa na kutolewa kwa umma ikihitajika.
msigwa hakuweza kufua dafu alitofautiana mno na idara nyingi za uma. Alichofanikiwa ni kuwaandalia press conference mawaziri na wizara zao.
 
Kama kwa siku kadhaa hatuna Msemaji wa Serikali baada ya Gerson Msigwa kupelekwa Wizarani , na hakuna kilichobadilika , basi ni dhahiri kwamba Cheo hiki hakina haja ya kuwepo ili kupunguza matumizi ya serikali .

Napendekeza Waziri wa Habari ndiye awe Msemaji wa Serikali .

Au kawe ka idara kwenye wizara,
 
Kama kwa siku kadhaa hatuna Msemaji wa Serikali baada ya Gerson Msigwa kupelekwa Wizarani , na hakuna kilichobadilika , basi ni dhahiri kwamba Cheo hiki hakina haja ya kuwepo ili kupunguza matumizi ya serikali .

Napendekeza Waziri wa Habari ndiye awe Msemaji wa Serikali .
Hapana hii haitofaa kabisa, habari ni sekta muhimu na inafaa isiwe mpamba/msemaji wa serikali maana hata TBC tunataka iikosoe serikali
 
Kama kwa siku kadhaa hatuna Msemaji wa Serikali baada ya Gerson Msigwa kupelekwa Wizarani , na hakuna kilichobadilika , basi ni dhahiri kwamba Cheo hiki hakina haja ya kuwepo ili kupunguza matumizi ya serikali .

Napendekeza Waziri wa Habari ndiye awe Msemaji wa Serikali .
Hakina maana yoyote zaidi ya gharama na ulaji kwa makada
 
Wawatumie wakina mwijaku steve nyrr babalevel au manara mbona wanaweza

Ova
 
Kama kwa siku kadhaa hatuna Msemaji wa Serikali baada ya Gerson Msigwa kupelekwa Wizarani , na hakuna kilichobadilika , basi ni dhahiri kwamba Cheo hiki hakina haja ya kuwepo ili kupunguza matumizi ya serikali .

Napendekeza Waziri wa Habari ndiye awe Msemaji wa Serikali .
Naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom