habari

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Vyombo Vya Utangazaji Africa linafanyika Zanzibar

    Dk Rioba ataja fursa kongamano la mashirika ya utangazaji ya umma Dhima la kongamano ni vyombo vya utangazaji vya umma kwenda na mabadiliko ya kidijitali na TEHAMA ili viende na wakati au la vitaishia makumbusho kuwa vilikuwepo. Huku vyombo vinavyokumbatia mabadiliko ya teknolojia vikizidi...
  2. JamiiForums Tanzania Wadau wa habari wakutana na Tume ya Kurekebisha Sheria Zanzibar

    Mkurugenzi wa Chama cha Waandishi wa Habari Tanzania (TAMWA ZNZ) Dkt. Mzuri Issa amesema kuwa ni muhimu kuwa na sheria nzuri za habari ambazo zinapelekea kuwepo kwa uhuru wa habari na uhuru wa kujieleza kwa jamii. Amesema hayo wakati wa mkutano wa kutoa mapendekezo ya marekebisho ya sheria ya...
  3. JamiiForums Tanzania Urusi: Mwandishi wa Habari aliyeandamana ahukumiwa kwenda jela Miaka 8.5

    Marina Ovsyannikova ambaye alishiriki katika maandamano katika Matangazo mubashara (live) ya kwenye TV kupinga vita ya Taifa lake la Urusi dhidi Ukraine, amehukumiwa adhabu hiyo akiwa hayupo Mahakamani. Amekutwa na hatia ya "Kusambaza hadharani habari za uongo licha ya kuwa na ufahamu kuhusu...
  4. JamiiForums Tanzania Utabiri wa Makundi ya CAF CL ya Mwandishi wa Habari MickyJr

    Naona ibaki hivi hivi: ๐†๐ซ๐จ๐ฎ๐ฉ ๐€: โ€ข Mamelodi Sundowns ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ โ€ข CR Belouizdad ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ โ€ข Al Hilal ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฉ โ€ข Medeama ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ญ ๐†๐ซ๐จ๐ฎ๐ฉ ๐: โ€ข Wydad AC ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ โ€ข Simba SC ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ โ€ข ASEC Mimosas ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ โ€ข Jwaneng Galaxy ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ผ ๐†๐ซ๐จ๐ฎ๐ฉ ๐‚: โ€ข Al Ahly ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ โ€ข Petro de Luanda ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ด โ€ข Yanga SC ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ โ€ข FC Nouadhibou ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ท ๐†๐ซ๐จ๐ฎ๐ฉ ๐ƒ: โ€ข ES Tunis ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ณ โ€ข Pyramids...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi halali nipo Mbeya

    Habari za wakati huu wakuu..? Mimi ni binti wa 20's..nimemaliza chuo Mwaka huu Bsc with Education(Biology and Chemistry) Nimekuja kwenu wana jamvi kuomba kazi ama sehemu ya kufanya kwa kazi hususani kufundisha masomo taja hapo juu... kwa mtu yeyote aliye na connection ya shule inayohitaji...
  6. JamiiForums Tanzania Mobhare Matinyi - Mpiganaji mpya wa Rais Samia kwenye ulingo wa habari na mawasiliano

    Na Kevin Lameck Kama ipo sehemu ambayo Rais Samia Suluhu Hassan amepatia katika teuzi zake za karibuni, bhasi miongoni mwake ni uteuzi wa sasa wa kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Gerson Msigwa. Bwana Mobhare Matinyi, Mkuu wa wilaya ya Temeke ameteuliwa kuwa Msemaji mkuu wa serikali na...
  7. JamiiForums Tanzania Mjumbe wa Halmashauri Kuu CCM ateuliwa kuongoza Baraza la Habari Tanzania (MCT)

    Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Kajubi Mukajanga ametangaza kuachia wadhifa huo ndani ya miezi mitatu kuanzia juzi Septemba 28, 2023 baada ya kudumu kwenye wadhifa huo kwa miaka 15. Kutokana na uamuzi huo, Bodi ya wakurugenzi wa MCT imemteua Ernest Sungura, kushika wadhifa...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali haina Msemaji kwa siku kadhaa sasa na hakuna Tatizo , kwanini cheo hiki kisiunganishwe na Waziri wa Habari ?

    Kama kwa siku kadhaa hatuna Msemaji wa Serikali baada ya Gerson Msigwa kupelekwa Wizarani , na hakuna kilichobadilika , basi ni dhahiri kwamba Cheo hiki hakina haja ya kuwepo ili kupunguza matumizi ya serikali . Napendekeza Waziri wa Habari ndiye awe Msemaji wa Serikali .
  9. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Hints za written Interview za Examination Officer II na Registration Officer II

    Habari wana JF, Msaada wa Hints za written Interview za Examination Officer II na Registration Officer II.
  10. JamiiForums Tanzania Habari za asubuhi

    Heloo hii habari za asubuhi vp umeamkaje kama uko fresh mshukuru Mungu ni mwema katufanya tumeona jumamosi ya leo wale wanaoenda kufanya kazi Mungu awape mahitaji ya moyo wenu Amina
  11. JamiiForums Tanzania Msaada katika ku-confirm kozi kati ya programu hizi

    Habari zenu wakuu, Nahitaji msaada niconfirm kozi ipi kati ya hizi ambazo nimechaguliwa katika second selection. Kozi zenyewe ni Bsc in Environmental health science-RUCU, Bsc in Agriculture in general-SUA na Bsc in Laboratory Science and Technology-MUST. Naomba ushauri uangalie zaidi kuhusu...
  12. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maafisa Polisi wawanyanyasa Waandishi wa Habari waliokuwa wakiripoti maandamano katika makaburi ya Langata

    Tukio hilo limetokea wakati waandishi wa habari wakirekodi tukio la wafanyakazi wa makaburi ya Langata kugoma wakilalamika kucheleweshewa mishahara yao, ambapo polisi waliwataka waandishi wa habari waondoke kutoka eneo la tukio. Shughuli za mazishi zilisitishwa katika makaburi hayo, baada...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kilichompaisha jamaa ni kelele nyingi na kuminya vyombo vya habari tu la sivyo hamna kitu alichofanya

    Aliyepita alisaidiwa na kelele nyingi kila anapoenda anawapiga fix wananchi kwa mbwembwe nyingi wakabaki wanamuomba yeye tu. Si unajua wananchi wanavyopenda kuongopewa mbaya zaidi ukienda na strategy ya kutumbua tena hadharani hivyo wananchi wanapenda ili tu kumkomoa mwingine afanane nao kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Happy Birthday Tido Muhando, mwamba imara kwenye tasnia ya Habari

    Alianzia redio ya Taifa, Radio Tanzania Dar Es Salaam, kabla ya kuelekea Kenya ambako alifanya kazi kwa miaka mingi kabla ya kujiunga na shirika la utangazaji la Uingereza, BBC katikati ya miaka ya 1990. Mojawapo ya maswali aliyoomuuliza Rais Magufuli ilikuwa kuhusu Demokrasia nchini na...
  15. JamiiForums Tanzania Bila haki, uhuru, demokrasia ya kweli nje na ndani ya bunge, kukosekana uhuru wa vyombo vya habari na uhuru wa raia kukosoa, Tanzania itabaki maskini

    Msingi wa maendeleo ya binadamu ni haki, uhuru na demokrasia, kuna mahali serikali ya Tanzania hii ya CCM haijitambui na Dunia haina macho dhidi ya Tanzania, pengine ndiomana Magufuli ilibidi afe (mnisamehe ntaeleza), dhamira ya Magufuli kuua upinzani ilikuwa ya kitoto na ya kipumbavu, Magufuli...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada juu ya mchanganuo wa kufungua library classic ya movie HD/4K

    Habari ya uzima wana jamii forum Naomba msaada juu ya mchanganuo wa kufungua library classic ya movie na series HD/4K ipoje na imekaaje soko lake kwa sasa. 1. Mahitaji kiujumla 2. Faida na hasara(changamoto) 3. Ushauri na maoni yanapokelewa Naomba msaada wenu
  17. JamiiForums Tanzania Kila limsemo likitoa we unalo. Sasa unamwambia nani habari za Maokoto?

    We ni mtu mzima, huu ujinga wa kudandiadandia mambo unatoa wapi? Kila msemo unauvalia njuga. Kipindi wanasema wahenga ulikomaa kishenzi na huo msemo. Nakumbuka ukaja kukomaa na "Injinia soma hiyooooo" hadi ukawa kero kuu. Mara ukaja na Chap kwa haraka, ukaenda na mzee baba. Kuna mingine umepita...
  18. JamiiForums Tanzania Katibu Mtendaji MCT: Vyombo vya Habari bado vinaendelea kupokea vitisho vya kiutawala

    Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Kajubi Mukajanga, licha mabadiliko ya sheria kadhaa zinzogusa tasinia ya habari nchini lakini amedai kuwa bado zipo changamoto za kisheria ambazo ni kikwazo kwa vyombo vya habari. "Pamoja na mabadiliko tunayoyaona ya sheria kadhaa, bado zipo...
  19. JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari Mkoa wa Mtwara MTPC wapewa mafunzo ya Usalama Mtandaoni

    JamiiForums imeendesha mafunzo ya Usalama Mtandaoni kwa Waandishi wa Habari 25 wanaowakilisha Vyombo mbalimbali vya Habari Mkoani Mtwara kwa kushirikiana na Chama cha waandishi wa Habari Mkoa wa Mtwara MTPC Mafunzo hayo yanalenga kuongeza ufanisi kwa Waandishi katika kazi zao kwa kuzingatia...
  20. JamiiForums Tanzania UTV Acheni Unafiki. Habari zenu hazina mizania

    UTV haijawahi kuripoti chochote kuhusiana na mikutano ya CHADEMA inayoendeshwa na Tundu Lissu. Leo wameripoti kuhusiana na kukamatwa kwake. Hawa hawa UTV hawajawahi kuripoti kuhusiana na waraka pendwa wa TEC badala yake wakawa wanatafuta watu wenye maoni ya kupinga waraka ambao hawajawahi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ