habari

  1. Waliomteka Baba Wa Mikel Obi walijuta baada ya habari kumfikia Abramovic

    🇳🇬🗣️ John Obi Mikel: Baba yangu alitekwa nyara wakati nilipokuwa nikiichezea Nchi yangu Nigeria katika Kombe la Dunia la Mwaka 2018 lililopigwa nchini Urusi. Tulikuwa tunakaribia kucheza dhidi ya Argentina. Masaa mawili kabla ya mchezo nilipata simu kutoka kwa Ndugu yangu akisema baba yangu...
  2. Vita vya Israel vimepata jina jipya. Ni vita vya kupigana na hospitali, waandishi wa habari na mapipa ya maji

    Meneja wa hospitali ya Alshifa hapo jana kwa niaba ya hospitali chache ambazo hazijasitisha huduma ameiita siku hiyo kuwa ni vita dhidi ya hospitali hiyo ni baada ya jeshi la Israel bila haya kuzizingira hospitali kadhaa kwa vifaru na kuzuia huduma zote kuendelea. Baada ya hapo hospitali hizo...
  3. Tatizo la kukosekana kwa Usd nchini! Mamlaka husika zina Habari?

    Kuna Tatizo kubwa la uwepo wa fedha Za dola nchini! Serikali imepiga kimya! Ni nini kifanyike?
  4. Mkutano wa 5 wa Wiki ya Vyombo vya Habari vya Uganda, 2023

    https://www.youtube.com/watch?v=dPisTx-swGs Leo tarehe 9 Novemba 2023, JamiiForums inashiriki katika Mkutano wa 5 wa Wiki ya Vyombo vya Habari vya Uganda, ulioandaliwa na Taasisi ya Media Focus on Africa Uganda. Mkunano huo unafanyika jijini Kampala. Mkutano huu unajadili kuhusu mustakabali wa...
  5. Unaweza kubaini Habari Potofu kwa kufuata hatua hizi

    Habari Potofu ni Taarifa au Maelezo yaliyobuniwa kwa kuiga mtindo fulani ili zionekane zina ukweli au halisi. Taarifa hizi hulenga kuleta Athari fulani, kuzua Taharuki au kudanganya Umma. Unaweza kubaini taarifa potofu kwa kufuata hatua hizi: Tathmini (thaminisha) chanzo Hakikisha kwamba...
  6. Wiki moja imepita toka Makonda atokeze kwenye vyombo vya habari. Je, huu ukimya unamaanisha nini?

    Je, Waziri Mkuu Majaliwa amemuweka Gavana? Maana mara ya mwisho alimtembelea Waziri Mkuu kisha akaenda bungeni kwa mwaliko wa Spika. Toka hapo hatujasikia tena zile kauli zake za KIFEDHULI!! JF tuendelee kumpiga spanna huyu Zerobrain
  7. R

    Tupeane habari za mvua ya Leo

    Tanga Tangu jana jioni, usiku wa leo mpaka sasa mvua inanyesha. mafuriko sehemu kama zote. vimito vyote vimetema
  8. R

    Mwaka 2023 vimerekodiwa vitendo vingi zaidi vinavyozuia upatikanaji wa taarifa kwa Waandishi wa Habari kuliko miaka 3 nyuma

    Baraza la Habari Tanzania (MCT) liliungana na Dunia katika kuadhimisha siku ya kukomesha na kuondosha kabisa vitendo vya ukatili dhidi ya waandishi wa habari (International Day to End Impunity for Crimes Against Journalists). Kila mwaka siku hii imekuwa ikiadhimishwa kutokana na vitendo...
  9. W

    Jiongezeni Wakuu wa Shule; ni kwamba achaneni na habari za mahafali mtapigwa mawe!

    Nasikia wenzenu wamesimamishwa kwa sababu ya 'kuruhusu' wanafunzi kucheza wimbo usio na 'maadili' wa Honey. Saaawa. Kusimamishwa kwao ni ujumbe kwenu mlio madarakani. achaneni na habari za muziki huko mashuleni kwenu. Kuachana na muziki tafsiri yake futeni mahafali, hakuna mahafali ambayo...
  10. Kila kitabu na zama zake, corner sofa ndiyo habari ya mjini leo.

    Corner sofa ndiyo habari ya town, ukiongeza na flat screen ukutani na TV table ya mstatiri. Uzuri wa corner sofa mgeni anaweza kulala mpaka asubuhi omba tu asiwe kikojozi. Kwa kweli ni mfuko tu lakini corner sofa ya ngozi inapendeza na inadumu kwa muda mrefu. Ukiwa na ukuta mweupe blue...
  11. ITV imenunuliwa na mafisadi kutorusha habari za Makonda?

    Baada ya kufariki dunia Dk. Reginald Abraham Mengi Kituo cha Televisheni cha ITV kimebadili mtizamo wake kutoka kuwa chombo kimbilio la wanyonge na chombo makini cha kuanika maovu ndani ya jamii leo kimegeuka kuwa jukwaa la machawa na watuhumiwa wa ufisadi. Tangu Makonda ameteuliwa ITV hawataki...
  12. Habari za Asubuhi za Upendo

    1.Uwe na siku njema leo, mpenzi wangu! Ulifanya asubuhi yangu kuwa ya ajabu sana. Natumai asubuhi hii itakuwa siku nzuri! 2. Kila asubuhi, wazo la kwanza linalokuja akilini mwangu ni jinsi ninavyoshukuru kuwa na wewe maishani mwangu. Habari za asubuhi mpenzi wangu. 3. Inuka na uangaze, kichwa...
  13. Gazeti la Mwananchi tupeni uhuru tusome habari bila kuficha

    Unajaribu kufunga mada kwenye mtandao wa gazeti la mwananchi. Habari zingine unakuta zimeandikwa PM ukibonyeza hadi uwe member hii mana yake nini? Achilieni tusome habari zote.
  14. J

    Magazeti ya Tanzania yamejaza kurasa zake na habari za teuzi

    Kuna Habari kuwa wakuu wa vyombo vya ulinzi wamekuwa wa kilipwa mamiliioni ya dollars na makapuni makubwa ya uchimbaji wa madini. Ili vyombo hivyo vifanye kazi ya kuhakikisha makapuni hayo hayasumbuliwi na yoyote. Sasa najiuliza unaweza je kusema Tanzania Kuna vyombo vya Habari wakati habari...
  15. FT: Simba 2-2 Al Ahly | Benjamin Mkapa Stadium | 20.10.2023 | African Football League

    Haya haya ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu imewadia. Leo tarehe 20/10/2023 Tanzania itashuhudia mtanange wa kihistoria kati ya timu ya Simba ya Tanzania dhidi ya Al Ahly ya Misri. Mechi hii ni ya ufunguzi wa michuano ya African Football League ambayo inachezwa barani Afrika kwa mara ya...
  16. Kiwanda cha MO Dewji Moshi kipo/kinajengwa wapi?

    Habari wakuu, napenda ulizia kuhusu jambo kuu hapo juu kwa anaejua anitaarifu please.
  17. Kwanini kila Nape Nnauye anapokuwa Waziri wa Habari ni lazima utokee mkanganyiko?

    Sheria karibu zote kandamizi za Habari na Wanahabari zilizopitishwa Awamu ya 5, zilipitishwa Nape akiwa Waziri wa Habari. Na sasa Nape huyu huyu ameingiza Tanzania kwenye orodha ya Nchi za Ajabu na zenye kutia aibu kwenye VPN, sasa swali letu ni hili, kwanini haya yanatokea pale yeye anapokuwa...
  18. Vyombo vya habari vikitangaza majanga watu wa Mungu hawapaswi kukaa kimya?

    Wakati serikali na vyombo vyake wanapotangaza kwa utashi wao juu ya majanga yanayoweza kulipata taifa tahadhari za kibinadamu kuchukuliwa. Watu wa rohoni hatupaswi kukaa kimya kusubiri yatokee kama yalivyotabiriwa. Inatakiwa watu wa Mungu waitishe maombi ya kubatilisha na kufuta kila...
  19. R

    Mtaalamu wa Teknolojia ya Habari wa Kenya atengeneza Wakili wa kisasa mwenye ujuzi wa Sheria zote za Kenya

    Wakati Naftal Obwoni alipokuwa shuleni, baba yake aliachishwa kazi bila taarifa, jambo lililosababisha kesi iliyochukua muda mrefu dhidi ya mwajiri wake. Obwoni alishuhudia kwa macho yake mapambano ya baba yake kupata haki, na hii ilikuwa kwa sababu baba yake hakuwa na uelewa wa mfumo wa...
  20. Tff na serikali , hakikisheni,mageti yanafunguliwa mapema ,hatutaki Tena habari za mabomu na kupiga watu bila sababu

    Habari ndiyo hiyo upumbavu wa kufungua mageti saa nane na huku mkijua mifumo yenu ni slow na niyakizamani mtaleta maafa siku ya ijumaa ! Mtu akitoa pesa yake aheshimiwe ,utapeli wakupiga watu bila sababu tutakuja kutoka na roho ya mtu ! Nimewapa onyo mjifanye wajuaji ,
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…