Kwanini kila Nape Nnauye anapokuwa Waziri wa Habari ni lazima utokee mkanganyiko?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,755
218,372
Sheria karibu zote kandamizi za Habari na Wanahabari zilizopitishwa Awamu ya 5, zilipitishwa Nape akiwa Waziri wa Habari.

Na sasa Nape huyu huyu ameingiza Tanzania kwenye orodha ya Nchi za Ajabu na zenye kutia aibu kwenye VPN, sasa swali letu ni hili, kwanini haya yanatokea pale yeye anapokuwa Waziri? Au na hili nalo atasema limetoka Ikulu kama alivyosingizia Awamu ya 5?
 
Sheria karibu zote kandamizi za Habari na Wanahabari zilizopitishwa awamu ya 5, zilipitishwa Nape akiwa Waziri wa Habari.

Na sasa Nape huyu huyu ameingiza Tanzania kwenye orodha ya Nchi za Ajabu na zenye kutia aibu kwenye VPN, sasa swali letu ni hili, kwanini haya yanatokea pale yeye anapokuwa Waziri , au na hili nalo atasema limetoka Ikulu kama alivyosingizia Awamu ya 5?
Kwani hujui athari ya Shule za kubebwa
 
Sheria karibu zote kandamizi za Habari na Wanahabari zilizopitishwa Awamu ya 5, zilipitishwa Nape akiwa Waziri wa Habari.

Na sasa Nape huyu huyu ameingiza Tanzania kwenye orodha ya Nchi za Ajabu na zenye kutia aibu kwenye VPN, sasa swali letu ni hili, kwanini haya yanatokea pale yeye anapokuwa Waziri? Au na hili nalo atasema limetoka Ikulu kama alivyosingizia Awamu ya 5?
Mkuu na wewe unatuchosha,kwani matokeo yake ya shule hukuyaona? Sasa mtu ambaye hana akili anakusumbuaje kuumiza kichwa? Anajuana na wanao mteua dhamira yao!!
 
Sheria karibu zote kandamizi za Habari na Wanahabari zilizopitishwa Awamu ya 5, zilipitishwa Nape akiwa Waziri wa Habari.

Na sasa Nape huyu huyu ameingiza Tanzania kwenye orodha ya Nchi za Ajabu na zenye kutia aibu kwenye VPN, sasa swali letu ni hili, kwanini haya yanatokea pale yeye anapokuwa Waziri? Au na hili nalo atasema limetoka Ikulu kama alivyosingizia Awamu ya 5?
Mbona husemi zilifutwa yeye akiwa waziri pia?
 
Back
Top Bottom