Magazeti ya Tanzania yamejaza kurasa zake na habari za teuzi

joseph2

Senior Member
May 31, 2015
126
251
Kuna Habari kuwa wakuu wa vyombo vya ulinzi wamekuwa wa kilipwa mamiliioni ya dollars na makapuni makubwa ya uchimbaji wa madini. Ili vyombo hivyo vifanye kazi ya kuhakikisha makapuni hayo hayasumbuliwi na yoyote.

Sasa najiuliza unaweza je kusema Tanzania Kuna vyombo vya Habari wakati habari kama hiyo inandikwa uraya, wakati magazeti ya Tanzania yamejaza kurasa zake za mbele Habari za teuzi?
 
Kuna Habari kuwa wakuu wa vyombo vya ulinzi wamekuwa wa kilipwa mamiliioni ya dollars na makapuni makubwa ya uchimbaji wa madini. Ili vyombo hivyo vifanye kazi ya kuhakikisha makapuni hayo hayasumbuliwi na yoyote. Sasa najiuliza unaweza je kusema Tanzania Kuna vyombo vya Habari wakati Habari kama hiyo in andikwa uraya, wakati magazeti ya Tanzania yamejaza kurasa zake za mbele Habari za teuzi?
Kwani nani kwa kuambia hapa kuna waandishi wa habari wasio penda uteuzi? Tatizo ni wewe kama unaona Mauleed kitengi ndo muandishi wa habari
 
Kuna Habari kuwa wakuu wa vyombo vya ulinzi wamekuwa wa kilipwa mamiliioni ya dollars na makapuni makubwa ya uchimbaji wa madini. Ili vyombo hivyo vifanye kazi ya kuhakikisha makapuni hayo hayasumbuliwi na yoyote. Sasa najiuliza unaweza je kusema Tanzania Kuna vyombo vya Habari wakati Habari kama hiyo in andikwa uraya, wakati magazeti ya Tanzania yamejaza kurasa zake za mbele Habari za teuzi?
Hivi vya Huku ni vya kusifia chama chawala na habari za udaku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soma nyakati wewe.
Watu wa Uraya na magazeti yao hawapendi kuona Mwalabu anafanikiwa.
Hizo kelele TU baada ya DP wedi kumwaga wino na Bado hawajasema.
 
Back
Top Bottom