Jumamosi iliyopita watu 20 walikufa wakigombea upako huko Moshi.Mara nikasikia vijana 10 wa JKT wamekufa wakiwa kwenye mafunzo.!
Upande wangu wiki hii ilikuwa na pilika nyingi +masuala ya binafsi na uchumi ,nikajikuta sio mfuatoliaji Sana wa habari.Leo nimejiuliza ,mbona haya matukio yamepewa uzito mdogo Sana.
Ni kwamba hayakuwa matukio muhimu au Kuna watu huwa wanatuamulia lipi Ni tukio kubwa!? Sikuona matangazo mubashara(labda yalikuwepo) Ninachokumbuka tu kwa tukio la Moshi,mhusika kesho yake alikuwa mimbarani akihubir iinjili,wakati kule Moshi maelfu walikuwa ...mortuari wakitambua maiti!
Na nimesikia wapo nje kwa dhamana,sijui Ni kosa gani walituhumiwa lenye dhamana! Kuvurugwa huku ,kumenifanya Ni post uzi huu kwenye jukwaa la Siasa na Wala si bahati mbaya!